List ya wachezaji mpira overrated

List ya wachezaji mpira overrated

Siku zote lazima upande mmoja uwe sahihi ama sivyo wote mkae uoande mmoja ambao aidha wote muwe sahihi au wote msiwe sahihi...

Haya nithibitishie kwa vyovyote uwezavyo hata kwa takwimu kuwa salah, mane au son ni overrated
Kwa kutumia bolded words hukutakiwa kuhusisha mawazo yangu na uchizi.

Mimi nimeeleza ni overrated wewe ndiye wa kuleta takwimu kuonesha sio overrated.
 
Hiyo list mbona Ina watu wanaupiga mwingi sana kwaita overrated sidhani mfano Son, Phoden, Salah & Mane wanaujua sanaaaa!
 
Hiyo list mbona Ina watu wanaupiga mwingi sana kwaita overrated sidhani mfano Son, Phoden, Salah & Mane wanaujua sanaaaa!
Mkuu sikatai kwamba "wanaupiga mwingi sana" lakini issue hapa ni wanavyoelezwa utadhani ndio watu wa kwanza kucheza mpira kihivyo hasa huyu Phil Foden.
 
Arsenal hata icheze na timu gani bado Arsenal itaonyeshwa kuwa dhaifu na wachezaji wa timu pinzani watasemwa kuwa na viwango visivyoweza kuhumilika.

Bila shaka wewe ni Arsenal 😅😅
 
ni mawazo yako lakini kati ya hao kuna mafundi kweli kama benardo na Jack unakosea kuwaweka kwenye kundi hilo
 
Mwingine ni thadeo lwangwa jamaa ni wakawaida kabisa .
Tatizo watu hawataki kuambiwa ukweli, hiyo list tu watu hawaelewi, nikitumia kauli ya "Wakawaida kabisa" mashabiki wa 'Liverpool' wanaweza kunitafuta uraiani.
 
. Alexander Arnold
17. Naby Keita
mkuu hapa unafanya utani
Screenshot_20210626-030608.jpg
 
Siku zote lazima upande mmoja uwe sahihi ama sivyo wote mkae uoande mmoja ambao aidha wote muwe sahihi au wote msiwe sahihi...

Haya nithibitishie kwa vyovyote uwezavyo hata kwa takwimu kuwa salah, mane au son ni overrated
nimeshangaa Sana aiseeh
 
Back
Top Bottom