Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe unakaa naye mtaa mmoja huyo Jamaa.Angejitambua mapema leo hii asingekuwa wa kuomba omba hovyo.
KabisaYa nafikiri Diamond alikashika mkono na kukapa uelekeo wa maisha 😄😄
Baba mchaga mama sijui kabila lake Ila kaishi znz na Mr nice amekaa sana na mama yake huko znzHivi Mr Nice ni Mzanzibari?!
Aaa wapiHuyu si inasemekana ana kahoteli kake pale Bukoba mjini au changa la macho [emoji1][emoji1]
[emoji16][emoji16]Dudubaya yupo Geita anakunywa tu Shimwaa na Ambiance vijiweni.
Hivi Mr Nice ni Mzanzibari?!
Haka sio ka baraka kweliKuna yule mwngn nmemsahau jina,
Kila nyimbo yake lazima uskie neno MOYO,
Baada ya talaka na mjaluo,Skuhz kawa km Teja[emoji4]
Kuna kipindi alitrend sana mtandaoni hadi akawa wcb pale sijui.. naona nwdays hata social media kakimbiaDudubaya yupo Geita anakunywa tu Shimwaa na Ambiance vijiweni.
Bembeleza na RitaNa vipi kuhusu Marlaw aliyevuma na PiiPii
[emoji2]aliweka meno mdomoni meno ya dhahabu matupu mshikaji yule alitamba bwanaaMr Nice nasikia alikuwa anajaza vibunda kwenye buti ya gari. Inasemekana alikuwa na zaidi ya 1.5 billion kipindi hiko.
Kuna interview alifanyiwa na millard ayo akasema alikuwa anatumia pesa haswa yaani hadi pesa zinatoa machozi kwa hiyo hajutii kufirisika. Lakini ukiangalia usoni ni mtu mwenye majuto sana
Mfano Ferooz aliwekeza kwenye dhahabu. Pesa nyingi sana ila ndo hivyo hakufanikiwaWatu wanasahau hilo, utasikia mtu analaumu hawakuwekeza, kwani ukiwekeza ni lazima ufanikiwe?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Yuko UK kwa sasa. JK alimpiga tafu sana kumnusuru na uraibu wa sembeRay c nasikia ana unafuu kidogo baada ya kumuokota mzungu na kuishi nae kama mumewe.
Jamaa kanichekesha kinoma hapo "kwaherini" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah! Kwa feruzi umeniacha hoi, nyimbo ulizotaja kwa usahihi ni za Daz nundaz na yakwake umekosea jina "starehe"