Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

acha kuchanganya Torati na Neema ndugu halafu soma hicho kisa chote uelewe chanzo cha wao kufanya hivyo
hicho kisa ndio pekee kwenye Agano jipya Roho Mtakatifu kafanya action live na hakuna pengine popote na hiyo haikua sadaka kama sadaka za agano la kale bali kipindi ambacho Mitume wanafanya huduma kwa mataifa na watu walijitoa kwa Moyo wote kusaidia kanisa la kwanza,
ukisoma hicho kisa unaona kwamba hao wahusika hawakulazimishwa kutoa ila kosa ilikua ni kuchukua hatua ya kukubali then wana geuka huo ulikua zaidi ya usaliti kumbuka watu walikua kwenye dhiki na kujitoa kufanya kazi ya Injili ndio maana Petro alikasirika na kuwahoji kwanini wasingekua wawazi toka mwanzo sababu mali ilikua ni yao!

Bible code inawapiga chenga acheni kusoma nusu nusu elewa content ya andiko!
Sijui kwanini unapindisha maandiko
 
Ndio maana nimesema mna shida,ufalme wa Mungu unatangazwa wenyewe kama ulivyo,ukiufaham huo inatosha kuokoka,hakuna mtu atakayeokolewa kwa kuwa mjuzi wa kazi za shetani,ninyi ni wajuzi wa kazi za shetani,hata zileteni maana huwa ni tamu sana masikioni ila hazina wokovu wowote kuzijua.

Waonaje,hayo maandishi yote mleta mada angeleta habari njema za mbinguni?,badala ya kuanza kutunga uongo wa kiwango cha phd eti roho zina ulimi,roho zina macho,roho zina tumbo,wakati Masihi alisema wazi roho haina nyama wala mifupa,nimeuliza swali hilo hakuna aliyeweza kujibu!

Eti kuzimu kuna blenda ya kusaga watu,acheni ujinga basi,sio kwa utopovu huo,bahati mbaya zaidi hamtaki kuomba Mungu awape maarifa sahihi mnajiona mko sawa.

huyo Masihi muda mwingi alitumia kuhubiri kuhusu ufalme wa Mungu sio wa shetani,ninyi mko kinyume chake.
Una roho Ya mpinga Kristo ndani yako
 
Una roho Ya mpinga Kristo ndani yako
Yaani kukataa kuhubiri mambo ya kuzimu tena ya kubumba baada ya kujifanya mmefika huko ndio napinga kristo aisee,acha ujinga.

Wewe ni yuleyule mwenye mada kwa ID nyingine!

Hivi umeona popote nampinga Kristo?,huoni hoja zangu hata moja umeshindwa kujibu?

Yaani watu wazima unakaa unabuni na kufikiria ufalme wa giza na kuanza kuuhubiri hapa then unataka tukuache tu upotee na kupoteza watu?,mbona amesema mkienda hubirini ufalme wa Mbinguni umekaribia sio kazi za shetani huko mnapopaita kuzimu?

Yuleyule tu kwa ID nyingine.
 
INTRODUCTION.

Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.

MBINGUNI ,ni makazi ya Walio hai,

KUZIMU: Ni nyumbani Kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu,

Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.

Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.

AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.

1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.

2. Misukule.

Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.

Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea Leo.

AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.

1. KUZIMU KAVU.

Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu,

Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani,ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.

2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.

Mahala hapa, binadamu mchawi hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.

Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.

Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.

3. KUZIMU YA MOTO.

Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.,

WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk , huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.

Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.

Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni Rafiki Yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.

TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.

Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain Hadi Leo,

Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.

Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.

1. IDARA YA WACHORA TATOOS!

Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.

Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.

Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo,

Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.

Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.

Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.

Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.

2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.

Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.

Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.

Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.

Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,

Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,

Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,

Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.

3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.

Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,

Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.

Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuu likiwa ni kuangalia cartoon mbaya.

4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.

Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.

Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,

Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma,

Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi lile lililokuwa endelevu,

Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kansa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1. Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.

ITAENDELEA...........
Soma mahubiri yote ya Yesu, Yesu hajawahi kutoa mahubiri ya vitisho,

Unachokifanya hapa ni kufanya watu waache dhambi kwa msisimko tu kitu ambacho mtu hawezi kwenda nacho muda mrefu.

Hubiri watu wamuelewe Mungu wafanye maamuzi Willingly. . . . Siyokwq sababu ya hivi vitisho. . .
 
Soma mahubiri yote ya Yesu, Yesu hajawahi kutoa mahubiri ya vitisho,

Unachokifanya hapa ni kufanya watu waache dhambi kwa msisimko tu kitu ambacho mtu hawezi kwenda nacho muda mrefu.

Hubiri watu wamuelewe Mungu wafanye maamuzi Willingly. . . . Siyokwq sababu ya hivi vitisho. . .
Huo ni mtizamo wako.

Yesu alipitia habari ya Tajiri alipokuwa kuzimu, alidhamiria kuwatisha watu?

Unapewa taarifa ikiwa hukuwa ukijua kuwa kule kuzimu Kuna moto na mateso, Ili ujue waliokudanganya ukifa husikii chochote ndo ujue sasa!!

Bt ni Kwa Nia njema,

Aliye hai, anaweza kutubu na kugeukia njia ya Mbinguni.
 
n

acha kulaghai watu kwa story za vijiwe vya kahawa Dhambi ni kutomwamini Yesu Kristo kua ni YEHOVA kumbuka dhambi ni uasi yaani kumkana Mungu mfano ni Adam alipokubali drama za Ibilisi akaanguka dhambini katika agano jipya Yesu ndie Adam wa Pili kupitia yeye tulipata ukombozi
kingine hakuna mtu atakayemkiri Yesu kua Bwana atahukumiwa kwa sababu atakua amepata haki kumbuka si kwa matendo ya sheria
hapa ndipo wahubiri mazuzu wamewapiga Kamba waumini wao kwa maelfu ya miaka
wakihubiri waache dhambi huku wakiangalia matendo na mienendo ya watu,
pamoja na tabia binafsi kitu ambacho ni wrong angalia kile Yesu anahubiri kwa miaka 3 kuhusu ufalme wa Mungu vile vile angalia wanafunzi wake hawakujikita kuhubiri matendo ya sheria bali Neema ya Mungu kwa wote watakao mwamini mwana wa pendo lake

nyingine mbwembwe tu kumbuka Abram alihesabiwa haki bila matendo
sisi tuliemwamini Kristo ni zaidi na ndio maana tumepewa Roho mtakatifu wa kutuongoza kujua hii ni wrong na hii ni right na hata ukuharibu huhesabiwi makosa sababu yalishalipiwa na mbele ya Mungu wewe ni mtakatifu milele na ndio maana Yesu alitoa mfano wa mchungaji mwema yaani hata ukijizima data kujifanya humjui na ni mmoja wa familia yake hata ukiwa mhuni uliekubuhu ipo siku atakubeba na kukuutoa huko within a second na hili ndilo lilikua agano lake kwetu tumwaminio na ndio maana mimi nikiona wakristo wanafanya vioja hua nacheka na kuwaombea mema tu maana najua ni wetu tu
hakuna mtu atapotea chini ya Kristo never!
Bible inasema Mungu Ni Moto ulao, kuamini tu kwamba Yesu alikufa kwaajili ya dhambi zako hakutoshi kuhepuka hukumu bila kuacha kutenda hizo dhambi.

Yesu alisema si wote wanaomuita bwana wataurithi ufalme wa Mungu. Wewe unadhani hawa aliowataja Yesu hawakuamini Kama unavyoamini? Waliamiani lakini lakini matendo yao hayakumpendeza Mungu.

Ukiendelea na msimamo huu, hata ushoga utaona ni Jambo la kawaida kwa kudhani kinachojitajika Ni kuamini tu kwamba umeokolewa kwa neema. Au wewe unaamini mashoga, wachawi na wazinzi wataurithi ufalme wa Mungu kwa kuamini Yesu amebeba dhambi zao huku wakiendelea na matendo yao???
 
Mimi Kwa Mfano,

Naitumia smartphone kueneza INJILI ingawa smartphone imebuniwa huko huko.

