Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

Hiyo baadae ilipofika, Studio akaingia Mtulia, Mbunge wa Kinondoni.
Nami nikahama station.
Nimeisha hapa, asante kufuatilia.
P
Dr Mayrose ni kama Mange tu hawawezi siasa,siasa inatakiwa uwe na Maneno mengi yanatoka mfululizo ila huyo Dada uandishi wa habari ndio unambeba lakini kwenye kuongea hamna kitu.
 
Mimi ndio naingia nakutana Mtulia nimechelewa.
Kigogo alitangaza mapema kwamba Mtulia anaumwa korona ila watu walimpinga sana kwamba ni Mzushi,Hata Egbert Mkoko altangaza anaumwa korona watu wakapinga sana ila baada ya mda wote walikiri kwamba walipata maambukizi ya korona na wamepona.

Mtulia anakwambia hajatekeleza ahadi moja tu ya kuondoa "SKWATA" bonde la mkwajuni,kigogo na tandale basi na hilo hajatekeleza kwasababu mji umehamia Dodoma ila ahadi nyingine zote ametekeleza.. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa Sijui wanatuonaje wananchi...mtangazaji angekuwa makini ilibidi atafute ahadi zake wakati wa kampeni ili ajibu vizuri.
 
Kwa huu mtiririko nimeona watangazaji na mgeni wao wate wameboa vibaya sana...hasa watangazaji kwa kushindwa kuandaa maswali ya msingi.
It's true, that session ya huyu dada was a waste due to watangazaji vilaza!. Mtangazaji wa kike amejitahidi sana, lakini yule wa kiume ni kiazi kabisa!. Sikui hivi vituo, vinawaokota wapi vilaza wa type hii!, wanatuharibia tasnia wote tunaonekana ni watu wa hovyo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…