Kabisa timu inafunguka unaiona ila huyu Dismas na Fei Kama wakiendelea hivi watafika mbali sana.Kim bonge la kocha, timu inapiga pasi kutengeneza mashambulizi kuanzia nyuma.
Chini ya Ettiene ilikuwa ni kubutua tu mpaka unakosa hamu ya kuangalia
Huwezi kumuona kama unaangalia mpira😂😂😂😂Mzamiru kule hamna mchezaji.
Weka linkTAN 2 MAD 0 28min
Wachezaji wengi wa nyumbani ni wahanga wa makocha wabovuKabisa timu inafunguka unaiona ila huyu Dismas na Fei Kama wakiendelea hivi watafika mbali sana.
Ni kweli kabisa. Mchezaji ameenda kupiga freeMabeki wamezembea sana kwenye hili goli.
Kabisa, yaani kapombe na MOHAMED walikuwa wanamuangalia tu. Sijui wameidharau timu??Mabeki wamezembea sana kwenye hili goli.
Hawana ushirikiano.Wachezaji kama wamekariri kua madagaska watamzuwia msuva tu. Kumbe sivo wakati mwingi msuva anakua peke na hapewi pasi. Tungekua na nne saivi
If you can't beat them, join them. People tend to use english or other foreign language to acknowledge their level of education, ending up in a mess.Edit your post first before allowing comments from the audience...
E. g. Will Stars win or draw at......
Walianza ku relax, hawajui hawa jamaa sio wabaya ata kidogoKabisa, yaani kapombe na MOHAMED walikuwa wanamuangalia tu. Sijui wameidharau timu??
Dah 2.2. Tunaweza kufungwaWalianza ku relax, hawajui hawa jamaa sio wabaya ata kidogo