Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Matokeo ya Ubungo ya Ubunge nitawaletea sasa hivi.
 
Sasa Star Tv wanatoa matokeo, kwa creen scrolls. Mamaa ananakili nitawarushia punde:

Mkuu upo vizuri sana, Nimeipenda sana mzee yaani full familia Mama, Baba na watoto bega kwa bega na Data a.k.a Votes, Hah ha ha h ah ha aaaahaaa!!!!! Big -up sana mzee tupe mambo, Maana nipo kazini sasa mambo ya night shift ha h ah ahaaaaa. Thanks Dude
 
Kutoka Mbulu
Sir R said:
Kwa matokeo ambayo tayari yaliyokwishatolewa Chadema inaongoza kwa mbali hasa nafasi ya urais na ubunge; Jk afikishi hata nusu ya kura ya Dr Slaa. Marmo hali yake ni mbaya. Chadema inaweza kupata viti vya madiwani kati ya 15 hadi 20,

Kesho nitajitahidi kuleta takwimu.
 
Ubungo:

Changanyikeni Utawala:
CCM 15
CHADEMA 105
CUF 7

Kawe Mwisho No.. 5

CCM 51
CHADEMA 85
CUF 15
NCCR 5

Oysterbay:

CCM 56
CHADEMA 58
CUF 11
NCCR 3

Kuna matokeo ya Tanganyika Packers sijaweza soma vizuri wameweka matangazo.
 
MAJIMBO YA SHINYANGA YAFANYA KUFURU MBAYA YA USHINDI!!!!!! SIAMINI, KAHAMA NAKO MAMBO SI MAMBO, NISALIMIENI MALARIA SUGUA! TAKWIMU BAADAE LAKINI MANISPAA SHINYANGA KATA 8 chadema, tatu ni CCM
 
Kutoka Kilombero,

josiah2008 said:
Regia Mtema mgombea kupia CHADEMA anaongoza kwa mbali sana dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa.Katika vituo 18 Regia anaongoza vituo 14.

Matokeo zaidi baadaye.
 
JK akiimba; nataka nirudi nyumbani.....halafu wakwere wanaitikia, nipigie, la azizi nipigie,
 
Pentest anaripoti: MASHA OUT!

Masha out nyamagana
Mkoa wa Mwanza
Nyamagana
Kituo cha hesawa

Wenje 126
Masha 78

Kituo cha BOT

Wenje 111
Masha 71

Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38

Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30

Mkuu to be honest hivi ndivyo vituo ambavyo mimi binafsi nilikuwa naviogopa sana. Ila kwa matokeo hayo kama ndivyo ilivyo basi Masha is out maana WANJE amefanya kufuru maeneo ya IGOMA, NATIONAL na NYAKATO. Masha alikuwa anategemea sana hivyo vituo unfortunally ameanguka mbaya
 
Mchungaji Masanilo naye:

Jamani habari za uhakika, Prof Kahigi amechukua jimbo la Bukombe sasa hivi wasumbwa wanakesha wakilewa, Dada yangu Regia Mtema anaongoza vituo vingi vya Ifakara Mjini hadi Mlimba, na Prof Mlambiti Kule Malinyi anachuana vikali na Dr Hadji Mponda, Kifupi jimbo linaenda CHADEMA jamani mabadiliko hayooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
MAJIMBO YA SHINYANGA YAFANYA KUFURU MBAYA YA USHINDI!!!!!! SIAMINI, KAHAMA NAKO MAMBO SI MAMBO, NISALIMIENI MALARIA SUGUA! TAKWIMU BAADAE LAKINI MANISPAA SHINYANGA KATA 8 chadema, tatu ni CCM
Habari njema tunasubiri takwimu.
 
So, kulingana na matokeo kutoa Star TV kwa IRINGA MJINI ni hivi....

CCM = 441

CHADEMA = 709

CCM wameshindwa tayari wajameni!! Makamba na Kinana chupi zimewabana mida hii!
Haya ni ya ubunge au urais?
 
Maswa Magharibi na Mashariki:

Ubunge Maswa Kata ya kulimi Shibuda anaongoza
 
Kituo cha Makongo juu ITV1 hadi ITV5 wanahesabia kura gizani, hii ni kwa mujibu wa ITV mnaoangalia sasa hivi.
Hivi kweli hata Karabai imeshindwa kununuliwa kwa kazi hiyo???
 
Jamani, hata hamfurahi tuu, CHADEMA WANAONGOZA MOSHI KATA 15 kati ya 21, shibe, shibe......CCM
 
Kituo cha Makongo juu ITV1 hadi ITV5 wanahesabia kura gizani, hii ni kwa mujibu wa ITV mnaoangalia sasa hivi.
Hivi kweli hata Karabai imeshindwa kununuliwa kwa kazi hiyo???

Vyote Chadema ameongoza Urais, ubunge na Udiwani
 
Josiah2008 anaripoti:

Regia Mtema mgombea kupia CHADEMA anaongoza kwa mbali sana dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa.Katika vituo 18 Regia anaongoza vituo 14.

Matokeo zaidi baadaye.
 
Kuna matokeo ya vituo vya ITV yametangazwa sasa hivi. Sikuweza kuchukua tarakamu ila inaonekana kwamba CHADEMA wamepiga bao.
 
Vituo vyote vya Makongo juu (ITV1 hadi ITV5) Chadema anaongoza kwa ngazi zote urais, ubunge na udiwani.
Source: ITV
 
Jamani, hata hamfurahi tuu, CHADEMA WANAONGOZA MOSHI KATA 15 kati ya 21, shibe, shibe......CCM

This is very good news.. Habari kutoka Moshi zimekuwa taabu sana leo!!
 
Back
Top Bottom