Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
- Thread starter
- #161
Mkuu hakika nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Tatizo kuna vijana huchukua baadhi ya mambo juu bila kujua kiini, chanzo au sababu ya mtu kuandika mada husika.Kabisa mkuu huwa kuna maisha ya watu wengine lazima yatumike kama funzo.hiyo ndo iko hivo ni moja ya kanuni ya kuishi duniani.Sasa nashangaa wengine wanaposema eti unawadharau..hapana upo sahihi kabisa. Na nadhani wanamziki wa sasa wengi wanawekeza kutokana na mafunzo toka kwa waliowatangulia.
So big up! Hata huku mtaani maisha yetu tunaishi kwa kujifunza toka kwa wengine.
Mfano vijana wa sasa wanamziki wanajifunza sana kutoka kwa Diamond nae diamondi alishajifunza huko toka kwa waliomtangulia. Ni maisha ya kawaida kabisa
Unakuta mtu anakimbilia kushambulia tu bila sababu za msingi.