Lisu kuwa gerezani chini ya serikali ya Mama Samia kunaweza kuleta Ufa kwenye Muungano!

Ufa gani?
Mtu kaleta ufyololo kapewa kinachostahili.
Hapo mnamuonea mama wa watu bure.
Kamkaribisha mjinga huyo toka ukimbizini, kaja kumtukana nyumbani kwake.
Ameleta mfumo dume hajui huyo ni rais wa nchi kwasasa.
Ngoja apindishwe kidogo.
Bi chura akirembua aliwai kumuuliza Freeman
"kwani we unataka nini"
Na alipewa maridhiano.
 
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya.

Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere alimkataza na kumwambia kama unampenda Kimiti mpe kazi nyingine hamuwezi kujazana Wakatoliki watupu.

Kwa sasa Tanzania tuna Rais Mzanzibar, bahati mbaya kwa mujibu wa katiba yetu ni kuwa Rais huyu ni kama vile ni Rais wa Tanganyika zaidi maana Zanzibar wana Rais wao tayari.

Hivyo basi dhana na mitizamo ya Watanganyika dhidi ya Rais huyu ni vya kujihami zaidi. Hivyo Rais anapaswa kuwa makini dhidi ya mambo na matukio yote yanayoweza kuibua mitizamo hasi dhidi ya pande zetu mbili za muungano.

Matukio kama ya kuuzwa kwa bandari zetu, kutekwa na kuuawa bila kauli za kulaani au kubariki toka kwa Rais, kubambikia kesi zisizo na dhamana viongozi wetu wapendwa wa kisiasa mfano ugaidi, uhaini n.k, kuzuia tume huru, kujipitisha kuwa mgombea pekee wa Urais wa Tanzania/Tanganyika kwenye vikao vya chama tawala, kufumbia mambo ripoti ya CAG n.k ni hatari kwa muungano wetu maana zinaweza kushamiri dhana za Mzanzibari dhidi ya Watanganyika.

Historia inaonyesha hata Mzee Mwinyi alipotoka Kisarawe kwenda kuongoza Zanzibar alipata tabu sana hata leo mwanawe na mtoto wa Mzee Karume bado wanachuana huko.

Tuzibe ufa kabla hatujatakiwa kujenga ukuta
mropokaji mkiuka sheria mwenye kiburi hawezi kusababisha ufa, mwanya wala pengo kwenye muungano imara sana wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, gentleman,

that's nonsense 🐒
 
Ufa gani?
Mtu kaleta ufyololo kapewa kinachostahili.
Hapo mnamuonea mama wa watu bure.
Kamkaribisha mjinga huyo toka ukimbizini, kaja kumtukana nyumbani kwake.
Ameleta mfumo dume hajui huyo ni rais wa nchi kwasasa.
Ngoja apindishwe kidogo.
Bi chura akirembua aliwai kumuuliza Freeman
"kwani we unataka nini"
Na alipewa maridhiano.
Eti, unataka nini? Hii nchi siyo ya mama.
Watanganyika amkeni!
 
Bado upo kwenye "ufa"? naona wewe ni mwenda pole pole sana!
Kwa hali iliyopo sasa hivi, Tanganyika ni 'de facto' koloni; kwa maana hatuna uwezo wa kufanya maamuzi yoyote tunayoona yanatufaa sisi, kama ilivyo kwa Zanzibar.
Hao wenzetu waTanganyika waliomo kwenye serikali, kama mawaziri ni kama manyampala tu wanaotekeleza matakwa ya wakoloni kwa manufaa yao wenyewe..., akina Kabuti Kalamagamba; akina Kafulila na wengineo.
Kwa kifupi sisi ni koloni la Zanzibar
 
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya.

Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere alimkataza na kumwambia kama unampenda Kimiti mpe kazi nyingine hamuwezi kujazana Wakatoliki watupu.

Kwa sasa Tanzania tuna Rais Mzanzibar, bahati mbaya kwa mujibu wa katiba yetu ni kuwa Rais huyu ni kama vile ni Rais wa Tanganyika zaidi maana Zanzibar wana Rais wao tayari.

