Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi
Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF.
Ratiba ya FCC.jpg

Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza

Karibuni sana.

Paskali
 
Mkuu nataka kujua faida ya hilo jukwaa la wahariri na hivyo vikao vyao vya kila mara!
 
Back
Top Bottom