Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

Naomba uelezee sehemu unasema hizi ni roho za wafu,Yesu alisema roho haina nyama wala mifupa,sasa mbona roho hizi za wafu usemazo hapa inaonekana wazi zina nyama na mifupa?
(Luke 20 ) ndipo Yesu aliwajibu mafarisayo kuwa mtu akifa anakuwa kama tu malaika. Hawaoi Wala Kuolewa.

Alikuwa akiwajibu swali mafarisayo kuwa mtu akifa ana mke na hajazaa mtoto, mtu mwingine akimwoa mke yule, siku ya ufufuo, mke atakuwa wa nani?

Mbinguni watu Walio huko ni Roho, Malaika hawaoi au Kuolewa huko, Mungu ndiye mfalme wetu, sisi ni Wana na Malaika ni watumishi wake.

KUZIMU ni tofauti na Mbinguni, kuzimu wanaingiliana kinyume na maumbile, mchawi mme huzini na wenzie kinyume, mama kuzini na mtoto ni kawaida kabisa, ndomana wanataka TABIA za kuzimu zihamie Duniani.

Wakati huo huo Mungu anataka mfumo wa Mbinguni utumike duniani hivyo vita IPO inaendelea kati ya falme hizi mbili.

Mtu ni Roho, anayo NAFSI na anaishi ndani ya mwili.

Mwili haiwezi kusikia maumivu yoyote Roho ikiondoka ndani ya MWILI mtu akifa.

Maumivu mtu anayosikia yapo katika NAFSI.

Mtu wa ndani, anao mwili yaani Roho ana viungo vyote, mikono, miguu, macho nk nk na ni HALISI kabisa.

Kila kitu ukionacho kinaanzia Ulimwengu wa Roho kabla ya kuja katika mwili.

Ukisomwa (Luke 16:19-31).kisa Cha tajiri na maskini, tajiri alikuwa akiteswa na kufungua moto na akisikia kiu na kuomba aletewe maji,

Nami nikuulize, iweje mtu awe katika mwili wa Roho aombe maji?

Na akinywa maji yayaingia katika tumbo lipi wakati Yu katika mwili wa Roho?

Mbinguni ipo Mito ,Kuna miti, maua, wanyama,maji mito, chakula kama duniani,tofauti tu viko katika mfumo wa kiroho.

Neno la Mungu ni chakula Cha Roho Kwa watakatifu na usipokila unakuwa dhaifu katika mwili wa Roho,unakuwa kimbaumbau, ukishambuliwa na mapepo, utaumia.

So katika Roho Kila kitu kinafanyika kama duniani lakini ni katika ukurasa wa Roho.

KUZIMU zipo silaha, vipi viwanda, hata watu nusu mtu nusu Pepo wanatengenezwa huko, yapo magari, ndege za kichawi na zaidi ya hapo.

Wapo masheikh hutengeneza majini Kwa msaada wa mapepo Kutoka kuzimu.

Mapepo yanakula chakula, Damu ndicho chakula Chao kikuu.

Hivyo, Kwa uchache ujue kuwa, Kila kilicho katika mwili kipo katika Roho.

Amen
 
Ushetani ni matendo yako maovu usisingizie mapepo.
Uzinzi ni kwa tamaa ya mwili wako.
Wizi ni kwa tamaa ya usichonacho.
Inshort dhambi zote wewe ndo mkurugenzi mtendaji.

Mtu umeperuzi mwenyewe online mitandaoni ukatazama binti ukampigia ukafika ulipotaka kufika nae halafu unasema ni mapepo huko facebook. UNAFIKI.
Hujawahi kusikia watu wakisema ana Pepo la ngono?

Vitu na DHAMBI zote afanyazo mwanadamu nyuma yake yupo shetani,

Shetani hukufanya na kukushawishi ufanye dhambi Kwa hiari Yako, na wakati mwingine hukulazimisha,

Mfano ukiona mtu amejinyonga sehemu yoyote, jua lazima aliingiwa na Pepo lililompa ujasiri wa kujiua, maana Kwa kawaida, mtu kuutoa uhai wake ni impossible pekeake sababu Mungu aliweka HOFU ndani ya mtu Kutoa uhai.
 
