List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

Wanaojivuna zaidi ni hawa

1 Neema mtoto wa mama
2 Cr7
3 robinho,huyu dogo bahati nzuri hakufika mbali akapotea, kalikuwa kanajiona sana kama demu.
4 Diego costa, japo huwa ananifurahisha sana na fujo zake [emoji3][emoji3]
5 Luis Nani, mwethiopia huyu, jamaa anawivu sana kwa wenzie
6 Asamoa Gyan ni mwafrika ambae sikutokea kumpenda, ana majivuno sana.
CR7 umemwonea ni mtu mmoja poa sana, hata wachezaji wenzake wamethibitisha hilo kwa timu alizocheza. Rooney akiwa mmojawapo akisifia roho nzuri aliyokuwa nayo jamaa.
 
Zapata alimuuliza zlatan unafanya nini hapa na tumeshawaunga mbili, zlatan alimjibu nina magoli mengi kuliko mechi ulizocheza
lukaku alimwambia kama vipi twende nje tukapigane, zlatan alimjibu we anza kutoka mimi utanikuta huko huko

Zlatan kiboko sana[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom