Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

Naomba kuongezea katika habari za MWILI, NAFSI na ROHO.

Nafsi ndio kiunganishi ni kiungo muhimu sana kati ya Roho na Mwili pia. Mwili unapokea tu order kutoka katika Nafsi.

Kiujumla kazi kubwa ya Roho ni kumtukuza Mungu. Hilo ndilo haswa kusudi la Mungu toka awali kua Roho imtukuze Mungu.

Sasa kinachokuja kufanyika katika mamlaka zote mbili za Nuru na Giza ni kuikamata NAFSI ili itende sawasawa na matakwa ya hizo Mamlaka mbili.

Hivyo Mwili wenyewe unapokea tu maelekezo ya nini kifanyike ambapo sasa maamuzi yanakua yamefanyika katika Nafsi. Nafsi ni kama Engine.

Ndio maana Ukisoma Zaburi 103: 1-2 Mfalme Daudi anasema eeh Nafsi Yangu umhimidi Bwana, wala usisahau fadhili zake zote. Kumbe kinyume na kumuhimidi Bwana ni Kumuhimidi Shetani. Na hivyo ukimuhimidi Bwana katika Nafsi yako na Mwili wako utaongozwa katika kushinda machukizo yote na Roho yako itakua na Roho wa Mungu ndani yako.

Lakini nimesema kazi kuu ya Roho ni kumtukuza Mungu. Na ndio maana ukisoma Wagalatia 5:16 na kuendelea inasema basi enendeni kwa Roho, wala hamtatimiza kamwe tamaa za mwili.

Mungu ni Roho na anaposema tufanye Mtu kwa mfano wetu ni ilikusudi umtukuze Mungu aliye mfano wako na si vinginevyo.

Lakini sasa tukumbuke ya kua shetani Ibilisi ni Mjanja na Ana akili sana na anayajua maandiko vyema. Kabla hajakufikia kwenye Nafsi yako kwanza anakuachia Mwili wako ukushughulishe tu na dhambi. HAPO HAJAINGIA KUIJARIBU NAFSI YAKO BADO.

Ndio maana ukisoma Warumi 1: 24-32 inasema Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao hata waufuate uchafu hata wakavunjiana heshima miili yao utasoma zaidi ukipata Mda. Hapo unaona ni Mwili wako tu umekutumikisha wala hapo shetani hayupo wala nafsi haijaguswa kabisaa. Dhambi kama ulevi, uzinzi, uongo, punyeto, wizi, n.k ni mambo ya mwili hayo ambayo hata tu kwa maamuzi yako personally na dhamiri yako ikikushuhudia unaweza kuacha. Ndio maana unaweza kukuta Mtu alikua mleviii sana then badae akaacha ukimuuliza anasema aaah niliacha kwa sababu hakukua na faida yeyote niliyopata. Au aah niliacha kwa sababu pesa iliisha. Umeona uamuzi tu.
Na hizi dhambi low standard mimi niziite ndizo zilizoteka watu wengi sasa na ndizo zinazosumbua ( hapa hata shetani hayupo ni kumsingizia tu ni wewe tu na tamaa zako)

Sasa ikitokea hiyo hatua ya hapo juu umeishinda, yaani tamaa za mwili zote umezishinda. Ndipo sasa huyu Bwana Shetani anapoamua kuitumia NAFSI sasa ili kupitia hiyo Nafsi uingie katika dhambi. Na hii nayo ni Level nyingine pia.
Mfano. Ibarahimu anaambiwa amtoe sadaka Mwanae wa pekee na wa kiagano Isaka kwa Mungu. Unaona mfano wa jambo hili? Hili si jambo la kawaida. Hapa NAFSI imeguswa moja kwa moja. HISIA, zimeguswa, AKILI zimeguswa na Utayari au Commitment yaani WILL zimeguswa moja kwa moja. Na ndipo hapa unaona Ibrahim anakubali kumtolea Mungu sadaka na hapo Mungu anambariki.

Kwa hivyo NAFSI ya Mtu ni ya thamani sana. Na shetani akija kukujaribu huku ina maana wewe ni Mtu flani uliye katika viwango Fulani vya juu vya kiimani.

Kuna elimu pana sana hapa. Lakini nakamilisha kwa kusema tu Mwili wa Mwanadamu ni kama Gari inaenda huku na huku sawa na inavyopelekwa na dereva. Nafsi ni kama Engine na Roho ni kama usukani au dereva mwenyewe.