Ulianza vizuri ila umeharibu mwishoni, UPUUZI MTUPU.
Ni sawa sababu ndivyo uonavyo.

UKWELI ni Upanga, tena two edged sword.

Ni ngumu kumeza lakini lazima usemwewote Ili mpone.

Amen
 
Hujawahi kusikia watu wakisema ana Pepo la ngono?
Kama uthibitisho ni watu kusema wapo wanaosema hakuna MUNGU.
Vitu na DHAMBI zote afanyazo mwanadamu nyuma yake yupo shetani,
Dhambi unazifanya wewe kwa tamaa zako wewe za kimwili na tamaa zinginezo.
Shetani hukufanya na kukushawishi ufanye dhambi Kwa hiari Yako, na wakati mwingine hukulazimisha,
Nyege zako ndo husababisha ununue malaya, tamaa ya mali husababisha uibe n.k n.k
Mfano ukiona mtu amejinyonga sehemu yoyote, jua lazima aliingiwa na Pepo lililompa ujasiri wa kujiua, maana Kwa kawaida, mtu kuutoa uhai wake ni impossible pekeake sababu Mungu aliweka HOFU ndani ya mtu Kutoa uhai.
Ulijinyonga lini boss? Watu wanajinyonga kwa sababu tofauti tofauti. Sababu za Mkwawa kujinyonga ni tofauti na za jirani yako aliyeachwa na mpenzi.
 
Kwa hyo shetani aliyeanguka dhambini naye amakuwa mtoa hukumu?
 
Mi na nyumba yangu tutamwabudu YESU/MUNGU...

Bora umefafanua maana kuna watu wanafikiri Kila kifo ni cha Mungu...

Hawajui kuna kifo cha Shetani ambacho kinasababishwa na wakala wake wachawi..
 
Mkuu hem naomba uelezee hapa,kuna fungu linasema mshahara wa dhambi ni mauti,maana yake ni nini?

Pia,naomba uelezee huko kuzimu watu wanakufa au wanaendelea kuishi milele huku wakiteseka?

Naomba pia uelezee,fungu linasema mahari pa ibilisi na waovu wote(wakiwemo hao mapepo) hapatakuwepo tena,ina maana gani?
Ni vizuri ukajua Kifo ni nini.

KIFO kina tafsiri nyingi.
1. WAFU WANAOTEMBEA!!
Wapo WANADAMU Walio hai lakini ni wafu wanaotembea, Kama unaishi maisha ya dhambi ni mfu tayari, ni kama nyoka aliyekatwa KICHWA, mkia utacheza Kwa muda Kisha utatulia.
Hiyo ni MAUTI ya kurithi tangu Adam.

Vichaa ni wafu wanaotembea, misukule ni wafu wale, wazinzi na watendao dhambi pia ni wafu, sababu Roho zao zinatenda dhambi, na imeandikwa Roho itendayo dhambi itakufa na mshahara wa dhambi ni MAUTI.

2.KIFO KAMA ADHABU/ HUKUMU.

Mshahara wa dhambi ni MAUTI. Kwanza Mwili unapotengwa na Roho kinaitwa kifo, ni ADHABU ya kwanza.

Mwili unaenda kaburini, Roho inaenda kuzimu Kwa watenda dhambi na WATAKATIFU huenda paradiso.

Ndipo hapo watu husema aliyekufa hasikii chochote, mwili ndo hausikii pale Roho inapojitenga.

BAADAYE mwili utafufuliwa Kwa ADHABU ya milele Jehanum.

Shetani na Malaika zake ni wafu wale, sababu waliasi Mbinguni, sasa kuwa WAFU haimaanishi hawajui kitu, ni kama tu WANADAMU waishio katika Dhambi ni wafu sababu ya kumwasi Mungu, wanausubiri HUKUMU.

