List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Mtwara? Wewe unapajua vizuri mtwara hasa pale masasi mjini?na je njombe unasemaje?
 
Wamekomaa wanavigimbi
 
Mngeweka na picha ingependeza,, alafu kila mkoa una pisi tena za uhakika sema yu hujawai kukutana nazo mfano mara alikuwepo amina chifupa daah huwezi amin km ni mwanamara, nk
Amina chifupa sio mtu wa mara ,nadhani ni wa morogoro huko.Mara tunazo pisi kali kama Rashida Wanjala,Lisa Jensen,Miriam Odemba,Shay Rose Banji na nyingine nyingi.
 
Unamaanisha pisi kali wanawake wanaotumia makeup
 
Amina chifupa sio mtu wa mara ,nadhani ni wa morogoro huko.Mara tunazo pisi kali kama Rashida Wanjala,Lisa Jensen,Miriam Odemba,Shay Rose Banji na nyingine nyingi.
Mara haina pisi kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…