Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

Nakubaliann na wewe lakini Siyo haya mapandikizi. Kumleta mtu kama huyo labda awe kama Dr Lwaitama! kwa mfano
 
Majibu ya maswali haya ni yale yale ya miaka yote ya kwenye Essay mkuu i.e cheap labours,land degradation,Soil Erosion,Industrial revolution,Abolition of slave trade,Lack of infastructures.
 
Yaani Utafikiri kipindi kinaendeshwa na vitoto vya form Four
 
Sijawahi kumsikia katika mateso ya wanachadema, leo eti anataka kuwa rais kutokea CDM.
 
Nakubaliann na wewe lakini Siyo haya mapandikizi. Kumleta mtu kama huyo labda awe kama Dr Lwaitama! kwa mfano
Mnajuaje kuwa Dr Lwaitama siyo TISS ila huyo mama ni TISS?

Sasa hivi hata akishindwa mmeshamtengenezea sababu za kuwachafueni kuwa mmenyima nafasi kwa zengwe which will be a fatal blow kwa chama again.

Kama mnaamini ni pandikizi why msisubiri mchakato wa kuteua wagombea mkameliminate intellugibly badala ya kushambulia huku mitandaoni tena kwa kutumia source za kigogo tu ?

Siku hizi CHADEMA you are losing focus kwenye mambo ya msingi badala yake na nyie mnafanya siasa za kuattack personality za wanachama wenu wenyewe badala ya kufight with your common enemy ccm.

Hii inanipa picha moja kubwa kuwa sasa hivi kitengo chote cha propaganda cha chama ni faulty and it needs an overhaul.

Chama hakiwezi kukwepa wanachama aina hiyo kama ni kweli ni pandikizi but her elimination should be done intelligibly siyo hiki mnachokifanya humu hii inahalalisha hoja za maadui wenu kuwa chama ni cha kundi fulani tu siyo cha watanzania wote.

You should go back to basis guys otherwise you are inflicting blows yourselves which is an advantage to your opponents.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukutaka kusikiliza utumbo wa Mtulia
 
Afaa awe mgombea mwenza na siyo mgombea kamili
 
Sijawahi kumsikia katika mateso ya wanachadema, leo eti anataka kuwa rais kutokea CDM.
Siyo kila mwanachama wa CHADEMA lazima apitie mateso wanayoyapitia viongozi wa juu wa chama.

Lowassa alipewa nafasi ya kugombea urais uliwahi kuona au kumsikia akipitia mateso waliyoyapitia wanachadema ?

Na wala kupitia Mateso kama mwanachama hakijawahi kuwa kigezo cha mtu kupewa nafasi ya kugombea katika CHADEMA.

Tumieni muda huu kuchambua sera zake na kuzikosoa badala ya kujikita kujadili utiss na uanachama wake wa nyuma which has nothing to do with your prosperity as a political party .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…