Mapepo ni wafu tayari lakini wanaendelea na KAZI kujenga ufalme wa shetani aliye mfu pia akisubiri HUKUMU.

Uliposoma kuwa WAFU hawasikii chochote ni Mwili Ulio kaburini ndo haujui chochote, Lakini Roho inajua Kila kitu maana Roho Haina mwisho, ni ya milele.

3. KIFO Cha KUTENGWA NA MUNGU.

Adamu na Hawa walikufa siku walipokula tunda kiroho sababu walitengwa na Mungu dhambi ilipoingia.

KIFO Cha KIMWILI kilikuja baadae kama matokeo yaliyoanzia katika Roho ya KUTENGWA na MUNGU.

4. KIFO CHA MWILI KUTENGWA NA ROHO.

Kinaitwa kifo sababu mwili umetengwa na Roho lakini, UKWELI ni kuwa Roho haifi, inaishi ikisubiri hukumu ya milele Jehanum.

Hapo Roho na huenda kuzimu au paradiso kusubiri ADHABU ya siku ya mwisho.

Roho zikiwa kuzimu zinateswa zikisubiri ADHABU ya milele, while waliopo paradiso au Mbinguni wanafurahia.

Neno linaposema Mahali Pao mapepo na shetani hawatakuwepo tena, inaongelea HUHUMU ya mwisho.

KUZIMU ilipo milki na utawala wa shetani itakunjwa kama karatasi na kutupwa Jehanum. Hiyo sasa ndo ADHABU ya Shetani na mapepo na watu waliohukumiwa kutenda dhambi.

KUZIMU haiendi miili ya nyama, inaenda miili ya kiroho na ndo inayoteswa huko, mwili wa nyama unabakia kaburini.

Siku ya mwisho, siku ya HUKUMU, ndipo miili ilozikwa kaburini itafufuliwa Kwa kuunganishwa na Roho zilizokuwa kuzimu Kwa kutupwa Jehanum milele.

Pia siku hiyo ya mwisho WATAKATIFU miili Yao itafufuliwa Toka kaburiri, watapewa miili mingine ya kiroho isiyoharibika na kuingia mji mpya unaoendelea kujengwa uitwao Jerusalem mpya, wenye Mbingu mpya na Nchi mpya, ambao utateremshwa Ili maisha yaendelee milele na milele.

Amen.
 
Kama uthibitisho ni watu kusema wapo wanaosema hakuna MUNGU.

Dhambi unazifanya wewe kwa tamaa zako wewe za kimwili na tamaa zinginezo.

Nyege zako ndo husababisha ununue malaya, tamaa ya mali husababisha uibe n.k n.k

Ulijinyonga lini boss? Watu wanajinyonga kwa sababu tofauti tofauti. Sababu za Mkwawa kujinyonga ni tofauti na za jirani yako aliyeachwa na mpenzi.
Maandiko usomayo ni ROHO, na yanafanyika ushahidi katika siku Ile ya mwisho,

Utakapo ulizwa hukusikia? Utaonyeshea na kukumbushwa haya uliyosoma.

Ndani ya mtu Kuna Pande mbili ya Mungu kulia, na shetani kushoto.

Dhamira Yako unapotaka kufanya jambo lolote lazima ipitie uchanganuzi wa pande mbili kabla ya kuamua.

Hawa alikula tunda Kwa uamuzi wake, lakini kabla ya kula alimsikia ushawishi wa nyoka na kuamua kutofuata maagizo ya Mungu yaliyokataza kula tunda.

Hali hiyo ndiyo hutokea Kwa yeyote kabla ya kuamua kufanya lolote ,zuri au baya.

Amen.

Endelea kuwepo, "live Toka kuzimu" ITAENDELEA....
 
MUNGU KAAGIZA TUPENDANE SIO TUTISHANE.
Nani kakutisha,

Unapendwa sana ndo maana unaambiwa Kweli yote Ili uache ubaya usijeenda Kuzimu ya moto.