Ukiitumia kutizama picha za ngono, kueneza UOVU unatimiza kusudi la mapepo.

Swali jingine [emoji120]
Tumia njia nyingine
 
Bible inasema Mungu Ni Moto ulao, kuamini tu kwamba Yesu alikufa kwaajili ya dhambi zako hakutoshi kuhepuka hukumu bila kuacha kutenda hizo dhambi.

Yesu alisema si wote wanaumuita bwana wataurithi ufalme wa Mungu. Wewe unadhani hawa aliowataje Yesu hawakuamini Kama unavyoamini? Waliamiani lakini lakini matendo yao hayakumpendeza Mungu.

Ukiendelea na msimamo huu, hata ushoga utaona ni Jambo la kawaida kwa kudhani kinachojitajika Ni kuamini tu kwamba umeokolewa kwa neema. Au wewe unaamini mashoga wachawi na wazinzi wataurithi ufalme wa Mungu kwa kuamini Yesu amebeba dhambi zao huku wakiendelea na matendo ya
o???
Ubarikiwe,

Maana Kila akijibiwabtofauti na anavyojiaminisha anahisi ni same I'd inamjibu na nduguye Spirit of Tanzania.
 
Tumia njia nyingine
Hii ndo njia nilopewa,

Njia za kuwapeleka kuzimu wanazo kina bulldozer, makasisi unaambiwa hata mashoga wanakaribishwa, ilimradi wanatoa sadaka, hawaambiwi dhambi zao.

Zipo mada zingine zinakuja, endelea kuwepo JF.
 
Ni kweli ila mleta mada lazima utubu kuwa umetudanganya huu ushuhuda sio wako ila ni Kweli tupu jamani chukulia hili kama wewe usiangalie mwenzako kacomment nini ili uamini au usiamini, hii fanya kuwa juu yako njia ni Yesu na utakatifu hakuna jingine
 
Ubarikiwe,

Maana Kila akijibiwabtofauti na anavyojiaminisha anahisi ni same I'd inamjibu na nduguye Spirit of Tanzania.
Wewe usinitaje kabisa!
Huna hoja yenye uzima,kama unazo hoja zilete,maswali nimeuliza hujajibu hata moja!

Mjinga mmoja unapotosha watu,eti roho ina mikono,macho,na uongo mwingine.

Epuka kujikinai,hii ni dhambi kubwa sana.

Mimi nilikuwa radhi kuelimika kupitia wewe,ila uliharibu kuanza kuniita nina dini kuzimu!

Wewe huna ukweli wowote.
 
INAENDELEA.......,.

IDARA YA WAKE KWA WAUME WALIOZINI KUPITIA LANGO LA NDOTO/ JINI MAHABA.

Mapepo Saba yalikuwa yakimgombania Mwinjilisti aliyekuwa amevaa Pete ya NDOA ambayo haikuteketea katika moto.

Kila Pepo lilidai huyu ni wangu, alikuwa alipitia mateso makali sana kwenye uume wake na korodani zilofanyiwa Kila aina ya mateso.

STORY BEHIND MWINJILISTI MWENYE PETE YA NDOA.

Mwinjilisti huyu alikuwa na NDOA iliyofungwa kihalali Kanisani, alikuwa mwaminifu katika NDOA yake na hakuwahi Kutoka nje ya NDOA Kwa UZINZI.

Siku moja Mwinjilisti alikuwa akitembea barabarani, ghafula macho yake yalitua Kwa mwanamke mmoja aliyekuwa amevaa nguo za kumbana sana, na alikuwa na umbo lililovutia, na macho yake yalijikuta yakiendelea kumtizama mwanamke huyu Kwa tamaa, akajisemea moyoni mwanamke huyu ningempata,....

Akili ilimrudia na akakumbuka ana mke nyumbani na alipoiangalia Pete yake kidoleni akasema, sitomfuata mwanamke huyu kahaba na akarudi nyumbani.

