Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Thank you Tanzanian voters for answering a higher calling by voting..............................
 
Kimara DSM,

Kituo namba 007490 moa kimara
Matokeo
Urais
Chadema-109
Ccm-52
Cuf-3
Spoiled-1
Ubunge-ubungo
Chadema-114
Ccm-40
Cuf-6
Up-1
Tlp-1
Spoiled-1
Diwani kata saranga(kimara)
Chadema-95
Ccm-62
 
Kuna yeyote aliyepo ikulu awe ''muungwana'' kidogo na kutujuza MKWERE ana hali gani? I guess daktari wake yupo stand-bye na drips za kufa mtu!

Nimepata taarifa kutoka Kigoma. NCCR na CHADEMA wanakimbiza mbaya. Nswanzugwanko yupo ICU anapumulia mashine. Hali kadhalika na JK wake. Nafuatilia kwa Zitto
 
Kaloleni A town

 
Kuna kijana anahojiwa ITV wanadai wanalinda kura na wazezuia sanduku moja ambalo walitaka kuliingiza kwa hila.
 
Nahisi kuna watu wanaona raha kufungua thread mpya wengine wanasoma hapa wanakimbilia kufungua ....itabidi zote zianzie hapa....baadaye kwenye compilation kimikoa tunafungulia mikoa,compilation ya NEC[official] na Compilation za vyama[CCM na CHADEMA]
 
Kuna yeyote aliyepo ikulu awe ''muungwana'' kidogo an kutirushia hali ya MKWERE!?

Hajadondoka bado? Kwa hili lazima kutakua na batallion ya AMBULANCE hapo ikulu. Kazi ipo kweli kweli!!
 
CHADEMA Arusha Mjini:

QUOTE=TGS D;1196936]Nimepata matokeo ya vituo vitatu kata ya Kaloleni :
Kituo 1
urais
ccm - 59,
chadema - 152,
ubunge
ccm - 54,
chadema - 113,
cuf 4,
udiwani
ccm - 52,
chadema - 105,
cuf - 12.
Kituo 2,
urais,
ccm - 76,
chadema - 119,
cuf - 2,
ubunge,
ccm - 71,
chadema - 120,
cuf - 2,
udiwani,
ccm - 70,
chadema - 108,
cuf - 11,
TLP - 4,
Kituo 3,
urais
ccm - 67,
chadema - 104,
cuf - 1,
ubunge
ccm - 62,
chadema - 109,
cuf - 0,
udiwani
ccm - 67,
chadema - 97,
cuf - 2.[/QUOTE]
 
Nahisi kuna watu wanaona raha kufungua thread mpya wengine wanasoma hapa wanakimbilia kufungua ....itabidi zote zianzie hapa....baadaye kwenye compilation kimikoa tunafungulia mikoa,compilation ya NEC[official] na Compilation za vyama[CCM na CHADEMA]

Nadhani watu wako excited sana ndo maana wanawahi kuleta breaking new. Tunaweza kuwasamehe kwa hilo. Ila Mods wangejitahidi kuweka compilation ya matokeo ya mwisho sehemu moja.
 
Dah watu wamechachamaa kuchunga matokeo....hawataki kuondoka vituoni!!!mwaka huu wezi wanalo!:smile-big:
 
Kishaja anaripoti:

Matokeo Kijiji Cha Kigarama, Kanyigo, Nkenge (Kagera)
Urais
CCM: 382
Chadema: 342

Udiwani: sijapata kamili ila mgombea wa chadema amemzidi wa CCM kwa kura 61

Kijiji cha nshuma naambia slaa kamzidi JK kwa kura 8, na kwenye udiwani wa CCM amemzidi wa chadema kwa kura 12.

Ubunge - wameairisha ila huyu mama anayegombea hakuwa na mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…