Lisu atarudisha itikadi/Imani ya watu kwa CHADEMA. CHADEMA mpeni uenyekiti.

Lisu atarudisha itikadi/Imani ya watu kwa CHADEMA. CHADEMA mpeni uenyekiti.

Lissu mwenyekiti, mbowe mgombea Urais hapo itakaa vizuri, Kwa maslah ya chama na taifa
 
Njia zipi hizo, ni njia ipi ya kistaarabu haijatumika hadi sasa lakini ndio watu wanazidi kuonekana mazoba?
..kuwa mazoba si kielelezo pekee kuonyesha hakuna njia nyingine kukabiliana na wadhalimu ccm, zipo..
 
Sio CCM, hatuna mbadala wa CCM!, hivyo CCM is the one and only.
P
Kama ni kweli unachosema wasingekua waoga kwenye chaguzi,kuwe na tume huru ya uchaguzi isiyoteuliwa na Rais, CCM wanajua siasa zilivyokiua kuanzia 2010-2015 ndomana baada ya 2015 wakaua mifumo yote ya siasa za ushindani nchini. Ccm ni chama Kioga kwenye boksi la kura.
 
Mwamba apumzike akitaka atarejea siku za usoni.
Mbowe ni Dereva wa Barabara ya Lami Tundu Lissu ni Dereva wa Rough Road Makorongo mashimo mahandaki anaweza.

Ni wakati sasa Lissu nae atuvushe haya makorongo.
 
Back
Top Bottom