Nakuhakikishia wewe ni mjinga,yaani umeamua kushambulia wasabato badala ya mimi tunayehojiana hapa?,mbona mimi sijasema haya katika mlengo wa walokole?
Nakuambia,Kristo haubiriwi kwa kutangaza mabaya ya shetani,hii injili yako haipo na haina uzima ndani yake.
Endelea kudanganya watu,ila natamani uijue kweli ikuweke huru,kwanini unatangaza kazi za shetani badala ya wema wa Masihi?,
Ukiulizwa maswali unaweka maneno ya uongo au mafungu usiyoyaelewa!
Unakosea sana,ndio maana nasema,sina imani wala uhakika kama kabla ya kuandika huwa unatafakari madhara ya utakachoandika,utapoteza watu na usipokuwa makini hata wewe mwenyewe utapotea,usijione umekamilika eti hauhitaji elimu zaidi,umejikinai sana aisee.