Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #101
Naona watu wanaibadilisha taarifa yangu kuwa ugomvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi habari za 50/50 ni mbayaHapana sio kweli
Kuna mikoa imepata mawaziri kamili watatu,mfano Pwani
Na kama haitoshi Pwani ipata pia Naibu Waziri,this is insane.
Rais anatakiwa a balance hizi nafasi,mkiwa na mawaziri wengi na kama wana akili mkoa unapiga hatua haraka