List ya sarafu za Afrika kuanzia ile ambayo ina nguvu zaidi hadi ile ambayo haina nguvu. Kenya ipo vizuri, Tanzania inavuta mkia


Sababu ni gharama za uzalishaji wa hizo bidhaa ziko juu hapa bongo.So ili ulete ushindani wa bei sokon inabidi kupunguza ubora ili upate faida. Otherwise huweze shindana na bidhaa hata za malawi.
Bei ya mafuta, umeme na kodi za selikali ni sababu kadhaa zinazoongeza hizi gharama.

Mfano unakumbuka suala la ile sukari ya malawi.. ikabidi tutumie ubabe tusilete sukari kutoka nje. Kulinda viwanda vya ndani. Sababu price ya sukari yao ni ndogo afu quality.
 
Hela ya Tanzania na ya South Korea Ina thamani sawa.
Swali linakuja SOUTH KOREA NA KENYA IPI IMEENDELEA!?
 
tz tukubali tuna buruza mkia hivyo tuweke mipango ya kuinua uchumi tuna kila sababu ya kuinuka hapo tulipo siasa haifai kwenye uchumi jamn
Nakubali Hilo.
Ila pesa kuwa na thamani kubwa haimaanishi kuwa na uchumi mkubwa.
Cha muhimu je nchi yetu MAENDELEO ya kijamii na kiuchumi yakoje!?
Kuna nchi hela zao zina thamani kubwa ila MAENDELEO ya kijamii na kiuchumi mabovu mathalan Kenya yenyewe njaa tupu, Mozambique matatizo matupu,Rwanda ndio kabisaaa.
Ila kuna nchi pesa yake Ina thamani ya kawaida Kama South Korea hela yao haijapishana na yetu ila nitajie nchi IPI Afrika inaizidi MAENDELEO ya kiuchumi na kijamii SOUTH KOREA!?
 
Kwenye mambo ya fedha tunaangalia purchasing power na mambo mengine ya msingi siyo idadi ya sifuri
 
Tz tulipata kuwa na raisi mzanzibar mpumbavu ndiye aliye ua sarafu yetu kufikia hapo nyerere ameondoka kaacha pesa yetu vuzuri kabisa,tukisema wazenyi ni wapumbavu watu wanasema tunawatukana ,na sasa tunaye huyu muhuni hangaya naye anatualibia tu nchi kila siku anakopa for nothing ,huu upuuzi wa kuwapa wazenji uraisi ni hasara kubwa sana na nasema sidhani kama itatokea tena hii kitu kwa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…