List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Pisi kali kwa kigezo kipi hasa maana kuna mkoa umeiba kura.
 
Si kweli, mikoa yote ya Tanzania ina wadada warembo kila mmoja kwa mwonekano na haiba yake.

Amka usingizini mkuu. Uzuri upo ndani nje mnajidanganya tu.
 
Ebu itoe Mbeya kwenye hiyo list yako mbaya, Mbeya kuna pisi sana tena zinajambia mbalii(butt..)😂
 
Hii posti italeta cotempt na prejudice kwa mtoa mada...
 
Ukitaka wanawake wazuri wa kiafrika ni kanda ya ziwa ndo naonaga kama wamebalance sura maumbo na miguu, huko kwingine unakuta sura nzuri umbo simba dume, miguu fito, ukanda wa manyara singida Arusha pisi zina sura nzuri ila asikenue, na asivae umini na wana ngozi nyepesi kiasi wanawahi kuzeeka
 
Watoe Wamasai hapo, wana natural black skin mpaka anakua mtu mzima hajafubaa

Tatizo ni wale wa Mjini pale Wameru ,wachagga, Waarusha,Wambulu....weupe, sura nzuri ila kweli wanafubaa mapema sijui sababu ni Pombe au?
 
Watoe Wamasai hapo, sana natural black skin mpaka anakua mtu mzima hajafubaa

Tatizo ni wale wa Mjini pale Wameru ,wachagga, Waarusha,Wambulu....weupe, sura nzuri ila kweli wanafubaa mapema sijui sababu ni Pombe au?
Ok ok,👍
 
Kwa simiyu nakataa kuna pisi nyingi mno mitaa ya somanda na salunda

Tena zenye matako yaliyo matakoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…