Hivyo basi dhana na mitizamo ya Watanganyika dhidi ya Rais huyu ni vya kujihami zaidi. Hivyo Rais anapaswa kuwa makini dhidi ya mambo na matukio yote yanayoweza kuibua mitizamo hasi dhidi ya pande zetu mbili za muungano.

Matukio kama ya kuuzwa kwa bandari zetu, kutekwa na kuuawa bila kauli za kulaani au kubariki toka kwa Rais, kubambikia kesi zisizo na dhamana viongozi wetu wapendwa wa kisiasa mfano ugaidi, uhaini n.k, kuzuia tume huru, kujipitisha kuwa mgombea pekee wa Urais wa Tanzania/Tanganyika kwenye vikao vya chama tawala, kufumbia mambo ripoti ya CAG n.k ni hatari kwa muungano wetu maana zinaweza kushamiri dhana za Mzanzibari dhidi ya Watanganyika.

Historia inaonyesha hata Mzee Mwinyi alipotoka Kisarawe kwenda kuongoza Zanzibar alipata tabu sana hata leo mwanawe na mtoto wa Mzee Karume bado wanachuana huko.

Tuzibe ufa kabla hatujatakiwa kujenga ukuta
Mpaka siku tuitwe Tanganyika tutakaa sawa
 
Mimi sijaona haja ya kumzuia kutoa elimu kama kweli sisi sio koloni la Zanzibar kwanini huyu mama afute haki za watumishi huku TISS wanatumbua macho,kaondoa haki zote za wafanyakazi tena mwezi huu wa nini,huyu bibi tumemkosea nini
 
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya.

Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere alimkataza na kumwambia kama unampenda Kimiti mpe kazi nyingine hamuwezi kujazana Wakatoliki watupu.

Kwa sasa Tanzania tuna Rais Mzanzibar, bahati mbaya kwa mujibu wa katiba yetu ni kuwa Rais huyu ni kama vile ni Rais wa Tanganyika zaidi maana Zanzibar wana Rais wao tayari.

Hivyo basi dhana na mitizamo ya Watanganyika dhidi ya Rais huyu ni vya kujihami zaidi. Hivyo Rais anapaswa kuwa makini dhidi ya mambo na matukio yote yanayoweza kuibua mitizamo hasi dhidi ya pande zetu mbili za muungano.

Matukio kama ya kuuzwa kwa bandari zetu, kutekwa na kuuawa bila kauli za kulaani au kubariki toka kwa Rais, kubambikia kesi zisizo na dhamana viongozi wetu wapendwa wa kisiasa mfano ugaidi, uhaini n.k, kuzuia tume huru, kujipitisha kuwa mgombea pekee wa Urais wa Tanzania/Tanganyika kwenye vikao vya chama tawala, kufumbia mambo ripoti ya CAG n.k ni hatari kwa muungano wetu maana zinaweza kushamiri dhana za Mzanzibari dhidi ya Watanganyika.

Historia inaonyesha hata Mzee Mwinyi alipotoka Kisarawe kwenda kuongoza Zanzibar alipata tabu sana hata leo mwanawe na mtoto wa Mzee Karume bado wanachuana huko.

Tuzibe ufa kabla hatujatakiwa kujenga ukuta
Hivi huwezi kuandika bila kutanguliza neno ''mzee'' kila unapoandika majina yao? Huu ni utamaduni mwingine wa kijinga kabisa ambao watanzania wameiga.
 
