Tz inawalaza macho.Kenya, nyie si ni Super Power? Baada yenu ndio anafuata USA 🇺🇸, sasa kwanini mnapenda kujilinganisha na Tz?
Thamani ya sarafu zenyewe zikilinganishwa na USD sio jambo la muhimu sana. Ikiwa thamani ya sarafu hizo ni 'constant', yaani haishuki ovyo ovyo kila mara. Ila jambo ambalo huwa linanishangaza sana ni kwamba miongo mitano hivi iliyopita hali ilikuwa ni 1 KES=1 Tzsh=1Ugsh.Tunashindana Na Uganda [emoji23]
Bongo kuitwa bilionea ni rahisi sana, ukidunduliza hayo madafu yao kwa muda mfupi yanasoma bilioni, ila jaribu ubadilishe ziwe dollar au Kshs ndio utalilia kwa choo.
Bongo kuitwa bilionea ni rahisi sana, ukidunduliza hayo madafu yao kwa muda mfupi yanasoma bilioni, ila jaribu ubadilishe ziwe dollar au Kshs ndio utalilia kwa choo.
Bora Uganda Zimbabwe wametucha mbaki hivyo sio kweliTunashindana Na Uganda [emoji23]
Badala ya kubisha ukweli kuwa ukibadirisha gunia ya shilling za Tanzania upate $$$ unapata bahasha kutoka kwenye gunia lako, fanyeni tathmini ya uchumi wa nchi!! Sasa hatua gani zichukuliwe kuifanya sarafu yetu iwe na nguvu? Punguzeni siasa fanyeni kazi!
Nchi nyingi za Asia hasa zenye viwanda vingi zinatabia ya kushusha thamani ya pesa zao ili waweze kuuza nje zaidUnajua Hela ya South korea ingekuepo hapo ingekuwa top 5 ya mwisho..je kuna nchi ya kuizidi GDP au per capital ya south korea ..Africa ?
Badala ya kubisha ukweli kuwa ukibadirisha gunia ya shilling za Tanzania upate $$$ unapata bahasha kutoka kwenye gunia lako, fanyeni tathmini ya uchumi wa nchi!! Sasa hatua gani zichukuliwe kuifanya sarafu yetu iwe na nguvu? Punguzeni siasa fanyeni kazi!!!
Nchi nyingi za Asia hasa zenye viwanda vingi zinatabia ya kushusha thamani ya pesa zao ili waweze kuuza nje zaid
Huyo MK254 yeye unamuonea bure ni Mkenya na sarafu yao ipo juu, tumeshawahi kuandika hapa pesa yetu kutokua na nguvu kwenye manunuzi watu walitujibu kiujanjaujanja, madini aina zote, hatuna vita, mbuga za wanyama, ardhi yenye rutuba, gas, yote hayo lakini pesa yetu mdebwedo ndio maana kwenye manunuzi huwezi kushindana na Mnyarwanda wala Mkenya
Sababu za kawaida tu kiuchumiKwahiyo na sisi pesa inashuka sababu ya nini?
Mkuu pesa yako ikiwa juu na huzalishi sana kuuza nje sio afya kwa uchumi sababu ni rahisi kuwa na shortage ya pesa ya kigeni otherwise uwe na vivutio vingi vya utalii ili uweze kutengeneza pesa ya kigeniHuyo MK254 yeye unamuonea bure ni Mkenya na sarafu yao ipo juu, tumeshawahi kuandika hapa pesa yetu kutokua na nguvu kwenye manunuzi watu walitujibu kiujanjaujanja, madini aina zote, hatuna vita, mbuga za wanyama, ardhi yenye rutuba, gas, yote hayo lakini pesa yetu mdebwedo ndio maana kwenye manunuzi huwezi kushindana na Mnyarwanda wala Mkenya
Mkuu pesa yako ikiwa juu na huzalishi sana kuuza nje sio afya kwa uchumi sababu ni rahisi kuwa na shortage ya pesa ya kigeni otherwise uwe na vivutio vingi vya utalii ili uweze kutengeneza pesa ya kigeni