Live kutoka kuzimu!

Ushawai kufika mbona unaleta story za kufikilika
Ebu acha kutisha watu kwa vtu ambayo ata ww huvijui mchungaji wako havijui wala shehe avijui na hajawai kuvishuhudia
We ni binaadam km sisi tu sa kutuletea habar za kuzimu au mbinguni uwo ni ukiazi
 
Una uhakika gani hiyo kesho ipo? Kwamba mimi au wewe tutaiona? Itoshe kusema na wewe pia unaongelea kitu cha kufikirika
 
Ushawai kufika mbona unaleta story za kufikilika
Ebu acha kutisha watu kwa vtu ambayo ata ww huvijui mchungaji wako havijui wala shehe avijui na hajawai kuvishuhudia
We ni binaadam km sisi tu sa kutuletea habar za kuzimu au mbinguni uwo ni ukiazi
Mwamini YESU kristo wa Nazareth,Mungu aliyekuja katika mwili Toka Mbinguni ikiwa huamini nilicholeta.
 
Katuni nyingi zina siri ndani yake nyingi ni za kisheta ni kiongozi hasa zimelenga kuwaharibu ufahamu watoto,miziki,maigizo,sinema na michezo mbalimbali ni ya kishetani hili Roho Mtakatifu keshanifundisha
 
Amen

Share nasi experience Yako,

Labda watakuelewa wewe.
 
Mkuu Tuendelee na Live kutoka kuzimu. Usijibu watu wakipingao. Umefikisha ujumbe ni uamuzi wa watu kuanzia sasa.

Kaa kimya endelea na somo. Mtu kama akikuambia ni mpinga Kristo kubali na songa mbele. Acha kujibishana
 
Ushawai kufika mbona unaleta story za kufikilika
Ebu acha kutisha watu kwa vtu ambayo ata ww huvijui mchungaji wako havijui wala shehe avijui na hajawai kuvishuhudia
We ni binaadam km sisi tu sa kutuletea habar za kuzimu au mbinguni uwo ni ukiazi
Soma sasa kitabu Cha ufunuo wa Yohana,

Yohana alikuwa mwanadamu pia.
 
Katuni nyingi zina siri ndani yake nyingi ni za kisheta ni kiongozi hasa zimelenga kuwaharibu ufahamu watoto,miziki,maigizo,sinema na michezo mbalimbali ni ya kishetani hili Roho Mtakatifu keshanifundisha

Na sio katunzi tu. Mambo ni mengi sana kama kubeti, mieleka, movies etc.. ukweli ndio huo. Hata mimi natizama vitu kama movies, but I’m very selective na nikiona haina wema wa Ki Mungu ndani yake nafuta Mara moja. Ila ukweli ni kua sports and entertainment industry nyingi ina lengo la kupofusha fahamu za watu rohoni
 
Mkuu Tuendelee na Live kutoka kuzimu. Usijibu watu wakipingao. Umefikisha ujumbe ni uamuzi wa watu kuanzia sasa.

Kaa kimya endelea na somo. Mtu kama akikuambia ni mpinga Kristo kubali na songa mbele. Acha kujibishana
Nakuelewa.

Kutowajibu ni BUSARA, ila mara moja moja ni vizuri wajibiwe Ili wasojua kabisa neno wasijeamini upotoshaji wao, maana wanaquote neno.

Nikuulize, Umesoma habari ya NDOA za mapepo na majini mahaba kupitia lango la ndoto?

Share nasi experience Yako.
 
Katuni nyingi zina siri ndani yake nyingi ni za kisheta ni kiongozi hasa zimelenga kuwaharibu ufahamu watoto,miziki,maigizo,sinema na michezo mbalimbali ni ya kishetani hili Roho Mtakatifu keshanifundisha
ushetani upo kwenye akili ya mtu na shetani haleti udhihilisho kwa mtu yeyote ambaye hajajua huo ushetani unatenda kazi
hivyo hayo mambo ni uzushi tu mimi nilipokua mdogo niliangalia movies nyingi za ajabu na hata sikuwaza huo ushetani na sikupata athari zozote
mpaka pale nilipokua watu wakaanza kunijaza kua huo ni ushetani ndio shetani akaingia kazini kunisulubu kwa dhamiri yangu
nashukuru nilipojitambua nilipuuzia huo uzushi!
kumbuka Ayubu alijaribiwa kwa dhamiri yake mwenyewe maana alitoa sadaka za kujishtukia kwamba Mungu awalinde na kuwasamehe wanae wakiwa kwenye paty wakati Mungu hana hata nongwa nao hapo akampa Ibilisi upenyo wa kujua madhaifu na hofu yake ilipo
haya mambo ya spiritual ni tata sana ila ni rahisi mno!
 
Ubarikiwe.
 
Yaani huamini kuhusu mwisho wa Dunia hii!!

Huamini kuwa WATAKATIFU watanyakuliwa,

Na vyote vimo katika maandiko utanifundisha nini wewe?
 
.
 