Baada ya siku kadhaa kupita, akaanza kupata ndoto za kuzini na mtu asiyemjua ndotoni, aliichukia Hali hii, akamshirikisha Mchungaji wake, wakaomba na kukemea Hali Ile. Ilitulia baada ya siku chache, baadae ikaendelea tena, mwanamke aliendelea kumjia na kuzini naye. Pepo yule aliendelea kumwachia uchafu mtu yule Kila alipomjia.

CHANZO CHA NDOTO YA MWINJILISTI.

Siku Ile alipomwona mwanamke yule kahaba na kumtamani,

Kumbe mwanamke yule alikuwa ni kahaba na mchawi, ikumbukwe pia MAKAHABA wengi huenda Kwa Waganga kutafuta nyota ya kufuatwa na wanaume wengi Ili kuzini kupata pesa.

Mwanamke yule kahaba na mchawi, alikuwa na Roho ya Marmaid, Malkia wa kuzimu iliyokuwa ikimwongezea mvuto Ili kuvutia wanaume, kumbuka mwanamke yule hakugeuka na hata hakujua kuwa Mwinjilisti alimtamani.

Roho Ile iliyokuwa ndani ya kahaba, ilikwenda kuzimu Kwa Malkia mkuu wa Baharini, Pepo na kupeleka ombi la kuomba kuchumbiwa na Mwinjilisti ambaye alionekana kumtamani kahaba yule.

Malkia wa kuzimu alikubali ombi Hilo, akaagiza atafutwe ndugu wa Mwinjilisti ambaye ni mchawi Ili afanyike mwakilishi wa familia ya Mwinjilisti ambaye atapokea Mahari ya Jini mahaba yule wa kike.

Alipatikana mjomba wa mwinjilist ambaye alikuwa mchawi, na alipofika Kwa Marmaid mkuu, aliambiwa, Mwinjilisti amempenda Binti yangu, anataka kumwoa, mnatakiwa Kutoa Mahari Ili aoe kwenye familia yetu.

Mchawi yule, mjomba wa nwinjilist, alisema,Mahari itakuwa ni kupunguza maisha ya Mwinjilisti Ili afe akiwa na umri wa miaka 33 pekee.

Nilishangaa kusikia mtu anafungisgwa NDOA bila kushiriki wakati ana NDOA tayari!!!

Marmaid mkuu wa Baharini alipokea Mahari NDOA ikafungwa na ndoto za ngono ziliendelea kumtokea Mwinjilisti.

Siku moja Mwinjilisti aliota ndoto akifanya Tendo na mwanamke asomjua na alimwaga shahawa, alipoamka alishangaa na kusikitika.

Pepo yule wa kike wa mahaba, alichukua mbegu au shahawa za Mwinjilisti na kuzipeleka Kwa Malkia wa Baharini na kumwambia anaomba kuzaa mtoto na Mwinjilisti na alikubaliwa, mbegu za Mwinjilisti zikichukuliwa na kupelekwa kiwanda Cha watoto na zilirutubishwa ndani ya tumbo la Pepo mahaba na baada ya muda, akazaliwa mtoto wa kipepo na Pepo yule wa kike alifurahi sana.

Baadae Walizaliwa watoto wakiume na WA kike wa kipepo ambao hutumika kuja duniani wakiwa nusu mtu nusu Pepo ambao huja kufanya mission mbalimbali duniani za Shetani.

Pepo yule alikuwa na Rafiki SITA ambao pia aliwaalika kushare nae ndani na Mwinjilisti.

Ilipotimia miaka 33, sawasawa na sadaka Mahari ya NDOA, Mwinjilisti alifariki na kutupwa KUZIMU ya moto.

Yesu alisema, 85% ya watu wanaotupwa kuzimu ya moto Huwa hawajui dhambi iliyowapeleka kule.

AINA YA NDOA ZA KIPEPO KIROHO.

1.Malaika waasi WALIOZINI na wanawake binadamu kama ilivyoandikwa enzi za Nuhu.

2. Wachawi wanaozini na wanawake wasio na ulinzi wa Mungu.

3. Roho za watu WAFU zinazotangatanga duniani ambazo zilitolewa kabla ya muda wao wa kufa kufika uliopangwa na Mungu.

4. Mawazo ambayo hugeuka na kurudi kama ndoto.

Kundi hili la NDOA linahusisha.

