Litambue Baraza la Mawaziri mwaka 2023 na Majimbo yao

Serikali ya majimbo katika katiba mpya
Hata bila majimbo hiyo kanuni inaweza kuwekwa tuu.

Ugatuaji wa madaraka Kwa njia serikali za mitaa ulianza vizuri ila serikali kuu imepora tena
 
Yule mwingine tuliambiwa ana chuki na Northerners.

Naona huyu anawapenda sana ndiyo maana kawajaza barazani na hakuna kelele.
 
Makamba yupo wapi?
 
Tanga na Pwani wana lao jambo kwa Rais Samia
Mawaziri kamili WATATU
Dah
Wenzetu wana bahati
 
Mbona kama umeileta kiushabiki flani hivi...
 
Kwa sasa serikali yetu inaamba ambaa ukanda wa pwani zaidi, Zanzibar, Mtwara, Lindi, Pwani na Tanga.
 
Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0

Kazi iendelee.
Unadhani kungetokea manufaa ya aina gani iwapo wangeteuliwa kutoka hiyo Mikoa? Kuna ndugu yako mwingine naye kaanzisha uzi wa udini kwenye hilo Baraza!

Hivi hao Mawaziri wana msaada gani wa kipekee kwa Mikoa wanayotoka? Mbona matatizo yanayo wasumbua wananchi, bado yako pale pale!!
 
Hoja yako haina msingi kwasababu unakuta kwenye mkoa mmoja kuna mawaziri watatu alfumomwingie hamna waziri inamaana wabunge wote wa mkoa huo hawafai kuwa waziri
 
Mikoa ya Tanga(3),Pwani(5),Zanzibar(5).Mtanisahihisha kwenye hiyo orodha ya Mawaziri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…