Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Star Tv wanatoa matokeo, kwa creen scrolls. Mamaa ananakili nitawarushia punde:
Sir R said:Kwa matokeo ambayo tayari yaliyokwishatolewa Chadema inaongoza kwa mbali hasa nafasi ya urais na ubunge; Jk afikishi hata nusu ya kura ya Dr Slaa. Marmo hali yake ni mbaya. Chadema inaweza kupata viti vya madiwani kati ya 15 hadi 20,
Kesho nitajitahidi kuleta takwimu.
josiah2008 said:Regia Mtema mgombea kupia CHADEMA anaongoza kwa mbali sana dhidi ya mgombea wa CCM Abdul Mteketa.Katika vituo 18 Regia anaongoza vituo 14.
Matokeo zaidi baadaye.
Pentest anaripoti: MASHA OUT!
Masha out nyamagana
Mkoa wa Mwanza
Nyamagana
Kituo cha hesawa
Wenje 126
Masha 78
Kituo cha BOT
Wenje 111
Masha 71
Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38
Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30
Jamani habari za uhakika, Prof Kahigi amechukua jimbo la Bukombe sasa hivi wasumbwa wanakesha wakilewa, Dada yangu Regia Mtema anaongoza vituo vingi vya Ifakara Mjini hadi Mlimba, na Prof Mlambiti Kule Malinyi anachuana vikali na Dr Hadji Mponda, Kifupi jimbo linaenda CHADEMA jamani mabadiliko hayooooooooooooooooooooooooooooooooo
Habari njema tunasubiri takwimu.MAJIMBO YA SHINYANGA YAFANYA KUFURU MBAYA YA USHINDI!!!!!! SIAMINI, KAHAMA NAKO MAMBO SI MAMBO, NISALIMIENI MALARIA SUGUA! TAKWIMU BAADAE LAKINI MANISPAA SHINYANGA KATA 8 chadema, tatu ni CCM
Haya ni ya ubunge au urais?So, kulingana na matokeo kutoa Star TV kwa IRINGA MJINI ni hivi....
CCM = 441
CHADEMA = 709
CCM wameshindwa tayari wajameni!! Makamba na Kinana chupi zimewabana mida hii!
Kituo cha Makongo juu ITV1 hadi ITV5 wanahesabia kura gizani, hii ni kwa mujibu wa ITV mnaoangalia sasa hivi.
Hivi kweli hata Karabai imeshindwa kununuliwa kwa kazi hiyo???
Jamani, hata hamfurahi tuu, CHADEMA WANAONGOZA MOSHI KATA 15 kati ya 21, shibe, shibe......CCM