Mkuu Rabbon samahani kama nitakua nimekosea kuongezea Haya ila ni katika kujifunza.
 
Ningekushauri ucopy Mahali Elimu hiyo, maana shetani anaweza kuiiba na usikumbuke chochote mbeleni.

Niamini.
screenshots zimehusika ndugu, lakini pia mimi ni mwanafunzi wa mambo ya imani nimekwisha chukua notes zote.
 
Kwa taarifa yako Mimi Ni m kkkt pure nimetoka familia Ya kidini wazazi wangu Ni watumishi kanisani baba mzee wa kanisa mama anaimba kwaya
Dini zina mislead sana watu badala ya kuwapa watu habari njema ndiyo kama hivi watu wanapewa habari za kufa mara KUZIMU, hv unategemea Fahamu za watu zitakuwa sawa kweli au watakuwa na hofu tuaisha yao yote na kuota ndoto za ajabu ajabu
Kuwafundisha watu torati huko ni kuroga watu ni Uchawi kabisa
Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga?
 
haahaaha hawa jamaa sijui huo mfano wa Wagalatia hua hawauelewi?
wanasomaje Biblia yaani mwamba Paulo kasisitiza kabisa kuhusu maswala ya kupewa haki kwa Imani na si kwa matendo ya sheria still watu bado hawajaijua hiyo code yaani
wachungaji wao wamepoteza muda kusoma Theolojia ila wanashindwa kutofautisha
msingi wa Torati na Msingi wa Injili ya Kristo
wao full kuchanganya hata Wagalatia wakiamka waone mafundisho ya leo watazimia kwa jinsi mambo ni complicated
tatizo ni kwamba ukijikita kuhubiri injili ya kweli sahau kupata maokoto maana utajikita kutegemea Ufalme wa Mungu ukuhudumie badala ya sadaka na michango na ndio maana Yesu aliwaambia wanafunzi wake wanavyoenda field kupeleka habari za ufalme wasichukue kitu chochote na wala hawatapungukiwa kitu hapo ni baraka inaingia kazini kukuhudumia automatical

ila sasa msingi wa Torati ndio utoe sadaka ya ukombozi,kuvunja laana,sadaka ya gari la mchungaji,kukomboa ardhi,kufunga malango ya kuzimu na takataka nyingi za kipuuzi
hii inadhihilisha namna gani hawa watu wanamdharau Yesu na kazi yake aliyotumwa kwayo yaani hayo mambo yote ni tamaa za hao viongozi wao na mapokeo ya madhehebu yao badala ya kuhubiri habari njema za Ufalme kwamba Mtu yeyote akimuamini Yesu Kristo na akabadili namna anavyofikiri na akategemea Ufalme wa Mungu hayo mambo yanakufa automatically tena free bila kulipia chochote maana neema tulipewa bure na Yesu ndie alilipia vyote ili tuwe huru
i wonder!
 
Wajinga ndiyo waliwao,
Kila siku wanarogwa na Hawa hawa viongozi wa dini Lakini hawastuki, torati imewatia giza
 
Naomba kuongezea katika habari za MWILI, NAFSI na ROHO.

Nafsi ndio kiunganishi ni kiungo muhimu sana kati ya Roho na Mwili pia. Mwili unapokea tu order kutoka katika Nafsi.

Kiujumla kazi kubwa ya Roho ni kumtukuza Mungu. Hilo ndilo haswa kusudi la Mungu toka awali kua Roho imtukuze Mungu.

Sasa kinachokuja kufanyika katika mamlaka zote mbili za Nuru na Giza ni kuikamata NAFSI ili itende sawasawa na matakwa ya hizo Mamlaka mbili.

Hivyo Mwili wenyewe unapokea tu maelekezo ya nini kifanyike ambapo sasa maamuzi yanakua yamefanyika katika Nafsi. Nafsi ni kama Engine.

Ndio maana Ukisoma Zaburi 103: 1-2 Mfalme Daudi anasema eeh Nafsi Yangu umhimidi Bwana, wala usisahau fadhili zake zote. Kumbe kinyume na kumuhimidi Bwana ni Kumuhimidi Shetani. Na hivyo ukimuhimidi Bwana katika Nafsi yako na Mwili wako utaongozwa katika kushinda machukizo yote na Roho yako itakua na Roho wa Mungu ndani yako.

