Lisu atarudisha itikadi/Imani ya watu kwa CHADEMA. CHADEMA mpeni uenyekiti.

Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunasikitishwa na vurugu zinazofanywa na Lissu. Mbowe awe tu mtulivu atashinda hii vita.
Tangu lini CCM ikaipenda CDM. Ila Lisu na mbowe wangefikia muafaka tu kama, mbowe bado ana hamu ya uwenyekiti wangeka sawa ili Lisu agobee uchaguzi ujao. Lisu yeye akubali kumwachia wenje umakamu alafu yeye abakie upande wa hamasa nafasi iliyo Achwa na Ali kibao dhumuni iwe awe karibu na wanachama na wananchi akijiandaa kugombea urais 2025.Hii ingemsaidia kutokuwa mbele mbele sana na kumpunguzia misuko suko ya kumpotezea mda kukijenga Chama. Sidhani kama Lisu anaweza kushindana na Mbowe.
 
Nitashangaa sana Kama Mzee wetu Mbowe ataonesha Nia ya kuhitaji kugombea Tena uenyekiti.

Miaka 20 sio haba kafikisha chama mahala,ni vyema tu apumzike abakie kuwa mshauri mkuu wa chama.
 
Mama Samia nenda kapikie watoto, unafanya nini hapa?
 
Tangu lini CCM ikaipenda CDM. Ila Lisu na mbowe wangefikia muafaka tu kama, mbowe bado ana hamu ya uwenyekiti wangeka sawa ili Lisu agobee uchaguzi ujao. Lisu yeye akubali kumwachia wenje umakamu alafu yeye abakie upande wa hamasa nafasi iliyo Achwa na Ali kibao dhumuni iwe awe karibu na wanachama na wananchi akijiandaa kugombea urais 2025.Hii ingemsaidia kutokuwa mbele mbele sana na kumpunguzia misuko suko ya kumpotezea mda kukijenga Chama. Sidhani kama Lisu anaweza kushindana na Mbowe.
We chawa wa Mbowe, miaka 20 ya Mwenyekiti imetosha apumzike sasa
 
Lissu mwenyekiti, mbowe mgombea Urais hapo itakaa vizuri, Kwa maslah ya chama na taifa
Chawa wa Mbowe mnatatizo gani? Mbowe anatakiwa KUSTAAFU sasa, abakie kuwa mshauri wa chama tu.
 
We chawa wa Mbowe, miaka 20 ya Mwenyekiti imetosha apumzike sasa
Mimi sina nia ya kwamba Mbowe aendelee ila ikiwa ameamua kuendelea ni kazi sana kumng'oa kwasababu mbowe kwa sasa hakipiganii chama ila anapigania maslai yake na pia, mbowe anataka kumuachia mtu madaraka ambaye ataendelea kulinda maslai yake wakati huo Lisu awezi kukubali kuwa kibaraka wa Mbowe ndio maana nikaona kuwa Lisu angeendelea kuwa na Subira na kujipanga, kwa sasa mbowe amekwisha tengeneza timu yake ndiyo maana hata msigwa akamwagwa kwasababu alikuwa team lisu
 
Hapana, acha inyeshe sasahivi ili TUONE PANAPOVUJA. Hatma yao ndio itakayoamua mustakabali wa uhai na uimara wa chama
 
Nitashangaa sana Kama Mzee wetu Mbowe ataonesha Nia ya kuhitaji kugombea Tena uenyekiti.

Miaka 20 sio haba kafikisha chama mahala,ni vyema tu apumzike abakie kuwa mshauri mkuu wa chama.

Yeah Kweli Kabisa.
Mzee Mbowe mchango wake ni Mkubwa sana
 
😃😃😃
Kina chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wanalilia chooni
Gentleman,
mim nasikitika sana kibaraka kuamua kuonja sumu kwa ulimi tena kwa tamaa na uchu wa kiwango cha juu sana na kwa mbwembwe ambazo matokeo yake ya natarajiwa kuhusianishwa na viongozi wenye tamaa na viburi, hasa wanasiasa wanaopuuza, 48 laws of power ya Robert Greene.

Ni suala la muda tu athari za sumu iloonjwa kwa ulimi zitaanza kujitokeza 🐒
 
LISU ameshashinda. Niamini Mimi.
 
Hamna cha maana atakachofanya zaidi ya kuleta migogoro na kukigawa chama
 
Back
Top Bottom