Hizi hadithi nilisha zisoma sana tena zipo nyingi sana na zilinitengenezea hofu kubwa sana 🤣🤣
Lakini nikaja kugundua baadaye ni story tu za kusadikika hazina kweli yoyote ni imaginations tu za binadamu
 
Binafsi sijasoma ila mambo Haya yamenitokea mwenyewe na kwa Hakika ni Roho tu wa Mungu ndiye aliyenishindia na wala sikwenda kwa Mchungaji wala kiongozi yeyote wa Kiroho.

Awali nilikua mpiga Punyeto hadi pale Mungu aliponikomboa na kuacha hadi hivi leo. Baada ya kua nimeacha Punyeto nilikaa kitambo kama cha miezi 6 ndipo nilipoanza kuota nafanya mapenzi. Awali niliokua naota nafanya nao mapenzi kuna Mda niliwatambua na kuna Mda sikuwatambua.

Hali ile kwa awali niliifurahia kwani niliona kama substitute ya punyeto. Lakini mambo Haya yakiendelea nilikua nasali tu kawaida. Na kila nilipoota nafanya hayo nilikua hadi nakojoa kama ambavyo Mtu mwingine afanyavyo na Mwanamke.

Lakini siku moja iliyo mpendeza Mungu macho Yangu ya rohoni yalitiwa nuru na kutambua kinachoendelea ni Ibaada ya shetani. Na ndipo nilioingia katika maombi ili kuharibu vifungo vyote vya kiroho na maagano yote ya kipepo niliyoyaingia kwa kujua ama kutokujua. Ikiwa ni pamoja na kuvunja maagano niliyowahi kuingia na wanawake niliokua nao kimahusiano huko awali. Ninamshukuru Mungu sana toka wakati ule hadi sasa sijawahi kuota ndoto kama hizo tena na maisha yanaenda vizuri kwa amani ya Bwana.

Warumi 8:28-30. Katika mambo yote Mungu hufanya kazi na wote wampendao na wale wote awapendao. Unajua kuna wakati ambao Mungu anaamua kujifunua mwenyewe katika maisha yako na ukimpokea huna haja ya kutumia nguvu na akili zako kujiongoza. Bali hekima yake tu itakuongoza na kukujulisha jema na baya na Moyo wako utakua na Amani.

Na hata ukikosa Roho wa Mungu atakujulisha mapema sana wapi ulipokosa na kwa hakika hauwezi kukaa kwa amani kama haujatubu. Ni hadi utubu ndipo amani inakurejea. Na kuna Mda hata ukitubu bado dhamiri inakua kama haijaridhika na hivyo unajikuta ukiendelea kuutafuta uso wa Mungu zaidi na zaidi.

Nini nachotaka kusema hapa. Waongozwao na Mungu, huongozwa na Roho wa Mungu na wale waongozwao na Ibilisi huongozwa na Roho ya uasi. Mfano Farao alikua ni Mtu Bali Ndani ya Farao kulikua na Roho ya Uasi ya Ibilisi.

Kwa hiyo ili kuushinda ulimwengu huu ni lazima ujikane kwelikweli. Kuishinda tamaa ya Uzinzi, uongo, ulevi n.k kwanza ni wewe kujikana kwanza na kumuomba Roho wa Mungu akufanikishe. Tofauti na hapo hakuna matokeo.

Chukua mfano Watu wanabishania mpira toka asubuhi akiamka hadi jioni. Unaona ni hali ya kawaida? Watu wanavyofatilia connections za utupu unaona ni kawaida? Watu wanavyotukana matusi neno moja lingine tusi unaona kawaida? Mizaha, n.k Roho ya utenda kazi ya uovu ipo na Roho ya Mungu pia ipo inatenda kazi.

Mwisho unachokisema Rabbon ni sahihi sana na vipo.
 
Samahani jamaa yangu hicho anachokisema Rabon ni tofauti kabisa na ushuhuda wako,
Rabbon yeye anachokiongelea hapo ni hukumu ya moja kwa moja kwa hao
watendao hayo baada ya kufa👁️👁️Ila kwa upande wako ww hujasema kuwa labda ulijitahidi kuiacha hiyo tabia, ila ni kwa neema tu na ya Mungu tukajikuta unaacha si kwa juhudi zako
Kwa hiyo Mungungu asingekutoa huko kwenye hiyo tabia kwa hivyo unakiri baada ya kufa ungeenda motoni si ndiyo?
Haya kwa huyu mtoto muangalia katuni? Anakufafa Sasa bila hata kujua kama ilikuwa ni kosa kuangalia katuni anaenda motoni si ndiyo?
Swali kwa nini Mungu hakumuepusha huyu mtoto na kuangalia katuni na moto baada ya kufa na akuepusha wewe mpiga punyeto na moto baada ya kufa?
Tunaishi chini ya Neema ya Mungu katika Kristo Yesu. Hivyo hatupaswi kuhukumiana wala kujihukumu tulishasamehewa yote hakuna cha moto wala nn?
 
UBARIKIWE!

Post no 294 nimeleta nwendelezo,

Zipo pia njia ambazo unaweza tumia kuvunja NDOA na kubatilisha hati za NDOA za kipepo.

Pia waeza saidia wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…