KUZIMU haikuumbwa Kwa ajili ya WANADAMU, Bali mapepo na mashetani. Usiende huko.
 
Kwa hyo shetani aliyeanguka dhambini naye amakuwa mtoa hukumu?
Ndivyo ilivyoandikwa (Luke 16:19-31).

Uamuzi ni wako kuamua uende Kuzimu au Paradiso/Mbinguni ukifa.
 
Ni vizuri ukajua Kifo ni nini.

KIFO kina tafsiri nyingi.
1. WAFU WANAOTEMBEA!!
Wapo WANADAMU Walio hai lakini ni wafu wanaotembea, Kama unaishi maisha ya dhambi ni mfu tayari, ni kama nyoka aliyekatwa KICHWA, mkia utacheza Kwa muda Kisha utatulia.
Hiyo ni MAUTI ya kurithi tangu Adam.

Vichaa ni wafu wanaotembea, misukule ni wafu wale, wazinzi na watendao dhambi pia ni wafu, sababu Roho zao zinatenda dhambi, na imeandikwa Roho itendayo dhambi itakufa na mshahara wa dhambi ni MAUTI.

2.KIFO KAMA ADHABU/ HUKUMU.

Mshahara wa dhambi ni MAUTI. Kwanza Mwili unapotengwa na Roho kinaitwa kifo, ni ADHABU ya kwanza.

Mwili unaenda kaburini, Roho inaenda kuzimu Kwa watenda dhambi na WATAKATIFU huenda paradiso.

Ndipo hapo watu husema aliyekufa hasikii chochote, mwili ndo hausikii pale Roho inapojitenga.

BAADAYE mwili utafufuliwa Kwa ADHABU ya milele Jehanum.

Shetani na Malaika zake ni wafu wale, sababu waliasi Mbinguni, sasa kuwa WAFU haimaanishi hawajui kitu, ni kama tu WANADAMU waishio katika Dhambi ni wafu sababu ya kumwasi Mungu, wanausubiri HUKUMU.

Mapepo ni wafu tayari lakini wanaendelea na KAZI kujenga ufalme wa shetani aliye mfu pia akisubiri HUKUMU.

Uliposoma kuwa WAFU hawasikii chochote ni Mwili Ulio kaburini ndo haujui chochote, Lakini Roho inajua Kila kitu maana Roho Haina mwisho, ni ya milele.

3. KIFO Cha KUTENGWA NA MUNGU.

Adamu na Hawa walikufa siku walipokula tunda kiroho sababu walitengwa na Mungu dhambi ilipoingia.

KIFO Cha KIMWILI kilikuja baadae kama matokeo yaliyoanzia katika Roho ya KUTENGWA na MUNGU.

4. KIFO CHA MWILI KUTENGWA NA ROHO.

Kinaitwa kifo sababu mwili umetengwa na Roho lakini, UKWELI ni kuwa Roho haifi, inaishi ikisubiri hukumu ya milele Jehanum.

Hapo Roho na huenda kuzimu au paradiso kusubiri ADHABU ya siku ya mwisho.

Roho zikiwa kuzimu zinateswa zikisubiri ADHABU ya milele, while waliopo paradiso au Mbinguni wanafurahia.

Neno linaposema Mahali Pao mapepo na shetani hawatakuwepo tena, inaongelea HUHUMU ya mwisho.

KUZIMU ilipo milki na utawala wa shetani itakunjwa kama karatasi na kutupwa Jehanum. Hiyo sasa ndo ADHABU ya Shetani na mapepo na watu waliohukumiwa kutenda dhambi.

KUZIMU haiendi miili ya nyama, inaenda miili ya kiroho na ndo inayoteswa huko, mwili wa nyama unabakia kaburini.

Siku ya mwisho, siku ya HUKUMU, ndipo miili ilozikwa kaburini itafufuliwa Kwa kuunganishwa na Roho zilizokuwa kuzimu Kwa kutupwa Jehanum milele.

