Yaani wewe ficha ujinga wako.Tokea lini kukawa na utulivu kati ya wapalestina na Israel?Nimeuliza swali dogo sana yaani katika Vita hii inayopiganwa kati palestina na Israel aliyechokonoa ugomvi ukaanza ni nani?? Kulikuwa na utulivu sana sasa kilichowatuma kuanzisha ugomvi ni nin
Yaani wewe ficha ujinga wako.Tokea lini kukawa na utulivu kati ya wapalestina na Israel?
Kabla ya Oktober 7 Israel imekuwa ikiua ,kuteka na kuhodhi ardhi ya wapelestina kila siku.West Bank wapalestina wamekuwa wakishambuliwa na walowezi na askari wa kiyahudi kila siku.
Umeanza kuujua huu mgogoro tarehe 7 Oktober?Ficha ujinga wako kwa kukaa kinya.
Nimeuliza swali dogo sana yaani katika Vita hii inayopiganwa kati palestina na Israel aliyechokonoa ugomvi ukaanza ni nani?? Kulikuwa na utulivu sana sasa kilichowatuma kuanzisha ugomvi ni nin
Israel baada ya ku-survive genocide ya hitler, akihisi hata jani tu linamgusa mguuni lazima ashushe rungu, kile walichofanya Hamas october 7 kitawagharimu sana hao wapalestina kuwalea magaidi, ndo maana Marekani inamuia vigumu kuwashawishi Israel kusimamisha mapigano kabla hawajafikia malengo yao.
Ninachoona Israel analenga kuwatokomeza Hamas wasikae eneo la Gaza ili athibiti hilo eneo lote kiulinzi na kiusalama, baada ya occupied West Bank tunaenda kushuhudia occupied Gaza.
Wanajua fika wanachokifanya
Muda sio mrefu mtasikia 'Assassination' kwa moja wapo ya viongozi katika nchi iinayoshitaki au washirika wanaounga mkono Israel kushitakiwa.Wanaukumbi.
View: https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
๐ฟ๐ฆ๐ฎ๐ฑ KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL
Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ.
Inasaidia Afrika Kusini:
๐ฒ๐พ Malaysia
๐น๐ท Uturuki
๐ฏ๐ด Jordan
๐ง๐ด Bolivia
๐ฒ๐ป Maldives
๐ณ๐ฆ Namibia
๐ต๐ฐ Pakistan
๐ช๐ฌ Ligi ya Kiarabu
๐จ๐ด Colombia
๐ง๐ท Brazil
๐บ๐ธ Marekani inatoa sauti za upinzani, huku ๐ช๐บ EU ikikaa kimya na ๐ฌ๐ง Uingereza inakataa kuungwa mkono.
Vyanzo: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
ICJ siyo ICC!Muda sio mrefu mtasikia 'Assassination' kwa moja wapo ya viongozi katika nchi iinayoshitaki au washirika wanaounga mkono Israel kushitakiwa.
Afrika kusini ilishajitoa uanachama kwenye ICC sasa sijui kiherehere ni kipi hapo.
China, Marekani, Russia, Irani sio wanachama wa mahakama hiyo na haziitambuui hata Israel haiitambui mahakama ya ICC.
Israel sio mwanachama wa ICC
"Israel is not a member of the ICC and disputes its jurisdiction on the basis that Palestine is not a sovereign state capable of being a party to the Rome Statute, and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu repeatedly condemned the allegations and investigation"
Muda sio mrefu mtasikia 'Assassination' kwa moja wapo ya viongozi katika nchi iinayoshitaki au washirika wanaounga mkono Israel kushitakiwa.
Afrika kusini ilishajitoa uanachama kwenye ICC sasa sijui kiherehere ni kipi hapo.
China, Marekani, Russia, Irani sio wanachama wa mahakama hiyo na haziitambuui hata Israel haiitambui mahakama ya ICC.
Israel sio mwanachama wa ICC
"Israel is not a member of the ICC and disputes its jurisdiction on the basis that Palestine is not a sovereign state capable of being a party to the Rome Statute, and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu repeatedly condemned the allegations and investigation"