List ya wachezaji mpira overrated

List ya wachezaji mpira overrated

Jack Grealish.

Huyu mwamba huwa namkubali sana. Aliikwamua Aston Villa isishuke daraja 2019/20. Alisimama kinahodha kweli!

Cha ajabu vijana wengi wa kibongo kwa ujuha tu waliamua kumchukia sana kwa maelezo kuwa anamnyima pasi Samatta[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thomas Partey umemuonea. Wachezaji wengi wanaocheza DEFENSIVE MIDFIELD kwa shabiki mandazi huwa hawawezi kuona impact yake.
 
Watoe hawa:

Sadio Mane, Alexander Arnold, Greenwood, Pulisic na Marcus Rashford

Hao wengine ni Malaiyoni
 
Back
Top Bottom