-Wale wanaoangalia tamthilia zenye picha za hisia za ngono ndani yake.

Mapepo hutoka ndani ya picha hizo na kuwaingia watu hao na baadae wataanza kupata ndoto za mahaba na mapepo ambayo yalipita na kuwaingia baada ya kuangalia picha za ngono kupitia tamthilia.

-Wenye kutizama picha za ngono.

Mapepo hutoka ndani ya picha hizo na kuingia na kufunga nao NDOA, vifo vya kabla ya wakati hutokea zaidi Kwa watu waotao ndoto hizo.

- Wenye kujichua.

Hili nimeliongelea andiko lililopita.

NB: Ndoto ni HALISI.

Mungu hutuma taarifa Kwa watu waangaliao video chafu za ngono, wenye kujichua nk nk kupitia ndoto Ili kuwaarifu watubu lakini wengi hupuuzia au kutoelewa lugha ya picha ilitumika ndotoni.

Wengi huota ndoto wanatembea wako uchi, wengine huona mbwa wakiwafukuza au kulala nao nk nk.

KANUNI SAHIHI ZA KUVUNJA NDOA NA PEPO LA NGON0 NA JINI MAHABA.NK NK.

1. Nenda na Kiri dhambi na tukio Hilo Kwa mtumishi wa Mungu maana huwezi jiokoa pekeako sababu umeshakuwa mtumwa.

2. Mtumishi wa Mungu Afanye maombi ya Ukombozi.

3. Iandikwe barua ya talaka.

Hii ifanyike Kwa kuchukua sadaka ya mbegu Ili MAHARI ilitolewa Kwa niaba Yako na ndugu Yako mchawi aliyekuwakilisha katika NDOA ya kipepo, IRUDISHWE katika Ulimwengu wa kiroho wa kipepo na TALAKA itolewe kuvunja NDOA hiyo ya kipepo IFUTWE. Na sadaka uliyotoa itatiwa Muhuri.

AGALIZO: Epuka video za ngono, hata wanandoa wamekatazwa, tamthilia acheni kuangalia, acheni kujichua, okoka na Ujazwe Roho MTAKATIFU atakayekupa nguvu ya kuacha kutenda dhambi.

YESU AKUMBUSHA NENO LAKE KUHUSIANA NA DHAMBI NA HUKUMU YA NDOA YA NAPEPO NDOTONI AMBAO NI UZINZI.

(Mt 11:17).

Tuliwapigia filimbi, Wala hamkucheza, tuliomboleza, Wala hamkulia.

(Luke 13:3).

Nawaambia ,sivyo, lakini msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo.

(Kutoka 20:17).

Usiitamani nyumba ya Jirani Yako, usimtamani mke wa Jirani Yako.

(Ayoub 31:1).

Nilifanya AGANO na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?

(Ayoub 31:9-11)

Kama moyo wangu ulishawishiwa Kwa mwanamke, nami nimeotea Jirani pa Jirani yangu,

Ndipo hapo mke wangu asage Kwa mwingine,

Na wengine wainame juu yake, kwani Hilo limekuwa kosa kuu, naam, lingekuwa ni UOVU wa kuadhibiwa na Waamuzi.

( Zaburi 81:12).

Nikawaacha wakaenenda Kwa ukaidi wa mioyo Yao, waenende katika nashauri Yao.

(Mithali 6:24-25)

Yakulinde na mwanamke mwovu asikupate,

Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni,

Usiutamani uzuri wake moyoni mwako.


(Mathayo 5:28).

Lakini Mimi nawaambia, Kila mtu amtizamaye mwanamke Kwa kumtamani,

Amekwisha kuzini naye moyoni mwake.


(Yoh 8:44).

Nanyi ni WA baba yenu Ibilisi, na tamaa za baba yenu, ndizo mpendazo kuzitenda
(Ephesians 4:22)



(2 Timothy 2:22)

Lakini zikimbie tamaa za ujanani, ukafuate HAKI na Imani na Upendo, na Amani pamoja na wale wamwitao BWANA Kwa moyo safi.