Pia siku hiyo ya mwisho WATAKATIFU miili Yao itafufuliwa Toka kaburiri, watapewa miili mingine ya kiroho isiyoharibika na kuingia mji mpya unaoendelea kujengwa uitwao Jerusalem mpya, wenye Mbingu mpya na Nchi mpya, ambao utateremshwa Ili maisha yaendelee milele na milele.

Amen.
Mkuu umetoa maelezo mazuri tu,ambayo ndani yake yanatia shaka sana,lakini pamoja na hayo hujanijibu swali hata moja nililouliza.
Kama unaona vema,basi jaribu kupiti tena maswali yangu,huenda utanisaidia kuelewa mambo haya.
Katika maelezo yako hapa unasema hivi "KUZIMU haiendi miili ya nyama, inaenda miili ya kiroho na ndo inayoteswa huko, mwili wa nyama unabakia kaburini",niambie mwili wa roho ukoje?,

Pia,mahali fulani imeandikwa wafu hawajui neno lolote, mbona kwenye maelezo yako inaonekana wafu wanajua mambo hadi wanamuomba Yesu awasaidie?,nipe ukweli wa hawa wafu wako hapa wanaosikia maumivu na kuweza kuongea kabisa.

Nisaidie kujua,roho ni nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23], Najiuliza hiyo Blender walichomeka wapi, kwenye switch ipi huko kuzimu.

Ila tufikie mahali tuheshimiane[emoji23]. Tutumie njia polite na zenye logic kuwaambia watu waache Dhambi sio kupeana vitisho kama hivyo anavyoviongelea jamaa hapo juu.

Anasema daraja la pili kuzimu ni la majini na shetani tu binadamu hawaruhusiwi kwenda, lakini mwamba yeye ameingia hapo..[emoji1430][emoji23]
Wasioingia hapo kuzimu Ngazi ya pili ni wachawi.

Mungu Hana mipaka, aliye na YESU ana faraja la juu kuliko Malaika wa Nuru.

Aliyeokoka ni Mwana wa Mungu, Malaika ni watumishi wa waliookoka. Hakuna mipaka Wala vizuizi sababu Yesu ametaka tuyajue Ili tuwaase.

Manabii wa uongo wanawambia half truth, Mimi nakupa KWELI yote Ili usijesema sikuyajua au kuyasikia haya.

Amen
 
(Luke 20 ) ndipo Yesu aliwajibu mafarisayo kuwa mtu akifa anakuwa kama tu malaika. Hawaoi Wala Kuolewa.

Alikuwa akiwajibu swali mafarisayo kuwa mtu akifa ana mke na hajazaa mtoto, mtu mwingine akimwoa mke yule, siku ya ufufuo, mke atakuwa wa nani?

Mbinguni watu Walio huko ni Roho, Malaika hawaoi au Kuolewa huko, Mungu ndiye mfalme wetu, sisi ni Wana na Malaika ni watumishi wake.

KUZIMU ni tofauti na Mbinguni, kuzimu wanaingiliana kinyume na maumbile, mchawi mme huzini na wenzie kinyume, mama kuzini na mtoto ni kawaida kabisa, ndomana wanataka TABIA za kuzimu zihamie Duniani.

Wakati huo huo Mungu anataka mfumo wa Mbinguni utumike duniani hivyo vita IPO inaendelea kati ya falme hizi mbili.

Mtu ni Roho, anayo NAFSI na anaishi ndani ya mwili.

Mwili haiwezi kusikia maumivu yoyote Roho ikiondoka ndani ya MWILI mtu akifa.

Maumivu mtu anayosikia yapo katika NAFSI.

Mtu wa ndani, anao mwili yaani Roho ana viungo vyote, mikono, miguu, macho nk nk na ni HALISI kabisa.

Kila kitu ukionacho kinaanzia Ulimwengu wa Roho kabla ya kuja katika mwili.

Ukisomwa (Luke 16:19-31).kisa Cha tajiri na maskini, tajiri alikuwa akiteswa na kufungua moto na akisikia kiu na kuomba aletewe maji,

Nami nikuulize, iweje mtu awe katika mwili wa Roho aombe maji?

