Hii ni Moshi kweli? Yatakuwa maeneo ya maofisi au makazi ya vigogo serikalini nini?Kwa mujibu wa Star TV:
Moshi:
Mawenzi:
Urais:
CCM 67
CHADEMA 40
NCCR 1
Ofisi ya misitu:
Urais
CCM 75
CHADEMA 69
Ubunge:
CCM 68
CHADEMA 107
Mawenzi Shule ya Msingi:
Urais:
CCM 79
CHADEMA 42
Ubunge:
CCM 55
CHADEMA 54
Kituo kidogo Mawenzi:
Urais:
CCM 147
CHADEMA 72
Ubunge:
CCM 102
CHADEMA 62
Mmmh! haya matokeo mbona siyaelewi? Hili si jimbo la Mzee Ndesa hili?
Elli tuko pamoja Mkuu,
Na mimi pia nitaenda kulala muda si mrefu.
Ni matumaini yangu kuwa Wakuu wote tutasaidiana kupashana habari toka vituo mbalimbali.
Kaumza said:Mpaka sasa Peter Serukamba wa CCM anaongoza kwa kura nyingi sana. CHADEMA nao wanaelekea watapata mdiwani wengi na inawezekana wakaishika manispaa.
Asante sana Superman kwa kazi nzuri ya kutuletea habari za uchaguzi bila kuchoka pamoja na usumbufu wote huo, umeonyesha ni jinsi gani ulivyomzalendo wa ukweli na kufananisha na Dr. wa ukweli. Vipi Jimbo la Ubongo, Kawe na Segerea?Elli tuko pamoja Mkuu,
Na mimi pia nitaenda kulala muda si mrefu.
Ni matumaini yangu kuwa Wakuu wote tutasaidiana kupashana habari toka vituo mbalimbali.
Asante sana Superman kwa kazi nzuri ya kutuletea habari za uchaguzi bila kuchoka pamoja na usumbufu wote huo, umeonyesha ni jinsi gani ulivyomzalendo wa ukweli na kufananisha na Dr. wa ukweli. Vipi Jimbo la Ubongo, Kawe na Segerea?
Kwa mujibu wa Star TV:
Moshi:
Mawenzi:
Urais:
CCM 67
CHADEMA 40
NCCR 1
Ofisi ya misitu:
Urais
CCM 75
CHADEMA 69
Ubunge:
CCM 68
CHADEMA 107
Mawenzi Shule ya Msingi:
Urais:
CCM 79
CHADEMA 42
Ubunge:
CCM 55
CHADEMA 54
Kituo kidogo Mawenzi:
Urais:
CCM 147
CHADEMA 72
Ubunge:
CCM 102
CHADEMA 62
Mmmh! haya matokeo mbona siyaelewi? Hili si jimbo la Mzee Ndesa hili?
Malunde Malundi anaripoti:
Sumve CCM Out (Ndassa)
Ubunge Jimbo la sumve
Ngula
CUF 800+
CCM 20+
Malya
CUF 800+
CCM 30+
Sumve
CUF 700+
CCM 20+
Maligisu
CUF 600+
CCM 300+
Kadashi
CUF 500+
CCM 100+
bado kata chache kufungwa kwa mjadala; correction to precision will be made
Kenge (Eng.) said:Habari ndio hiyo. KATA 8 matokeo yametangazwa 4 CCM - 4 Upinzani
1. Kata ya Ijugayondo ilikotua Elcopter ya Slaa - CHADEMA (ilikuwa CCM)
2. Kata Kibeta kwa Lwakatare - CHADEMA (ilikuwa CUF)
3. Kata Rwamishenye - CHADEMA (ilikuwa CUF)
4. Kata Bilele - CUF (ilikuwa CUF)
5. Kata Kagondo - CCM (Anatory Amani aliyetemwa kuwa sio raia na CCM wakat huo akiwa m/kiti wa CCM wa Mkoa. (ilikuwa CCM)
6. Kata Hamgembe - CCM (ilikuwa CUF)
7. Kata nyanga - CCM (ilikuwa CCM)
8. Kata Miembeni - CCM. (ilikuwaCCM)
Mtokajasho said:Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.