LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

Nimeuliza swali dogo sana yaani katika Vita hii inayopiganwa kati palestina na Israel aliyechokonoa ugomvi ukaanza ni nani?? Kulikuwa na utulivu sana sasa kilichowatuma kuanzisha ugomvi ni nin
Yaani wewe ficha ujinga wako.Tokea lini kukawa na utulivu kati ya wapalestina na Israel?
Kabla ya Oktober 7 Israel imekuwa ikiua ,kuteka na kuhodhi ardhi ya wapelestina kila siku.West Bank wapalestina wamekuwa wakishambuliwa na walowezi na askari wa kiyahudi kila siku.
Umeanza kuujua huu mgogoro tarehe 7 Oktober?Ficha ujinga wako kwa kukaa kinya.
 
Israel baada ya ku-survive genocide ya hitler, akihisi hata jani tu linamgusa mguuni lazima ashushe rungu, kile walichofanya Hamas october 7 kitawagharimu sana hao wapalestina kuwalea magaidi, ndo maana Marekani inamuia vigumu kuwashawishi Israel kusimamisha mapigano kabla hawajafikia malengo yao.

Ninachoona Israel analenga kuwatokomeza Hamas wasikae eneo la Gaza ili athibiti hilo eneo lote kiulinzi na kiusalama, baada ya occupied West Bank tunaenda kushuhudia occupied Gaza.​
 
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1745468349499261416?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hivi aliyeanzisha hii Vita ni nani,,,ukiniulia mwanangu mmoja naweza kukuulia familia yako yote
Wewe huenda una umri mdogo na hii vita umeijulia JF Oct 7

Hii vita imeanza toka mwaka 1948
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wanaukumbi.

View: https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL

Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ.

Inasaidia Afrika Kusini:

🇲🇾 Malaysia
🇹🇷 Uturuki
🇯🇴 Jordan
🇧🇴 Bolivia
🇲🇻 Maldives
🇳🇦 Namibia
🇵🇰 Pakistan
🇪🇬 Ligi ya Kiarabu
🇨🇴 Colombia
🇧🇷 Brazil

🇺🇸 Marekani inatoa sauti za upinzani, huku 🇪🇺 EU ikikaa kimya na 🇬🇧 Uingereza inakataa kuungwa mkono.

Vyanzo: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu

Muda sio mrefu mtasikia 'Assassination' kwa moja wapo ya viongozi katika nchi iinayoshitaki au washirika wanaounga mkono Israel kushitakiwa.

Afrika kusini ilishajitoa uanachama kwenye ICC sasa sijui kiherehere ni kipi hapo.

China, Marekani, Russia, Irani sio wanachama wa mahakama hiyo na haziitambuui hata Israel haiitambui mahakama ya ICC.

Israel sio mwanachama wa ICC
"Israel is not a member of the ICC and disputes its jurisdiction on the basis that Palestine is not a sovereign state capable of being a party to the Rome Statute, and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu repeatedly condemned the allegations and investigation"
 
ICJ siyo ICC!
 
Mkuu,

Hiyo Mahakama huwa haina meno yoyote ya kuuma, Urusi nadhani ilishatakiwa na Ukraine, hakuna chochote kile kilichofanyika! Pande zote, nikiwa na Maana Israel na South Africa zimetoa hoja zao, unaona kabisa hiyo Court imeachwa njia panda! Huwa naiona is more symbolic court! Na kwesi hii maamuzi nadhani yanaweza kutolewa baada ya mwaka! Huko Gaza inawezekana kukawa na utawala mwingine kabisa! Hamas wanaweza kubalia underground lakini sio kuwa na utawala wowote ule! Hivyo hata maamuzi ya Court yakitoka hayawezi kubadili mwelekeo wa hapo mahali.
 
Back
Top Bottom