Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
My wife wangu alinikatalia alinipa nguo za mtoto kufua lol...
Uliniamisha ile mbaya, nimekusubiri sana pale.. Muambie wife wako apunguze sometimes akuachie
Imenoga ila Madame B kaondoka mapema huyo na sikawaida yake labda atatujuza ni kwanini kaacha party ya shoga yake!
Cc Mtambuzi, ruttashborwa, Paloma, Zion Daughter, Kaizer, amu, Jesca, kipaji halisi,
Ana wivu huyo tena kaniambia leo nisitoke cha ajabu mpaka sasa hivi yeye hajaja... lol hahahah
Anafanya sio kama ivyo, mie nataka nifike leo tupo hapa pub wife nae cjui kaenda wapi vile