Lisu atarudisha itikadi/Imani ya watu kwa CHADEMA. CHADEMA mpeni uenyekiti.

Ningependa Lissu achukue Uenyekiti, kisha Dr Slaa arudi Chamani hata Kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wazee

Kwa Muunganiko huo, utarudisha Ari na hamasa miongoni mwa wapenda mageuzi.

Japo ningependa akimaliza kipindi chake cha Urais wa TLS, Mwabukusi ahamie Chadema ili kupata the real taste ya Siasa za miaka ile ya akina Zitto wa miaka ya 2005
 
Naunga mkono hoja...Lissu ndio karata ya mwisho CDM waliyonayo kwenye kuleta mageuzi na imani tena kwa upinzani nchini.... Lissu ni kuwa mwenyekiti CDM ni zaidi ya Gia angani iliopigwa 2015.
 
Umenena vema mkuu, yaani umemaliza yote. Maccm yamehamaki sana kuona Lissu ametangaza nia .
 
Mwaka 2020 alipohojiwa ana maoni gani kama Lisu akishinda nafasi ya Urais, alisema, "Lisu, sina shaka kuwa ana uwezo wa kuwa Rais, anaweza. Ila Lisu akiwa Rais, tutalazimika kujifunza kufuata sheria"
 
Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunasikitishwa na vurugu zinazofanywa na Lissu. Mbowe awe tu mtulivu atashinda hii vita.
Mngekuwa chama rafiki mngekuwa mnawateka na kuwaua?

RIP Kibao. Hatujui mlikomweka Soka, Ben na wengine wengi.

Kilaaniwe Chama Cha Mashetani, CCM.
 
Kilaaniwe Chama Cha Mashetani, CCM.
Kuna tatizo la watu kuchanganya chama na watu, CCM kama CCM haina
Tatizo, ila ni kweli kuna wana CCM wachache ambao kweli ni mashetani lakini wana CCM wengi ni malaika na kwenye upinzani mashetani pia wapo!.
Nimeandika sana humu mambo ya malaika na shetani
P
 

Ukiwa Msema kweli na mpigania HAKI lazima siasa zako ziwe za migogoro.

Huwezi kupigania ukweli na HAKI alafu hutaki confrontation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…