Lakini nimesema kazi kuu ya Roho ni kumtukuza Mungu. Na ndio maana ukisoma Wagalatia 5:16 na kuendelea inasema basi enendeni kwa Roho, wala hamtatimiza kamwe tamaa za mwili.

Mungu ni Roho na anaposema tufanye Mtu kwa mfano wetu ni ilikusudi umtukuze Mungu aliye mfano wako na si vinginevyo.

Lakini sasa tukumbuke ya kua shetani Ibilisi ni Mjanja na Ana akili sana na anayajua maandiko vyema. Kabla hajakufikia kwenye Nafsi yako kwanza anakuachia Mwili wako ukushughulishe tu na dhambi. HAPO HAJAINGIA KUIJARIBU NAFSI YAKO BADO.

Ndio maana ukisoma Warumi 1: 24-32 inasema Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao hata waufuate uchafu hata wakavunjiana heshima miili yao utasoma zaidi ukipata Mda. Hapo unaona ni Mwili wako tu umekutumikisha wala hapo shetani hayupo wala nafsi haijaguswa kabisaa. Dhambi kama ulevi, uzinzi, uongo, punyeto, wizi, n.k ni mambo ya mwili hayo ambayo hata tu kwa maamuzi yako personally na dhamiri yako ikikushuhudia unaweza kuacha. Ndio maana unaweza kukuta Mtu alikua mleviii sana then badae akaacha ukimuuliza anasema aaah niliacha kwa sababu hakukua na faida yeyote niliyopata. Au aah niliacha kwa sababu pesa iliisha. Umeona uamuzi tu.
Na hizi dhambi low standard mimi niziite ndizo zilizoteka watu wengi sasa na ndizo zinazosumbua ( hapa hata shetani hayupo ni kumsingizia tu ni wewe tu na tamaa zako)

Sasa ikitokea hiyo hatua ya hapo juu umeishinda, yaani tamaa za mwili zote umezishinda. Ndipo sasa huyu Bwana Shetani anapoamua kuitumia NAFSI sasa ili kupitia hiyo Nafsi uingie katika dhambi. Na hii nayo ni Level nyingine pia.
Mfano. Ibarahimu anaambiwa amtoe sadaka Mwanae wa pekee na wa kiagano Isaka kwa Mungu. Unaona mfano wa jambo hili? Hili si jambo la kawaida. Hapa NAFSI imeguswa moja kwa moja. HISIA, zimeguswa, AKILI zimeguswa na Utayari au Commitment yaani WILL zimeguswa moja kwa moja. Na ndipo hapa unaona Ibrahim anakubali kumtolea Mungu sadaka na hapo Mungu anambariki.

Kwa hivyo NAFSI ya Mtu ni ya thamani sana. Na shetani akija kukujaribu huku ina maana wewe ni Mtu flani uliye katika viwango Fulani vya juu vya kiimani.

Kuna elimu pana sana hapa. Lakini nakamilisha kwa kusema tu Mwili wa Mwanadamu ni kama Gari inaenda huku na huku sawa na inavyopelekwa na dereva. Nafsi ni kama Engine na Roho ni kama usukani au dereva mwenyewe.

Mkuu Rabbon samahani kama nitakua nimekosea kuongezea Haya ila ni katika kujifunza.
Ubarikiwe.

Ahsante Kwa ufafanuzi mzuri.

Hakuna mtu mwenye hati milki ya INJILI.

Fafanua uwezavyo ilimradi tu unatumia reference ya neno la Mungu.

Tumepokea Bure na tunatoa Bure.

Pia waweza kushare uwezavyo kokote thread hii maana Sifanyi biashara ninahubiri Bure kabisa.

Amen.
 
Kuna baadhi Ya nguo pia Zina michoro Ya kishetani izo nguo MTU anapozivaa anakua possessed Na maroho Ya kuzimu
Hiyo ni Kweli kabisa, zipo nguo Zina michoro na alama ya kuzimu.

Mfano mzuri ni Ile brand inayoitea Versace, Kuna picha ya mtu ana nyoka nyingi KICHWA kizima.

