List ya wachezaji mpira overrated

List ya wachezaji mpira overrated

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Habari 👋🏾

Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika propaganda.

Tafiti ndogo niliyofanya inaonyesha wachezaji kuwa overrated hutokana na chuki dhidi ya klabu husika kupelekea klabu nyingine wachezaji wake kukuzwa.

Mfano;- Clouds Media Group ni chombo kilichosheheni chuki dhidi ya klabu ya Arsenal, Arsenal hata icheze na timu gani bado Arsenal itaonyeshwa kuwa dhaifu na wachezaji wa timu pinzani watasemwa kuwa na viwango visivyoweza kuhumilika.
-
Hawa ni baadhi ya wachezaji OVERRATED

0. Thomas Partey
1. Phil Foden
2. Jack Grealish
3. Marcus Rashford
4. Timo Werner
5. Anthony Martial
6. Gabriel Jesus
7. Joao Felix
8. Son Hyeung Min
9. Sadio Mane
10. Mohammed Salah
11. Richarlson
12. Çağlar Soyuncu
13. Miguel Almiron
14. Bernard Morrison
15. Bernardo Silva
16. Alexander Arnold
17. Naby Keita
18. Nicolas Pepe
19. Wilfred Zaha
20. Mason Greenwood
21. Scott McTominay
22. Cristian Pulisic

Hawa ni baadhi tu, unaweza kuongeza wachezaji overrated.
 
Habari [emoji1480]

leno, saka, Tierney
 
Mbona wapo wengi tu kwenye listi wenye uwezo wao kulingana na era yao, au wewe unawalinganisha na nini haswa?

MJ kwa enzi zake alikuwa mfalme, ukisema uanze kumlinganisha na akina Usher au Chris unamkosea. Joshua ukamlinganishe na Tyson?

Martial ni hamna kitu kwa zama zake, Rashford kadhalika
 
Pimbi kama wewe unashabikia kweli mpira ..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mods uzi kama huu wa mapimbi kwanini mnaupa airtime humu jf kwa greater thinker ..!
 
Sio lazima kila mtubawe muanzisha thread wengine tuwe wachangiaji, matokeo yake ndio haya mnaanzisha nyuzi za kichizi, we mane, salah, son.......... [emoji23] [emoji849] [emoji848]
 
Wewe rudi tu kwenye netball yako kama mtazamo wako unaona Salah&Mane basi hatuna cha Ku argue.
Kila mtu anao mtizamo wake ndio maana ya 'tafiti binafsi'. Kama unaona Salaha na Mane sio overrated hatuna cha ku argue.
 
Habari 👋🏾

Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika propaganda.

Tafiti ndogo niliyofanya inaonyesha wachezaji kuwa overrated hutokana na chuki dhidi ya klabu husika kupelekea klabu nyingine wachezaji wake kukuzwa.

Mfano;- Clouds Media Group ni chombo kilichosheheni chuki dhidi ya klabu ya Arsenal, Arsenal hata icheze na timu gani bado Arsenal itaonyeshwa kuwa dhaifu na wachezaji wa timu pinzani watasemwa kuwa na viwango visivyoweza kuhumilika.
-
Hawa ni baadhi ya wachezaji OVERRATED

0. Thomas Partey
1. Phil Foden
2. Jack Grealish
3. Marcus Rashford
4. Timo Werner
5. Anthony Martial
6. Gabriel Jesus
7. Joao Felix
8. Son Hyeung Min
9. Sadio Mane
10. Mohammed Salah
11. Richarlson
12. Çağlar Soyuncu
13. Miguel Almiron
14. Bernard Morrison
15. Bernardo Silva
16. Alexander Arnold
17. Naby Keita
18. Nicolas Pepe
19. Wilfred Zaha
20. Mason Greenwood
21. Scott McTominay
22. Cristian Pulisic

Hawa ni baadhi tu, unaweza kuongeza wachezaji overrated.
Mbappe
 
Sio lazima kila mtubawe muanzisha thread wengine tuwe wachangiaji, matokeo yake ndio haya mnaanzisha nyuzi za kichizi, we mane, salah, son.......... [emoji23] [emoji849] [emoji848]
Inategemea umesimama wapi sheikh, matokeo na mawazo yako pia yanaweza kuwa Kichizi.
 
Bila kumsahau Sarpong na yule mwezie anaeweka bleach
 
Mods mngeanzisha utaratibu wa kuinterview members kabla hawajajoin JF
 
Mods uzi kama huu wa mapimbi kwanini mnaupa airtime humu jf kwa greater thinker ..!
Hii ni moja ya comment yako kupitia thread ya Manchester United 😀 tukijifunza kuheshimu mawazo ya wengine ni vyema pia.

"Sacho ni lingard aliyechangamka tu media zimemkuza ...

Subili EPL ianzee uone alivomzitoo ,EPL itamkataa mapema sanaa"
 
Inategemea umesimama wapi sheikh, matokeo na mawazo yako pia yanaweza kuwa Kichizi.
Siku zote lazima upande mmoja uwe sahihi ama sivyo wote mkae uoande mmoja ambao aidha wote muwe sahihi au wote msiwe sahihi...

Haya nithibitishie kwa vyovyote uwezavyo hata kwa takwimu kuwa salah, mane au son ni overrated
 
Back
Top Bottom