Na akinywa maji yayaingia katika tumbo lipi wakati Yu katika mwili wa Roho?

Mbinguni ipo Mito ,Kuna miti, maua, wanyama,maji mito, chakula kama duniani,tofauti tu viko katika mfumo wa kiroho.

Neno la Mungu ni chakula Cha Roho Kwa watakatifu na usipokila unakuwa dhaifu katika mwili wa Roho,unakuwa kimbaumbau, ukishambuliwa na mapepo, utaumia.

So katika Roho Kila kitu kinafanyika kama duniani lakini ni katika ukurasa wa Roho.

KUZIMU zipo silaha, vipi viwanda, hata watu nusu mtu nusu Pepo wanatengenezwa huko, yapo magari, ndege za kichawi na zaidi ya hapo.

Wapo masheikh hutengeneza majini Kwa msaada wa mapepo Kutoka kuzimu.

Mapepo yanakula chakula, Damu ndicho chakula Chao kikuu.

Hivyo, Kwa uchache ujue kuwa, Kila kilicho katika mwili kipo katika Roho.

Amen
Mkuu hapa unazidi kichanganya mambo,katika mambo ya Mungu usifanye hivi,unakosea sana.

1.umeandika hivi 👇👇👇,
(Luke 20 ) ndipo Yesu aliwajibu mafarisayo kuwa mtu akifa anakuwa kama tu malaika. Hawaoi Wala Kuolewa
Lile fungu halina maana hii kamwe,wewe umelitumia vibaya sana,yaani maana yako ni kwamba mtu akifa kuna maisha mengine?🥲🥲🥲🥲

2. Nijibu tu,hizi roho unazosema hapa zina hadi ulimi na maumivu zinasikia mi zipi?,maana biblia yote hakuna sehemu ilionekana roho yenye mwili.
 
Ila Haya mambo mnaandikaga mnayatoa wapi?Daah nyie watu bhana
 
Mkuu umetoa maelezo mazuri tu,ambayo ndani yake yanatia shaka sana,lakini pamoja na hayo hujanijibu swali hata moja nililouliza.
Kama unaona vema,basi jaribu kupiti tena maswali yangu,huenda utanisaidia kuelewa mambo haya.
Katika maelezo yako hapa unasema hivi "KUZIMU haiendi miili ya nyama, inaenda miili ya kiroho na ndo inayoteswa huko, mwili wa nyama unabakia kaburini",niambie mwili wa roho ukoje?,

Pia,mahali fulani imeandikwa wafu hawajui neno lolote, mbona kwenye maelezo yako inaonekana wafu wanajua mambo hadi wanamuomba Yesu awasaidie?,nipe ukweli wa hawa wafu wako hapa wanaosikia maumivu na kuweza kuongea kabisa.

Nisaidie kujua,roho ni nini?
Roho ni nini?

Mtu ni nini?

Mavumbi yalipofinyangwa, Mungu akapuliza pumzi ya uhai ndani ya udongo, ghafula udongo ukawa hai.

Hivyo,

Roho ni mtu aliyetoka Kwa Mungu, ndo maana Mungu asema, na Tuumbe mtu Kwa Mfano wetu.

Mtu aliye Roho alikuwepo tangu milele kabla ya kuingia pale Eden.

WAFU wasiosikia chochote humaanisha miili iliyozikwa baada ya mtu ambaye ni Roho kutoka ndani ya MWILI.

Na nimesema mtu wa Roho anavyo viungo vyote kamili.

Na mtu huyo ndiye ateswaye kuzimu ya moto.

Nimeeleza Kwa kirefu, ikiwa hujaelewa au hutaki kuelewa basi endelea kusubiri " Live Kutoka kuzimu" labda utaelewa. Ikiendelea....
 
Mkuu hapa unazidi kichanganya mambo,katika mambo ya Mungu usifanye hivi,unakosea sana.

