List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

Mkuu hakika nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Tatizo kuna vijana huchukua baadhi ya mambo juu bila kujua kiini, chanzo au sababu ya mtu kuandika mada husika.

Unakuta mtu anakimbilia kushambulia tu bila sababu za msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…