butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Katavi yupo Mdogo wa Pinda!Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katavi yupo Mdogo wa Pinda!Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Katibu wa Balaza Chief Secretary Kwa nini umemuacha kwenye list? Tueleze Kusiluka ni WA wapi?MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA - Jimbo la Ruangwa - Lindi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
MHE. KAPT GEORGE HURUMA MKUCHIKA - Jimbo la Newala Mtwara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum)
MHE. JENISTA J. MHAGAMA - Jimbo la Peramiho Ruvuma
Waziri wa Nchi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
MHE. INNOCENT L. BASHUNGWA - Jimbo la Karagwe Kagera
Waziri wa Ulinzi
MHE. ANGELLAH J. KAIRUKI - Wa kuteuliwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
MHE. SELEMAN S. JAFO - Jimbo la Kisarawe Pwani
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
MHE. PROF. JOYCE L. NDALICHAKO - Jimbo la Kasulu Mjini Kigoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
MHE. GEORGE B. M. SIMBACHAWENE - Jimbo la Kibakwe Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
MHE. PROF. MAKAME M. MBARAWA - Jimbo la Mkoani Pemba Kusini
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi
MHE. UMMY A. MWALIMU - Tanga Mjini Tanga
Waziri wa Afya
MHE. DKT. MWIGULU N. MADELU - Iramba Magharibi Singida
Waziri wa Fedha na Mipango
MHE. MHANDISI HAMAD Y. MASAUNI - Jimbo la Kikwajuni Mjini Magharibi
Waziri wa Mambo ya Ndani
MHE. DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX - Kuteuliwa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
MHE. HUSSEIN BASHE - Jimbo la Nzega Mjini Tabora
Waziri wa Kilimo
Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko -Jimbo la Bukombe Geita
Minister Of Minerals
MHE. PROF. ADOLF. F. MKENDA - Jimbo la Rombo Kilimanjaro
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
MHE. NAPE M. NNAUYE - Jimbo la Mtama Lindi
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
MHE. JANUARI Y. MAKAMBA - Jimbo la Bumbuli Tanga
Waziri wa Nishati
Mhe. Dkt. Angeline Sylvester Lubala Mabula - Jimbo la Ilemela Mwanza
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
MHE. DKT. DAMS D. NDUMBARO - Jimbo la Songea Mjini Ruvuma
Waziri wa Sheria na Katiba
MHE. DKT. DOROTHY O. GWAJIMA - Kuteuliwa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
MHE. DKT. ASHATU K. KIJAJI - Jimbo la Kondoa Dodoma
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
MHE. JUMA H. AWESO - Jimbo la Pangani Tanga
Waziri wa Maji
MHE. DKT. PINDI H. CHANA - Viti maalumu
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo
MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA - Jimbo la Rufiji Pwani
Waziri wa Maliasili na Utalii
Nipo. Long time!Nipo Mama Amon, habari ya siku
Mbeya yupo Naibu Waziri Atupele na Songwe yupo Naibu Waziri Kasekenya na yule msaliti wa CHADEMA.Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Mbona unajistukia, yaani kawataja tu hajaongeza chochote,Mbona kama umeileta kiushabiki flani hivi...
Mbeya yupo Naibu Waziri Atupele na Songwe yupo Naibu Waziri Kasekenya na yule msaliti wa CHADEMA.
Viti maalum yule.,alianzia viti maalum, akapewa jimbo na yule mbwiga...so, ni viti maalum tu. Hakuna kitu paleMHE. PROF. ADOLF. F. MKENDA - Jimbo la Rombo Kilimanjaro
Mkisema Kanda ya Ziwa mnaionea Mikoa ya Mara na Kagera maana haimo kati ya hiyo mikoaMtangulIzi wake ilikuwa Kanda Moja tu, tena mikoa minne.
Mwanza,Simiyu,Shinyanga na Geita
ThibitishaMtangulIzi wake ilikuwa Kanda Moja tu, tena mikoa minne.
Mwanza,Simiyu,Shinyanga na Geita
Hata baniani hayumo😝😝Baraza limejaa udini.
Waislamu wengi sana humo,
walitakiwa wawe wachache kuliko Wakiristo
Naibu Spika anaingia kwenye Baraza la mawaziri!?Sasa wanapoulizwa Dar wanajua naibu spika anatoka wapi au nafasi ndogo hiyo?
Ondoa K'njaro jombaaa, yupo Mukenda,pamoja na Kina Mollel chawa wa mama huyu[emoji1787][emoji1787]Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Nipeni Mimi nitaifanya hiyo kazi unayosema ngumu na nakuhakikishia hakuna atakayelakamika. Nitaondoa matozo na maisha ya wananchi yatakuwa kama wako sayari ya Masi,Kilimanjaro yupo Adolf Mkenda (Elimu)
By the way, mikoa iko zaidi ya 35 na mawaziri wanaotakiwa ni less than 26..
So, by any means Kuna baadhi ya mikoa haitatoa waziri hata kama wawe wapo wanaofaa...
Labda kama tunataka tuwe na Caninet ya mawaziri 40..!!
Pia, possibly hiyo mikoa inaweza kuwa imetoa manaibu au watu kwenye higher positions zingine..
NOTE: Kusema ukweli kuwa kiongozi mkuu mahali popote hususani uongozi mkuu wa nchi (yaani RAIS) ni kazi kwelikweli. Hakuna zuri waweza kufanya Kisha Kila mtu aka - appreciate...
Lushindo lokho!Mbona mwendazake karibu 90% walikuwa kanda ya Ziwa!!
===Acha ubishi usio na kichwa wala miguu Kwa mambo ambayo facts zake ziko wazi mbele ya macho yako..!Hoja yako haina msingi kwasababu unakuta kwenye mkoa mmoja kuna mawaziri watatu alfumomwingie hamna waziri inamaana wabunge wote wa mkoa huo hawafai kuwa wazir
Baraza la mawaziri la JPM halikuwa na waziri kutoka Kilimanjaro hata mmoja, ni siasa zile zile tu. Uvumilivu ni wa muhimu sana,Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.