Hilo ni Pepo linalohusika na uvaaji wa mawigi, kucha ndefu, nknk

Nia ni kuhakikisha WANADAMU wanakuwa wehu Ili wasijihusishe na Mungu.

Ukivaa brand za namna hiyo, Pepo hutoka ndani ya mchoro au picha hiyo na kumuingia mtu na kuanza KAZI na kusudi lake.

Aliye na Roho mtakatifu ana macho ya Rohoni, Roho humkataza kuvaa au kufanya matendo yenye uvuvio wa kipepo .

Imeandikwa, msiipende Dunia Wala vitu vilivyomo katika Dunia, maana aipendaye Dunia na mambo yake, kumpenda Mungu hakumo ndani yake. (1 Yohana 2:15-17).

Amen
 
aisee unaishi kwa fantasy sana yaani hadi ile picha ya Medusa mwenye nyoka wengi kichwani ni pepo?
hahahaa nahisi umechanganyikiwa yaani hadi mythology za Wagiriki unachukulia ni kitu real na serious?
tukiwaita vichaa mnapanic aisee daaa sikutegemea kama kuna watu wa Kristo wanatishika nyau kiasi hicho,
Budda badili unavyofikiri kila kitu ukikiona ni ushatani lazima upate mauza uza maana
maandiko yanasema Imani ni kuchukua hatua ya kile unachoamini
means una ufahamu mkubwa wa Ibilisi,mapepo na takataka nyingine kiasi kwamba umechukua hadi hatua lazima upate udhihilisho
ila ukiijua kweli utakua huru kweli kweli
mimi hata now unichukue na unipeleka kuzimu na nikifika huko nipewe msosi uliopikwa na Ibilisi nakula na nitapiga nae story bila tatizo sababu aliyepo ndani yangu ni mkuu kuliko huyo fala mwingine kiasi kwamba hata nikipewa au kula vitu vya kufisha sidhuliki kamwe
ushawahi ona wapi Mungu anapata madhara?
Mungu yupo ndani yangu yaani BABA,MWANA na ROHO MTAKATIFU wote wamoja wapo ndani yangu halafu nianze ogopa drama za kitoto za Shetani
daaa kuna watu sio majasiri katika Kristo hata kidogo mnamtia aibu Master Jesus!
 
Hii nimetumga Mimi au Ni agano la kale?
2 Wakorintho 5:10
Tutasimama sote mbele za Kristo ili tuhukumiwe. Kila mtu atalipwa anachostahili. Kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake, mazuri au mabaya, alipoishi katika mwili huu wa kidunia.
Hiyo injili ya watu kuhukumiwa kwa matendo umeitunga wewe ndugu hakuna kitu kama hicho kwenye agano jipya rudi kusoma maana sahihi ya neno Dhambi ndio uje tuongee hapa
huna Biblia hapo ndugu?
 
aisee unaishi kwa fantasy sana yaani hadi ile picha ya Medusa mwenye nyoka wengi kichwani ni pepo?
hahahaa nahisi umechanganyikiwa yaani hadi mythology za Wagiriki unachukulia ni kitu real na serious?
tukiwaita vichaa mnapanic aisee daaa sikutegemea kama kuna watu wa Kristo wanatishika nyau kiasi hicho,
Budda badili unavyofikiri kila kitu ukikiona ni ushatani lazima upate mauza uza maana
maandiko yanasema Imani ni kuchukua hatua ya kile unachoamini
means una ufahamu mkubwa wa Ibilisi,mapepo na takataka nyingine kiasi kwamba umechukua hadi hatua lazima upate udhihilisho
ila ukiijua kweli utakua huru kweli kweli
mimi hata now unichukue na unipeleka kuzimu na nikifika huko nipewe msosi uliopikwa na Ibilisi nakula na nitapiga nae story bila tatizo sababu aliyepo ndani yangu ni mkuu kuliko huyo fala mwingine kiasi kwamba hata nikipewa au kula vitu vya kufisha sidhuliki kamwe
ushawahi ona wapi Mungu anapata madhara?
Mungu yupo ndani yangu yaani BABA,MWANA na ROHO MTAKATIFU wote wamoja wapo ndani yangu halafu nianze ogopa drama za kitoto za Shetani
daaa kuna watu sio majasiri katika Kristo hata kidogo mnamtia aibu Master Jesus!
(1 Yohana 2:15-17)
 
Wewe unaamini asili yako kama mwanadamu Ni udongo au nyani
Wewe ni hewa? Kasome periodic table ndio utajua mwili wako ni nini. Kwa hio unapingana hata na Yesu aliefundisha kuwa mwili ni udongo.
Nimekuuliza miaka 3000 iliopita ulikuwa nini umeshindwa kujibu na hutajibu.
 
