Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Kwi kwi kwi..Umeua aisee. Tena starehe ni kazi kubwa sanahujui kwamba hata starehe ni kazi.???
Workdone = Force x Distance.
Note:
Distance should be in a direction of the Force
SI Unit:
Workdone = Joule
Force = Newton
Distance = Metre
Njema kaka habari kumvisha nepi Paloma?
Shindwaaaa.... Leta ushahidi km nimeachika!!!
anza. Usikate tamaa.
Narudi
teh!! poleeee....jogoo akizeeka huwa anataga kayai fulani kadogo na huwa kanakuja kwa surprise tu si jogoo wote hufanya hivyo.
Alivaa pampasi sio nepi
Na uzee huu sikuwa kujua. Usinicheke lakini na usimwambie mtu.
Ha ha ha..Basi basi yaishe....Huyu partener ni anony.
Thanks again for passing by and gave us a hi.
Pata maelezo ya ziada toka kwa Arushaone, naye katupia maelezo ya ziada
Pamoja saaana Mbebs wa Ukeweli. Wewe Mkaareeee. kama vipi majuu akina Nyani Ngabu na bongo akina Smile wajipanhe upya!
:cheer2::cheer2::cheer2:Haaaa haaaaa My Super Friend Zion Daughter ni Mbebs wa Ukweli na ni Mkaare. kama vipi yeye ni Superstar wa JF na Mwanaizaya Asprin kapigwa ban na Mbebs. Ajipange upya.
Na wewe mtindo wako wa ku BIP kwenye party zetu za chit chat uwache, ilikuwaje ukatimba maguu na kisha kuteleza katika mazingira ya kutatanisha.Haaaa haaaaa My Super Friend Zion Daughter ni Mbebs wa Ukweli na ni Mkaare. kama vipi yeye ni Superstar wa JF na Mwanaizaya Asprin kapigwa ban na Mbebs. Ajipange upya.
Ahhh wapi..unanienjoy tu hapa.. mie jana nilipata partner nikakusahau.. ulivonitenda white party bado nakumbuka
ha ha ha..Mistari yako inaniacha hoi..Tutoe singo yetu bana tuwe masupastaa..aahhh mwambie hajui tindi kali huyo.... leo nakuja kukuchukua na treni.. twende tabata kula bata na kuyasuluhisha yaliyopita