Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika au umemuweka tu hapo khamis kisa ya cheo chake?umewahisha sana mpe muda kidogo
Ila ana genes kali anatafuna njugu minjingu booster mda mrefu. Angekuwa wengine kajambanani kama yeye alivyofulia angeshakufa zamaniMr Nice nasikia alikuwa anajaza vibunda kwenye buti ya gari. Inasemekana alikuwa na zaidi ya 1.5 billion kipindi hiko.
Kuna interview alifanyiwa na millard ayo akasema alikuwa anatumia pesa haswa yaani hadi pesa zinatoa machozi kwa hiyo hajutii kufirisika. Lakini ukiangalia usoni ni mtu mwenye majuto sana
KwiiishaaaaPierre konki konki liquid
Dudubaya anavua samakiKuwa juu ya mawe aje? Kimuziki, kiumaarufu au kifedha?
3. Chidibenz
4. Pauline Zongo
5. Dudubaya
6.
7.
Huyo ni mtu wa ajabu sanaKila uzi unaomhusu Mr Nice kuna watu lazima wamkande[emoji23][emoji1787] .
Utasikia ni mtu wa hovyo sana , kuna mwingine akianzisha anamnanga Mr Nice kwa mambo hizi unazisema[emoji1787][emoji1787]
Kumbe alikuwa mjinga kiasi hiki..Sijawahi kuona mtu mpuuzi kama Mr Nice, niliwahi kwenda kwenye show yake zamani na mwisho wa show nilijua huyu mshamba soon mziki utamshinda na ataishia kufilisika, alipiga Minneapolis siku hiyo watu walikuwa wamejaa vibaya sana kuanzia wakenya, wazungu na west Africans wote walikuwepo, nyimbo zake maarufu wakati huo nafikiri zilikuwa kidari poa na ...i dont remember, kwanza akaanza na vibe mbaya sana akaingia baada ya midnight watu wakamind sana lakini wakampotezea ili show iendelee, badala ya kuimba na kupiga show akaanza kuongea ujinga kwenye stage na kibaya zaidi kiingereza kibovu hakuna anayemuelewa, then akaanza show akatupigia nyimbo hata hatuzijui, watu wakamwomba apige show ya zile nyimbo tunazojua, jamaa akasema leo ni nyimbo mpya tuu, watu wakamind sana na stimu za watu zikakata kabisa, akaimba nyimbo zake za ovyo hakuna anayecheza wala kumsikiliza, akaanza kupiga kelele mbona hamchezi basi mimi naondoka, watu wakachoka naye wakaanza kumzomea na kumwambia aondoke, badala ya show yakawa matusi baina yake na washabiki, zilirushwa beer, viti, maji na kila kitu ilibidi wamtoe kupitia mlango wa nyuma, baada ya hapo nasikia show zake zote States zilipigwa chini na sponsor wake, i hope kaacha kiburi na majivuno yake ya kishamba
Wanasema huyu yupo kwenye ma V8Na vipi kuhusu Marlaw aliyevuma na PiiPii
Konki konki konki 😀😀Kuna kipindi alitrend sana mtandaoni hadi akawa wcb pale sijui.. naona nwdays hata social media kakimbia
Kati ya Wasanii wenye shule by that time Mwana FA ni mmoja wao,mpaka anakwenda kugombea Ubunge alikuwa mfanyakazi wa Bank.Una uhakika au umemuweka tu hapo khamis kisa ya cheo chake?umewahisha sana mpe muda kidogo
Mr 9C mpaka katika vijiji vya nchi jirani kama vile Congo, Uganda, Burundi, Malawi, Zambia nk pia alisumbua sana mpaka watu wengine wakajiita jina lake.Sema wanangu NICE alisumbua nyie[emoji28][emoji28][emoji28]
By 2003 niko zangu bush huko moro namsoma kupitia magazeti ilikuwa ni balaa.
Nakubaliana na wewe kuwa hao uliowataja hapo juu wote wako vizuri miaka yote.FA wala AY hawajawahi kuchalala namna hiyo.
2015 nilikutana na FA anasukuma range mpyaa,nikauliza nikaambiwa ni yake.
Sakata lao na tigo linakuja baadae mpaka ubunge linakuja kuwaongezea tu zaidi.
Ni kama Prof,ni ugonjwa tu ndio unaleta majaribu ila walikaa kimasta.