Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Kwa mujibu wa Star TV:

Moshi:

Mawenzi:

Urais:

CCM 67
CHADEMA 40
NCCR 1

Ofisi ya misitu:

Urais
CCM 75
CHADEMA 69

Ubunge:

CCM 68
CHADEMA 107

Mawenzi Shule ya Msingi:

Urais:

CCM 79
CHADEMA 42

Ubunge:

CCM 55
CHADEMA 54

Kituo kidogo Mawenzi:

Urais:

CCM 147
CHADEMA 72

Ubunge:

CCM 102
CHADEMA 62


Mmmh! haya matokeo mbona siyaelewi? Hili si jimbo la Mzee Ndesa hili?
Hii ni Moshi kweli? Yatakuwa maeneo ya maofisi au makazi ya vigogo serikalini nini?
 
Naenda kulala sasa, SUPERMAN, Nalala kwa raha sasa


Elli tuko pamoja Mkuu,

Na mimi pia nitaenda kulala muda si mrefu.

Ni matumaini yangu kuwa Wakuu wote tutasaidiana kupashana habari toka vituo mbalimbali.
 
Songea mjini mambo hayajatulia, ni kata moja tu kati ya 21 ambayo yameshafikishwa jimboni. Magari yaliyobeba masanduku yanapigwa mawe kwa mujibu wa ITV.
 
Elli tuko pamoja Mkuu,

Na mimi pia nitaenda kulala muda si mrefu.

Ni matumaini yangu kuwa Wakuu wote tutasaidiana kupashana habari toka vituo mbalimbali.

Hamna kulala hapa hadi kieleweke. Mie nitaendelea kuwaletea matukio hadi kieleweke.
 
Opinionated anatujuza:

Kata sita zaenda CHADEMA wilaya ya ILEMELA
Habari za kuaminika zinasema Kata sita hadi sasa zaenda kwa CHADEMA katika wilaya ya Ilemela na nyingine mbili katika wilaya ya Nyamagana katika mkoa wa Mwanza.​
 
Kutoka Kigoma,

Kaumza said:
Mpaka sasa Peter Serukamba wa CCM anaongoza kwa kura nyingi sana. CHADEMA nao wanaelekea watapata mdiwani wengi na inawezekana wakaishika manispaa.
 
Elli tuko pamoja Mkuu,

Na mimi pia nitaenda kulala muda si mrefu.

Ni matumaini yangu kuwa Wakuu wote tutasaidiana kupashana habari toka vituo mbalimbali.
Asante sana Superman kwa kazi nzuri ya kutuletea habari za uchaguzi bila kuchoka pamoja na usumbufu wote huo, umeonyesha ni jinsi gani ulivyomzalendo wa ukweli na kufananisha na Dr. wa ukweli. Vipi Jimbo la Ubongo, Kawe na Segerea?
 
Hamna kulala hapa hadi kieleweke. Mie nitaendelea kuwaletea matukio hadi kieleweke.

Du!

Asante sana mkuu, unatupa raha sana.

Kweli JF kuna umoja na mshikamano sana.

Hakika mpaka kieleweke!
 
Asante sana Superman kwa kazi nzuri ya kutuletea habari za uchaguzi bila kuchoka pamoja na usumbufu wote huo, umeonyesha ni jinsi gani ulivyomzalendo wa ukweli na kufananisha na Dr. wa ukweli. Vipi Jimbo la Ubongo, Kawe na Segerea?


Asante sana Mkuu.

Matokeo ya awali yanaonyesha majimbo yote hayo yako mikononi mwa CHADEMA.

Ukonga na Temeke na Kigamboni bado hatuna data.
 
Musoma Mjini Chadema wamechuku kata 9 kati ya Kata 13 Star TV


Chadema kata 9
CCM kata 2
Cuf kata 2
 
Kwa mujibu wa Star TV:

Moshi:

Mawenzi:

Urais:

CCM 67
CHADEMA 40
NCCR 1

Ofisi ya misitu:

Urais
CCM 75
CHADEMA 69

Ubunge:

CCM 68
CHADEMA 107

Mawenzi Shule ya Msingi:

Urais:

CCM 79
CHADEMA 42

Ubunge:

CCM 55
CHADEMA 54

Kituo kidogo Mawenzi:

Urais:

CCM 147
CHADEMA 72

Ubunge:

CCM 102
CHADEMA 62


Mmmh! haya matokeo mbona siyaelewi? Hili si jimbo la Mzee Ndesa hili?

I am from Moshi, although i am not there right now.

Si amini hizi results they don't make sense at all.:nono:
 
Malunde Malundi anaripoti:

Sumve CCM Out (Ndassa)

Ubunge Jimbo la sumve

Ngula
CUF 800+
CCM 20+

Malya
CUF 800+
CCM 30+

Sumve
CUF 700+
CCM 20+

Maligisu
CUF 600+
CCM 300+

Kadashi
CUF 500+
CCM 100+

bado kata chache kufungwa kwa mjadala; correction to precision will be made​


hili jimbo lilikuwa wazi kwa chadema, mgombea wa chadema alifanya uzembe kukosea tarehe ya kuzaliwa, kwani Ndasa alikuwa ni dead man walking, RICHARD NDASSA WA CCM HATAKIWI KABISA, NA HUKO MIMI NDO NYUMBANI
 
The Dreamer anatupasha:


Jimbo la Karagwe: Bundi kalia CCM
Habari za uhakika kutoka Karagwe zinadai CCM wamenyolewa manyoya kwa maji baridi na hawakuondoka na kitu kata ya Ndama. Jimbo hili ni kubwa kwa hiyo sherehe hazijaanza ila council huenda imeanguka mikononi mwa CHADEMA tayari. Shangilia ushindi unakuja
 
Boma Mbuzi, Kilimanjaro wananchi wamegoma kwenda nyumbani hadi yabandikwe. Kura zimeshakamilika kuhesabiwa lakini wasimamizi hawajataka kubandika matokeo. Hii ni kwa mujibu wa ITV. Nafikiri kuna uchakachuaji unataka ku-take place. Hongera wananchi kwa kutokubali huu usanii.
 
MMh Masako ITV anachapia au ndo anaegemea CHADEMA? Anadai Tanzania itakuwa na Rais mpya hivi karibuni. Kama Kikwete akishinda je ni Rais mpya? au ameshajua kuwa JK chali!!
 
Kutoka BK

Kenge (Eng.) said:
Habari ndio hiyo. KATA 8 matokeo yametangazwa 4 CCM - 4 Upinzani
1. Kata ya Ijugayondo ilikotua Elcopter ya Slaa - CHADEMA (ilikuwa CCM)
2. Kata Kibeta kwa Lwakatare - CHADEMA (ilikuwa CUF)
3. Kata Rwamishenye - CHADEMA (ilikuwa CUF)
4. Kata Bilele - CUF (ilikuwa CUF)
5. Kata Kagondo - CCM (Anatory Amani aliyetemwa kuwa sio raia na CCM wakat huo akiwa m/kiti wa CCM wa Mkoa. (ilikuwa CCM)
6. Kata Hamgembe - CCM (ilikuwa CUF)
7. Kata nyanga - CCM (ilikuwa CCM)
8. Kata Miembeni - CCM. (ilikuwaCCM)
 
Kutoka Karatu,

Mtokajasho said:
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.
 
Back
Top Bottom