( 2Timithy 4:3-4 )

Maana utakuja wakati watakapoyakataa nafundisho yenye Uzima, ila Kwa kuzifuata Nia zao wenyewe,

Watajipatia walimu makundi makundi Kwa kuwa Wana masikio ya utafiti,

Nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli na kuzigeukia hadithi za uongo.

( Tito 2:11,12 )
Maana neema ya Mungu iwaokowayo wanadamu wote imefunuliwa,

Nayo yatufundisha kuukataa ubaya na tamaa za kidunia, tupate kuishi Kwa kiasi, na HAKI na utakuwa katika Ulimwengu huu wa sasa.

( Yakobo 1:14-15).

Lakini Kila Mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe, huku ajivuyea na kudanganywa.


( 1Petro 2:11 ).

Wapenzi nawasihi kama wapitaji, na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili, zipinganazo na Roho.


( 2 Petro 3:3)

KUJIPAMBA kwenu kisiwe KUJIPAMBA Kwa nje, yaani kusuka nywele, na kujitia Dhahabu, na kuvalia mavazi.

(. 1Yoh 2:16-17)

Maana Kila kilichomo duniani yaani tamaa ya MWILI na tamaa ya macho, na kiburi Cha Uzima, havitokani na Baba, Bali vyatokana na Dunia.

Na Dunia inapita na tamaa zake, Bali Yeye Atendaye mapenzi ya Mungu, adumu hata milele.

(Yuda 1:16 )

Watu Hawa ni wenye kunung'unika, wenye kulalamika, waendao Kwa tamaa zao, na vinywa vyao vyanena maneno makuu mno yenye kiburi.

(Yuda 1:18)

Ya kwamba waliwambia ya kuwa, Wakati wa mwisho watakuwako watu wenye kudhihaki, wakizifuata tamaa zao wenyewe za upotevu.

Amen

ITAENDELEA...........



Cc: Mzee wa kupambania, Nakubusu, @Mwandunda, burning spear, Tony Cipriano, Al Watani, Superfly, @penilogist, Pendaelli, Kijungu Moto, Von Bismarck, The druid, Mwalimu wa tuisheni, fyddell, Zeus1, S V Surovikin, Tim Choice, kilwa kivinje, Dexta, Bush Dokta, Carlos The Jackal, Odense, Mlamba asali, Emar, Iceberg9, Kelvin 35, alumn, Chrysanthemum, Ambition plus,kangesa,kitali,kalpana, lost cousin, S.M.P2503, Mshamba hachekwi, covid 19, Vito Corleone, DR HAYA LAND, Mhafidhina07, Melancholic, EDOGUN, Babu fyee, @Phydum, madmax, Abigail Nabal, Bemendazole, Spirit of Tanzania, Tausi900,Gentlemen_

🙏Share ujumbe huu Kwa wengi uwezavyo Ili kuwaepusha na kuzimu ya moto.
 
Haya ndugu watazamaji in lufufu voice inaongea.

Idara hii nimeibuni baada ya kula kitu Cha mjani kutoka milima ya tenende pale jijini mbeya.

Yaani ukishuka milima ya tenende baada ya kutoka imezu na haujafika uyole.

Hivyo msiniamini hata kidogo, ninayo andika ni fikra zangu duni.

Asante wenu Haile Selasie jah rastafarian N.B simaanishi kuidharau Imani ya kirasi
 
Ni kweli ila mleta mada lazima utubu kuwa umetudanganya huu ushuhuda sio wako ila ni Kweli tupu jamani chukulia hili kama wewe usiangalie mwenzako kacomment nini ili uamini au usiamini, hii fanya kuwa juu yako njia ni Yesu na utakatifu hakuna jing

Wewe usinitaje kabisa!
Huna hoja yenye uzima,kama unazo hoja zilete,maswali nimeuliza hujajibu hata moja!

Mjinga mmoja unapotosha watu,eti roho ina mikono,macho,na uongo mwingine.

Epuka kujikinai,hii ni dhambi kubwa sana.

Mimi nilikuwa radhi kuelimika kupitia wewe,ila uliharibu kuanza kuniita nina dini kuzimu!

Wewe huna ukweli wowote.

