Litambue Baraza la Mawaziri mwaka 2023 na Majimbo yao

MtangulIzi wake ilikuwa Kanda Moja tu, tena mikoa minne.
Mwanza,Simiyu,Shinyanga na Geita
Hao wote mbona walikuwa mawaziri wake kasoro wanne tu: tax, pindi chana, mchengerwa na kijaji
 

Abdala Ulega
 
Kuna manaibu waziri wanatoka ktk hiyo mikoa.

Kumbuka kuwa kuna mikoa mingi kuliko idadi ya mawaziri

Hapana sio kweli
Kuna mikoa imepata mawaziri kamili watatu,mfano Pwani

Na kama haitoshi Pwani ipata pia Naibu Waziri,this is insane.

Rais anatakiwa a balance hizi nafasi,mkiwa na mawaziri wengi na kama wana akili mkoa unapiga hatua haraka
 
Tanzania tuwe na kanuni maalumu ya kugawa rasilimali za Nchi kwenye maeneo badala ya kutegemea ushawishi wa Waziri au Katibu Mkuu,hii mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…