List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Wana mili mikubwa mikubwa wamejaa jaa pote........ila wengi ni wastaarabu
 
Sio mbaya ila kwanini hizo pisi zenu(kali),zimejaa sana mbeya zinajiuza
 
Sample picture?
 

Nitakuja mbeya
 
Bila kuweka kilimanjaro hiyo list haijakamilika au feki.
1. Wanawake wa klm ni flat screen
2. Wote wana vitambi kama wanywa dadii
3. Meno ya shaba kama ma vampire
4. Miguu sasa utafikiri ni mikono
5. Kwenye 6*6 sasa wote - F
6. Mapishi -F
6. Funga kazi: vigimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…