Inakera kuona nchi yenye watu zaidi ya milioni 60+ inakubali kirahisi tu kutawaliwa na mtu kutoka kanchi kadogo kenye watu milioni 1+

Yaani huu ni zaidi ya uzezeta.
Hakika huu ni uzezeta wa hali ya juu, sijui Nyerere anajiskiaje huko alipo, atakuwa anajiona bonge la bwege yani
 
Sasa kama mmeamka ilikuwaje mbogamboga wakaacha akajipitisha pale Dodoma mbele ya kikwete tena bila hata kutoka ukumbini wamjadili,hivi inakuwaje akina Mwigulu wakubaki ujinga huu,hivi hata January alishindwa kushitka kwanini alikumbatiwa pale Tanga.Imagine hata kinana huko aliko hakustuka.Mmekuja kutuletea kipofu wasila.mzee kulialia ni bora mngeacha TunduLissu aendelee kuropoka huenda mtashtuka.
Hoja ya CAG wameicha sababu wanajua asilimia.kumi ya Kodi inaenda visiwani.
 
Sasa kama mmeamka ilikuwaje mbogamboga wakaacha akajipitisha pale Dodoma mbele ya kikwete tena bila hata kutoka ukumbini wamjadili,hivi inakuwaje akina Mwigulu wakubaki ujinga huu,hivi hata January alishindwa kushitka kwanini alikumbatuwa pale Tanga.Imagina hata kinana huko aliko hakustuka.Mmekuja.kutuletea.kipofu wasila.mzee kukialia ni bora mngeacha TunduLissu aendelee kuropoka huenda mtashtuka.
CCM ni janga
 
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya.

Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere alimkataza na kumwambia kama unampenda Kimiti mpe kazi nyingine hamuwezi kujazana Wakatoliki watupu.

Kwa sasa Tanzania tuna Rais Mzanzibar, bahati mbaya kwa mujibu wa katiba yetu ni kuwa Rais huyu ni kama vile ni Rais wa Tanganyika zaidi maana Zanzibar wana Rais wao tayari.

Hivyo basi dhana na mitizamo ya Watanganyika dhidi ya Rais huyu ni vya kujihami zaidi. Hivyo Rais anapaswa kuwa makini dhidi ya mambo na matukio yote yanayoweza kuibua mitizamo hasi dhidi ya pande zetu mbili za muungano.

Matukio kama ya kuuzwa kwa bandari zetu, kutekwa na kuuawa bila kauli za kulaani au kubariki toka kwa Rais, kubambikia kesi zisizo na dhamana viongozi wetu wapendwa wa kisiasa mfano ugaidi, uhaini n.k, kuzuia tume huru, kujipitisha kuwa mgombea pekee wa Urais wa Tanzania/Tanganyika kwenye vikao vya chama tawala, kufumbia mambo ripoti ya CAG n.k ni hatari kwa muungano wetu maana zinaweza kushamiri dhana za Mzanzibari dhidi ya Watanganyika.

Historia inaonyesha hata Mzee Mwinyi alipotoka Kisarawe kwenda kuongoza Zanzibar alipata tabu sana hata leo mwanawe na mtoto wa Mzee Karume bado wanachuana huko.

Tuzibe ufa kabla hatujatakiwa kujenga ukuta
Ivi jamani yaliyomfika Lissu kabla ya Bi Samia kuwa Rais na yanayomfika hivi Sasa ni yapi makubwa na mabaya zaidi? Sasa imekuwa kama kwamba Lissu kabla ya Samia alikuwa Peponi na Samia ndie aliemuondoa kwenye Pepo hiyo. Kumbe Tatizo ni Samia kuwa Rais na sio madhila dhidi ya Lissu, a survivor of MUNITION ( 16 bullets). Hili halionekani tena Sasa. No wa Samia is only story. Muacheni jamani!!!
 
Hivi unajua anayofanya nyuma ya pazia hivi asilimia kumi kila mwezu kwenda Zanzibar unazani ni kiasi kidogo kwa uchumi wetu,hakutumia Bunge bali aliamuru mazima,hebu angalia amefuta posho zote bara na bado deni pia tunalipa sisi na bado hakuna mbogamboga analiona hilo hivi sisi ni wa kuwa koloni la Zanzibar kweli,anafanya anachotaka na hakuna kuulizwa,kwa taarifa ya deni ni trillion 150 na sio 97 kama alivyosema CAG
 
Back
Top Bottom