1.umeandika hivi 👇👇👇,

Lile fungu halina maana hii kamwe,wewe umelitumia vibaya sana,yaani maana yako ni kwamba mtu akifa kuna maisha mengine?🥲🥲🥲🥲

2. Nijibu tu,hizi roho unazosema hapa zina hadi ulimi na maumivu zinasikia mi zipi?,maana biblia yote hakuna sehemu ilionekana roho yenye mwili.
Nilisema mwanzo andiko hili linawatafuta Wana wa Mungu Walio dhambini wasiojua nini kinaendelea Live KUZIMU Ili wageuke na kutubu,

Mafarisayo, waongozwao na DINI za kuzimu na uongo na wasioamini hawajalengwa hapa,

Hivyo sitatoka nje ya mada 🙏
 
Nani kakutisha,

Unapendwa sana ndo maana unaambiwa Kweli yote Ili uache ubaya.

KUZIMU haikuumbwa Kwa ajili ya WANADAMU, Bali mapepo na mashetani.
Ok
 
Mkuu hapa unazidi kichanganya mambo,katika mambo ya Mungu usifanye hivi,unakosea sana.

1.umeandika hivi 👇👇👇,

Lile fungu halina maana hii kamwe,wewe umelitumia vibaya sana,yaani maana yako ni kwamba mtu akifa kuna maisha mengine?🥲🥲🥲🥲

2. Nijibu tu,hizi roho unazosema hapa zina hadi ulimi na maumivu zinasikia mi zipi?,maana biblia yote hakuna sehemu ilionekana roho yenye mwili.
Nitakujibu Si Kwa ajili Yako,

Bali Kwa wengine waelewe.

Unaposema BIBLIA yote hakuna sehemu iliyooneka Roho yenye mwili inaonyesha hujui maandiko.

MALAIKA /ROHO WALIOVAA MIILI YA NYAMA.
Yakobo alikuwa amelala usiku ghafula alitokea Malaika aliye Roho lakini amevaa mwili wa mwanadamu na akashindana naye usiku kucha,

Asubuhi Malaika yule alimgusa na alipotea na kurudi Mbinguni.

(Mwanzo 18:1......)

Ibrahimu pia alitembelewa na watu watatu, Malaika waliokuja katika mwili wa WANADAMU,

Aliwapikia chakula nao wakala kabisa kama watu.

(Mwanzo 19:1-38)

Lutu anawapokea Malaika wawili WALIOVAA mwili wa mwanadamu na anawapikia chakula na wakala.
 
Unajua kwenye sayari hii ni mtu mweusi pekee ndiye aliyepata Mungu anayefanana na mkoloni wake na akapata shetani anayefanana na yeye.😅😅😅

MAGUFULI4LIFE.
 
Nitakujibu Si Kwa ajili Yako,

Bali Kwa wengine waelewe.

Unaposema BIBLIA yote hakuna sehemu iliyooneka Roho yenye mwili inaonyesha hujui maandiko.

MALAIKA /ROHO WALIOVAA MIILI YA NYAMA.
Yakobo alikuwa amelala usiku ghafula alitokea Malaika aliye Roho lakini amevaa mwili wa mwanadamu na akashindana naye usiku kucha,

Asubuhi Malaika yule alimgusa na alipotea na kurudi Mbinguni.

(Mwanzo 18:1......)

Ibrahimu pia alitembelewa na watu watatu, Malaika waliokuja katika mwili wa WANADAMU,

Aliwapikia chakula nao wakala kabisa kama watu.

(Mwanzo 19:1-38)

Lutu anawapokea Malaika wawili WALIOVAA mwili wa mwanadamu na anawapikia chakula na wakala.
Hakuna roho inayokula au inayosikia njaa na inayoshikika yaani yenye mwili,hapa ukubali tu kuwa haujaelewa maandiko sawasawa.

Pia,usidhani unajua kila kitu,shida yako unajiona umemaliza darasa lote hupaswi kujifunza.

Kibaya zaidi unaulizwa maswali ila unajibu tofauti na swali husika.
 
Back
Top Bottom