Dini zina mislead sana watu badala ya kuwapa watu habari njema ndiyo kama hivi watu wanapewa habari za kufa mara KUZIMU, hv unategemea Fahamu za watu zitakuwa sawa kweli au watakuwa na hofu tuaisha yao yote na kuota ndoto za ajabu ajabu
Kuwafundisha watu torati huko ni kuroga watu ni Uchawi kabisa
Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga?
Kitabu cha ufunuo wa Yohana chore kimeelezea mambo Ya kutisha Na ziwa la moto wameelezea mpaka shetani alivotupwa huku duniani....... ukweli Ni kwamba watu wengi Hua wanapenda kuhubiriwa injili Lainie Laini Na kuambiwa utakuwa tajiri utafanikiwa Utanunua Gari Ni vitu wengi wanapenda kufikia...lakini injili Ya kutubu kuacha dhambi Na habari za siku ya mwisho hawataki kuskia
 
hi

hivi kitabu cha ufunuo umekisoma ukaelewa code yake au ndio kusoma na kutafsiri kama wenzio Wasabato?
 
Uko sawa kabisa,

Waliookoka Huwa wanaoonekana kama vichaa Kwa wasiojua Mungu.

Lakini katika uhalisia ni vicerversa.

Imeandikwa, Aziniye na mwanamke, Hana akili kabisa, lakini Kuna wazinzi wanaowaona waliookoka ni vichaa Kwa kutozini na kuishi na mke mmoja pekee.
Haya malokole yanaharibu sana akili za watu asee...
 
Hapa kuna ID mbili za mtu mmoja zinapiga kazi ya kusapoti upumbavu!

Kama wewe ni mkweli chukua kitabu tu kinatosha simama na ukweli huo,acha kupoteza watu hapa.

Unaonaje ukanyamaza ,kama uzi haukufai mbona kuna manyuzi mengi,
Kuna watu wanasaidika na wanapona,?
Unaonaje hasira ya Mungu ikiwaka juu yako kwa kupinga watu wasisikie neno lake?
Naamini ww kama si shetani? Ni agent w kuzimu na kama siyo ni mchawi na kama siyo basi ww si wa Mbinguni,
Roho wa Mungu ananishuhudia hivyo.
 
Nakuambia hakika,hakuna roho wa aina hii,anayehukumu kisa nimehoji mambo dhahiri,ninyi kwa akili zetu mnaona ni sawa kuhukumu watu hivi?,huyo roho aliyempeleka kuzimu na anashindwa kutujibu maswali hapa,huyo aendelee kushuhudia tu.

Huyo roho aliyeshindwa kukuambia mimi either ni shetani,au agent wa shetani, au mchawi,hakika huyo si roho wa kweli,na huyo akikushuhudia juu yangu sina neno.

Endelea kupotosha watu ila mimi ni safi katika hili.
 
Kuna maneno unayaepuka kama yesu kristo etc ,
Wewe ni agent na kama si pepo basi nishetani mwenyewe
 
Hu
Nakuambia hakika,hakuna roho wa aina hii,anayehukumu kisa nimehoji mambo dhahiri,ninyi kwa akili zetu mnaona ni sawa kuhukumu watu hivi?,huyo roho aliyempeleka kuzimu na anashindwa kutujibu maswali hapa,huyo aendelee kushuhudia tu.

Huyo roho aliyeshindwa kukuambia mimi either ni shetani,au agent wa shetani, au mchawi,hakika huyo si roho wa kweli,na huyo akikushuhudia juu yangu sina neno.

Endelea kupotosha watu ila mimi ni safi katika hili.

Huna la kusema wewe agent wa kuzimu toka mbele yangu shetani,
Na hukumu ya mwisho ipo juu yako.Tumekushitukia wewe ni agent na shetani .
Na utachomwa milele pamoja na mapepo na wachawi.
Acha kuwapotosha wana wa Mungu
 
Back
Top Bottom