Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Yupo Ufaransa.Yuko UK kwa sasa. JK alimpiga tafu sana kumnusuru na uraibu wa sembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Ufaransa.Yuko UK kwa sasa. JK alimpiga tafu sana kumnusuru na uraibu wa sembe
V8.?Unabishana na vitu haujui mzee au ww ndo ulimfilisi,Alipewa gari V8 kwa sababu ya wimbo wake wa Starehe/kuhusu ukimwi.
FA na AY wapo level nyingine sana kiuchumi linapokuja swala la wasanii wa zamani.Ila wangeamua ku make nina imani wasingekuwa kama walivyo leo.
Si una kina Nature, Chege, FA, AY hawajaanguka kihivyo kwa sababu ya kutumia pesa zao kwa nidhamu.
Kipindi inavumishwa kapewa gari na Ben ilikuwa Jeep na (feruzi) alikanusha laivu naona channel 5 eatv. Hajawahi pewa gari na serikali wala rais mkapa kwa wakati huoMzee hacha basi kupotosha watu,huyu jamaa juzi kapiga picha kwenye v8 la watu kaliegamia anasema nakumbuka mashine yangu Pori kwa pori..
OkayYupo Ufaransa.
Dah!.Chidbenz mwenyewe akijiita mtoto wa ilala siku hizi napishanaga nae huku Mbezi Makabe shamba akigongea Bajaj za jero jero.
Maisha haya nyie yaacheni tu
Una uhakika au umemuweka tu hapo khamis kisa ya cheo chake?umewahisha sana mpe muda kidogoFA na AY wapo level nyingine sana kiuchumi linapokuja swala la wasanii wa zamani.
Una uhakika au umemuweka tu hapo khamis kisa ya cheo chake?umewahisha sana mpe muda kidogo
Kila uzi unaomhusu Mr Nice kuna watu lazima wamkande[emoji23][emoji1787] .Sijawahi kuona mtu mpuuzi kama Mr Nice, niliwahi kwenda kwenye show yake zamani na mwisho wa show nilijua huyu mshamba soon mziki utamshinda na ataishia kufilisika, alipiga Minneapolis siku hiyo watu walikuwa wamejaa vibaya sana kuanzia wakenya, wazungu na west Africans wote walikuwepo, nyimbo zake maarufu wakati huo nafikiri zilikuwa kidari poa na ...i dont remember, kwanza akaanza na vibe mbaya sana akaingia baada ya midnight watu wakamind sana lakini wakampotezea ili show iendelee, badala ya kuimba na kupiga show akaanza kuongea ujinga kwenye stage na kibaya zaidi kiingereza kibovu hakuna anayemuelewa, then akaanza show akatupigia nyimbo hata hatuzijui, watu wakamwomba apige show ya zile nyimbo tunazojua, jamaa akasema leo ni nyimbo mpya tuu, watu wakamind sana na stimu za watu zikakata kabisa, akaimba nyimbo zake za ovyo hakuna anayecheza wala kumsikiliza, akaanza kupiga kelele mbona hamchezi basi mimi naondoka, watu wakachoka naye wakaanza kumzomea na kumwambia aondoke, badala ya show yakawa matusi baina yake na washabiki, zilirushwa beer, viti, maji na kila kitu ilibidi wamtoe kupitia mlango wa nyuma, baada ya hapo nasikia show zake zote States zilipigwa chini na sponsor wake, i hope kaacha kiburi na majivuno yake ya kishamba
Kweli FA anaonekana yupo vizuri muda wote wa maisha yake ya mziki.Khamis Mwinjuma (FA) hajawahi kuwa mlala hoi hata kabla hajaupata ubunge, mimi binafsi namfahamu vizuri kabisa, siongei kwa kumuona kwenye Tv's.
Mr Nice alitakiwa awe kioo bora cha jamii kwa kuonesha watu mfano mzuri wa kimaisha kama ilivyokuwa kwa hayati Kanumba na Diamond wa leo.Kila uzi unaomhusu Mr Nice kuna watu lazima wamkande[emoji23][emoji1787] .
Utasikia ni mtu wa hovyo sana , kuna mwingine akianzisha anamnanga Mr Nice kwa mambo hizi unazisema[emoji1787][emoji1787]