Mbona mimi Nmekuuliza swali dogo tu lakini umenijibu mambo ya hovyoFreemasons njooni Polepole, hapa Pana ulinzi, halipo ambalo halitafunuliwa Ili kuwatenga Wana wa Mungu na kuzimu ya moto.
Amen
Swali langu lilikuwa na maana kubwa sana kukuuliza kama wewe ni mwendawazimu au laa!Sitakijibu ewe mwana wa kuzimu,
Tayari umeriport Ili Uzi ufutwe,
Wamesoma wengi tayari na watapata msaada.
Amen.
Sitakujibu ewe mwana wa kuasi.Mbona mimi Nmekuuliza swali dogo tu lakini umenijibu mambo ya hovyo
Freemason wako wapi, waje kufanya nini nawewe.
Unapaswa kujibu unachoulizwa siyo hisia zako zinapokutuma
Hali yako ya afya ya akili ni mbaya, unahitaji msaada wa haraka.Sitakujibu ewe mwana wa kuasi.
Potelea gizani in Jesus Christ name of Nazareth.Hali yako ya afya ya akili ni mbaya, unahitaji msaada wa haraka.
Nakushauri fika kwa wataalamu wa psychology haraka na mapema iwezekanavyo.
Shukrani
Jibu swali langu usipindishe hoja hiyo smart phone unayotumia je?Njia ya Mbinguni ni nyembamba sana.
Mababu zako wengi wako kuzimu,
Epuka nilokudokeza na acha dhambi nilizodokeza na utazoendelea kuzisoma Ili usiwafuate Babu zako kuzimu ya moto.
Amen
Mimi Kwa Mfano,Jibu swali langu usipindishe hoja hiyo smart phone unayotumia je?
Hii kitu haipo,Yesu hawezi kukutumia wewe kuhukumu watu wake aliowafia msalabani;Potelea gizani in Jesus Christ name of Nazareth.
Amen
Msabato usiye na Macho ya Rohoni, huwezi kujua nani ni nani!!Hii kitu haipo,Yesu hawezi kukutumia wewe kuhukumu watu wake aliowafia msalabani;
Unaita watu wana wa ibilisi wakati kwenye uzi wako umemtangaza ibilisi kuliko masihi!
Jitafakari
Nakuhakikishia wewe ni mjinga,yaani umeamua kushambulia wasabato badala ya mimi tunayehojiana hapa?,mbona mimi sijasema haya katika mlengo wa walokole?Waacheni watoto WADOGO waje kwangu, msiwazuie maana watoto WADOGO kama Hawa, ufalme wa Mungu ni wao.
Kuwaacha watoto wamfuate Yesu ni kuwaelekeza waende Kanisani, ni kuwafundisha neno la Mungu.
Ni kuwazuia wasiangalie picha mbaya ambazo zitawafanya wawe wahalifu.
Ni kuwa
Huu ni ujinga na upumbavu,ngoja uendelee kutukana wasabato,mimi nitakuacha umalizane nao maana una uwezo mdogo wa kuchambua mambo!,mimi nitaendelea kuheshimu imani yako,ila wewe mwenyewe ni wa kudharauliwa!Msabato usiye na Macho ya Rohoni, huwezi kujua nani ni nani!!
Mafarisayo ndo walioshiriki kumwua Yesu. Sasa umeungana na mapepo nusu mtu nusu binadamu kunishambulia.
Yesu mwenyewe aliwaita watu "Mbweha" na alikuja duniani kuokoa, Unadhani Kila umuonaye au kujibizana nae ni mtu, utachelewa sana!!
Anzisha thread Yako unyooshe nilipopindisha.Nakuhakikishia wewe ni mjinga,yaani umeamua kushambulia wasabato badala ya mimi tunayehojiana hapa?,mbona mimi sijasema haya katika mlengo wa walokole?
Nakuambia,Kristo haubiriwi kwa kutangaza mabaya ya shetani,hii injili yako haipo na haina uzima ndani yake.
Endelea kudanganya watu,ila natamani uijue kweli ikuweke huru,kwanini unatangaza kazi za shetani badala ya wema wa Masihi?,
Ukiulizwa maswali unaweka maneno ya uongo au mafungu usiyoyaelewa!
Unakosea sana,ndio maana nasema,sina imani wala uhakika kama kabla ya kuandika huwa unatafakari madhara ya utakachoandika,utapoteza watu na usipokuwa makini hata wewe mwenyewe utapotea,usijione umekamilika eti hauhitaji elimu zaidi,umejikinai sana aisee.
Ili iweje?,Anzisha thread Yako unyooshe nilipopindisha.
Unaonaje ndugu The spirit of Tanzania?
No comment.Ili iweje?,
Si ungesema tu kuwa usiulizwe maswali?
Mbona hicho kitabu chenu mahali fulani imeandikwa "Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu. Nanyi mwe na dhamiri njema, ili katika neno lile mnalosingiziwa, watahayarishwe wale wautukanao mwenendo wenu mwema katika Kristo", mbona wewe haupo katika kundi la wenye tumaini na hauko tayari kumjibu kila mtu,unaishia kutukana wati tu?,
Hivi unaamini kabisa Kristo huyu atahubiriwa kwa njia uliyotumia wewe?
Hapana,unakosea,umejikinai sana.
Uzuri uzi huu naomba ubaki,usifutwe,maana itakuwa ushuhuda kwako na kwa watu wengine wanaoweza kupotea kwa uongo wako,nakuombea sana uijue kweli ikuweke huru!
Wewe umeshatukama imani za wenzako ila kamwe sitatukana imani yako lakini nakuthibitishia una shida kubwa na mbaya sana kiimani nayo si nyingine ni kujikinai.
Jifunze unyenyekevu!No comment.
" Live kutoka kuzimu" itaendelea soon!
Endelea kusoma Ili ucoment utakavyo.
Waliokoka wapo mbinguni, Sio huku Duniani mkuu. Uzi wako ulianza vizuri lakini ukaja kuharibu.Wasioingia hapo kuzimu Ngazi ya pili ni wachawi.
Mungu Hana mipaka, aliye na YESU ana faraja la juu kuliko Malaika wa Nuru.
Aliyeokoka ni Mwana wa Mungu, Malaika ni watumishi wa waliookoka. Hakuna mipaka Wala vizuizi sababu Yesu ametaka tuyajue Ili tuwaase.
Manabii wa uongo wanawambia half truth, Mimi nakupa KWELI yote Ili usijesema sikuyajua au kuyasikia haya.
Amen
WATAKATIFU walioko duniani ndio ni Walio Bora, hao ndio ninaopendezwa nao (Zaburi 16:3).Waliokoka wapo mbinguni, Sio huku Duniani mkuu. Uzi wako ulianza vizuri lakini ukaja kuharibu.
"Kama ilivyo mbali mbingu na Dunia, ndivyo akili ya Mungu ilivyo mbali kuliko Akili za wanadamu." Ni vyema kukumbushana kutenda mema lakini sio kwa staili unayoitumia.
Kumwambia mtoto ukiendelea kuvuta bangi na madawa ya kulevya kuwa hatari inayomkabili mbele ikiwa ataendelea ni kifungo, kuwa mwehu au kufa ni kumtisha?Inaonekana hata parenting style Yako ni ya kumtisha mtoto badala ya kumueleza facts behind ili aache kufanya kitu ambacho hutaki akifanye.
Hofu inaenda halafu inakuja kupotea, lakini kitu ambacho unakielewa nje ndani ni ngumu kururdia kukifanya.