Wewe usinitaje kabisa!
Huna hoja yenye uzima,kama unazo hoja zilete,maswali nimeuliza hujajibu hata moja!

Mjinga mmoja unapotosha watu,eti roho ina mikono,macho,na uongo mwingine.

Epuka kujikinai,hii ni dhambi kubwa sana.

Mimi nilikuwa radhi kuelimika kupitia wewe,ila uliharibu kuanza kuniita nina dini kuzimu!

Wewe huna ukweli wowote.
Wewe uko possessed Na demons Na unaandika hizi Sio akili Zako Ni hayo mapepo yaliyo ndani yako yamekamata Nafsi yako Na kuteka fahamu zako
 
Ni kweli ila mleta mada lazima utubu kuwa umetudanganya huu ushuhuda sio wako ila ni Kweli tupu jamani chukulia hili kama wewe usiangalie mwenzako kacomment nini ili uamini au usiamini, hii fanya kuwa juu yako njia ni Yesu na utakatifu hakuna jingine
Una kithibitisho chochote cha maandiko kinachoonyesha kuwa anadanganya??
 
Ni kweli ila mleta mada lazima utubu kuwa umetudanganya huu ushuhuda sio wako ila ni Kweli tupu jamani chukulia hili kama wewe usiangalie mwenzako kacomment nini ili uamini au usiamini, hii fanya kuwa juu yako njia ni Yesu na utakatifu hakuna jingine
Neno na INJILI ni vya Yesu Kristo mwenyewe, hayupo mwenye hati milki.

Share uwezavyo Kwa wengine Kwa namna yoyote Ili ujumbe uwafikie Walio hai dhambini wageuke na kutubu na kuishi maisha matakatifu.

Amen
 
Wewe uko possessed Na demons Na unaandika hizi Sio akili Zako Ni hayo mapepo yaliyo ndani yako yamekamata Nafsi yako Na kuteka fahamu zako
Huu ndio ujinga wenu,kila kitu mnawaza uchawi na mapepo tu,akili zenu zimelala!

wapumbavu na wajinga wote kwenye dini wana huu ushupavu!

sikushangai,maana hata Yeye kuna wajinga walisema ana pepo,kwahiyo nimekuona una uelewa mdogo tu!

Acheni kujikinai,kuona wale wenye mtazamo tufauti na wenu wana mapepo,hamustuki ninyi ndio mnamtumikia shetani waziwazi kwa mgongo wa kusema mnataka watu wajue mabaya yake?,mtu akijua mabaya ya shetani itamsaidia nini?
Wapumbavu wakubwa.
 
Una kithibitisho chochote cha maandiko kinachoonyesha kuwa anadanganya??
Japo hujaniuliza mimi,ila naomba niseme uthibitisho ninao,pitia maswali yote niliyomuuliza mtoa mada kama ameweza kunijibu;

nimeuliza swali moja kali,roho ni nini?,amebwabwaja tu kama kawaida yako: nasema yako maana wewe ni yeye kwa ID nyingine.
 
Huu ndio ujinga wenu,kila kitu mnawaza uchawi na mapepo tu,akili zenu zimelala!

wapumbavu na wajinga wote kwenye dini wana huu ushupavu!

sikushangai,maana hata Yeye kuna wajinga walisema ana pepo,kwahiyo nimekuona una uelewa mdogo tu!

Acheni kujikinai,kuona wale wenye mtazamo tufauti na wenu wana mapepo,hamustuki ninyi ndio mnamtumikia shetani waziwazi kwa mgongo wa kusema mnataka watu wajue mabaya yake?,mtu akijua mabaya ya shetani itamsaidia nini?
Wapumbavu wakubwa.
Kwamba unaingia KICHWA KICHWA vitani bila kujua nguvu ya adui, silaha Gani anatumia na ukiamini unaweza shinda vita?

Uliwahi Kweli kupita hata mgambo au kushiriki ulinzi shirikishi mtaani kwako?

Hujui kuwa mkristo ni anatakiwa awe askari kabisa mwenye mbinu na medani zote za kivita kiroho?
 
Back
Top Bottom