Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

Kundi wanaojitolea kufa kwa ajili ya chama, siyo hawa wa kutafuta kuteuliwa. Hajawahi kusikika katika mateso ya CDM, anajitokeza Leo kutaka kuteuliwa. Never! Let people and these are opponents make any interpretation they deem very attractive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo rahisi kwa mwanamke kuchaguliwa kuwa Rais wa Tz bado mfumo dume unasumbua sn
Chama hakipaswi kutumia hicho kigezo kama sifa ya kumnyima mtu nafasi apimwe katika mizania sawa na siyo kigezo cha mfumo dume.

Kama chama kinaamini katika usawa kutumia mfumo dume wa nchi ni kupropagate vitu vinavyofuta dhana ya usawa katika chama na taifa CHADEMA should avoid this.

Na chama kimeweza kuwaamini kina mama wengi tu kupeperusha bendera majimboni na wakafanikiwa kwanini tusiwaamini na urais ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali kwa mama yetu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CDM - (Chama Makini )

Mwaka 2015 CDM ilikuwa na sera gani kuhusu Elimu, Kilimo na Viwanda, Je kwa tathmini yako ni kwa kiwango gani sera hizi zimetekelewa na Serikali ya CCM ? kama hazijatekelezwa kwa kiwango stahili, Je walikwama wapi?

Je unafikiri kwa namna gani basi sera hizi zirekebishwe ili sasa unapokwenda kugombea Urais kwa tiketi ya CDM uwe na mzigo mwepesi wakati wa kuzinadi kwa wananchi?

Hi hayo tu mamangu.
 
Shida siyo ndani ya Chadema shida ipo kwa wapiga kura
 
Lowasa alipitia Mateso gani mpaka akapewa nafasi ya kugombea urais ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Chadema kama huoni kuwa kuna mateso ambayo wanachama wa kweli wanayapitia, na hujawahi kukemea na kuonyesha kuwa unakelwa na kinachowapata Chadema, wewe unasubiri kuteuliwa, huwafai. Lazima use brushed immediately

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo CHADEMA kina wanachama wa kweli na wanachama wasio wa kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nakuunga mkono, kama mwanamke ana sifa, si sahihi kuleta ushenzi wa mfumo dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio shida ya kutanguliza ushabiki. Ni nani aliyesema asigombee? Ni kiongozi gani wa Chadema amesema asigombee. Ni wapi nimemzungumzia mtu anayeitwa kigogo? Mtu yeyote anayetaka kugombea nafasi yeyote ya uongozi ( hata za ukaka mkuu) ni lazima wategemee kuulizwa maswali. Hiyo ndio demokrasia. Kwa kuulizwa maswali na kutupiwa tuhuma mapema kunampa nafasi ya kutosha ya kuyatolea maelezo kabla ya uteuzi kufanyika na kuwathibitishia wanachama wenzake kuwa hazina msingi wowote. Ni watu kama nyinyi ndio hamumtakii mema kwa kumtaka alelewe kama yai. Madongo hasa yatakuja pale atakapokuwa mgombea wa urais na kuonyesha kuwa kweli amepania kuchukua urais. Ndiyo siasa ilivyo.

Amandla...
 
CHADEMA hawataki watu wanaolialia huyu ni pandikizi aende kwa KUSAGA akapigwe mitulinga
 

Attachments

  • IMG_20200525_222635.jpg
    22.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…