Sijuani na hao Maboss ndugu yangu, hayo yalikuwa maoni yangu tuKwa maboss wa NSSF kusifia mlima wa fedha waliojikusanyia kwa fedha zetu Wanachama kwa kutumia myororo wa KIKOKOTOO
Waeleweshe umuhimu wa makusanyo ya wanachama kuzaa faida na sio kusifiwa tu!!Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali
Wewe unawazaga posho tuMkuu posho wanatoa ngapi ngani kwa kila mwandishi leo? kimsingi ni kama nauli
Hawa wakipewa nchi sijui itakuwaje...maana sio kwa kupenda posho huko!!Wewe unawazaga posho tu
Waulize hao nsssf kwa nini wasiachane na utaratibu wa kuwasumbua wastaafu kuwajazisha mafomu wakiwa wameshastaafu na hawapo kazini wakati details zote za hao wafanyakazi wanazo au kwa nini wasizihakiki mtu akiwa kabakiza miaka miwili au mmoja kabla ya kustaafu na siku anastaafu au mwezi mmoja kabla hajastaafu mafao yake yawe tayari.!?Balile ametoa maelezo ya utangulizi kuhusu, kwa kupongeza mahusiano mazuri kati ya NSSF na vyombo vya habari yaliyo asisiwa na Dr. Dau na Ofisa mahusiano wake Eunice Chiume, na kumpongeza mkurugenzi wa sasa Masha Mshomba na Osisa mahusiano wake madam Lulu Mengele. Siku zote NSSF inadhamini mikutano ya TEF.
P.
Huo ni uongo kabisaBalile ameipongeza NSSF kwa maboresho mbalimbali ya mafao na mifumo, sasa huna haja kwenda NSSF, bali unatumiwa taarifa za michango yako kwenye simu yako.
P
Hii nayo ni dhuluma kama dhuluma nyingine alafu anakwambia mfuko umenona.Ukiwa private company na ukawa nssf..ukahama na kuhamia government...gov wanatumia psssf..
Kwanin zile pesa za nssf zisihamishiwe psssf badala yake unaambiwa usubiri ustaafu ndio upewe?
Waulize
Mkuu nimesema ni nauli na siyo rushwa, ni kawaida hata Hashimu Rungwe alisema huwa anapokeaMimi kwasababu ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, huwa sifuatilii kabisa mambo ya posho kwasababu mimi najitolea bure. Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
P
Mafisadi yanatajirika kutokana na hii mifukoWastaafu wanapauka lakini mifuko inameremeta.
Wewe hata kwenye Michango ya NSSF haupo ...Wewe unawazaga posho tu
Wewe mbona unasifia mambo ya kijinga ili upate kula kila sikuWewe unawazaga posho tu
Yaani wewe unaweza kudai posho hadi msibani.maana akili yako unaijuwa MwenyeweWewe mbona unasifia mambo ya kijinga ili upate kula kila siku
WaulizeniMada ni NSSF kukutana na TEF, huko kutisha ni observation yangu, na sio tuu kutisha kwa hizo trilioni 8.5, bali pia actuarial valuation ya mfuko wa NSSF, unaonyesha sustainability ya over 90%!, hili sio jambo la kawaida na sio mchezo!.
P
8,500,000,000,000.00 Tanzanian Shillings =Wanabodi,
Niko ndani ya Ukumbi wa NSSF Mafao House, nikiwaletea live ya mkutano wa Jukwaa la Wahariri -TEF na Mfuko wa Pensheni NSSF.
Mfuko wa NSSF umetisha!, sasa una thamani ya zaidi Shilingi Trilioni 8.5 ndani ya kipindi kifupi, na uendelevu wake, sustainability ni 90%!, hili sio jambo la kawaida!, ni NSSF Inatisha!.
Karibuni uandamane nami.
Paskali