- Thread starter
- #81
Yesu ni myahudi kwelikweli Kutoka kabila la Yuda.Kuongezea je,Yesu alikuwa mzungu, mwarabu,mwafrika,muhindi ? Muonekano wake ,rangi,nywele?
Si mzungu, Si mweusi, Si mhindi Wala Si mwarabu.
Ubarikiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu ni myahudi kwelikweli Kutoka kabila la Yuda.Kuongezea je,Yesu alikuwa mzungu, mwarabu,mwafrika,muhindi ? Muonekano wake ,rangi,nywele?
Kama myahudi wa Ethiopia au Eastern Europe?Yesu ni myahudi kwelikweli Kutoka kabila la Yuda.
Si mzungu, Si mweusi, Si mhindi Wala Si mwarabu.
Ubarikiwe.
Endelea kuvipiga vita vizuri, usichoke,Bwana Yesu naomba unipe mwisho mwema nisipende dunia naomba nipende kulisoma neno nikujue wewe Yesu niwe na mwisho mwema pia naomba uliandike jina langu kwenye kitabu cha uzima cha mwana Kondoo Eeeh Yesu nisaidie
Kimekupata nini mpendwa🙄Bwana Yesu naomba unipe mwisho mwema nisipende dunia naomba nipende kulisoma neno nikujue wewe Yesu niwe na mwisho mwema pia naomba uliandike jina langu kwenye kitabu cha uzima cha mwana Kondoo Eeeh Yesu nisaidie
Mwache huyo ni raia wa Mbinguni.Kimekupata nini mpendwa🙄
🤣🤣🤣🤣Maana Yesu anaongea kiyahudi, najaribu kuwaza au Yesu anajua lugha zote au Kuna Lugha ya mbinguni?Huyu bwana Adam Mbaya alikua anazungumza lugha gani na Yesu?
Wacha wee Heavenly citizen...Mwache huyo ni raia wa Mbinguni.
Mbinguni huripuka Kwa shangwe kuu mtu mmoja anapotubu na kuamua kumrudia Mungu.
Ndugu Dorin Kagaruki amefanya kitendo Cha kishujaa.
Abarikiwe sana. Amen
Yesu ni Mungu.🤣🤣🤣🤣Maana Yesu anaongea kiyahudi, najaribu kuwaza au Yesu anajua lugha zote au Kuna Lugha ya mbinguni?
Endelea kusoma, yapo mengi utayafahamu yaliyofichwa kwako.Mi Nimeishia hapo kwenye Malaika anakula Embe
Hukusoma imeandikwa kuwa,Mi Nimeishia hapo kwenye Malaika anakula Embe
Nawe ubarikiwe!UONGO
Serikali ijitahidi kuzingatia maendeleo ya Afya ya akili kwa raia wake, ona huyu kachizika mpaka analeta visa vya kusadikika.
Tukiwaambia mprove uwepo wa hizo stories zenu mnaanza kuwa wakali na kutukana.
Hakuna aliyewai kwenda mbinguni kwa kizazi hiki cha sasa, hakuna na hayupo, kama kweli utaombwa uthibitishe hayo kupitia maandiko na nina imani utashindwa.
Hizi ndizo stories ambazo masikini na walokole wanazipenda kuzisikia ili kujifariji na ujinga wao, amkeni nyie wajinga
Kwanini?
MTU ni roho!
Na roho INA mahali inatoka unawekewa,na ukifa inatoka inarudi ilikotoka!
Ndo maana ya hiyo aya!
Fafanua tafadhaliKama ni hvyo basi reicanation ipo
Unifundishe au unipotoshe?yaani hiyo story ya Mbaya Huwezi hata msimulia mtoto wa Sunday school..Kwanza neno la Mungu linasema hivi,hukumu itafanywa na Mwana wa Adam siku atakaporudi kuwahukumu walio hai na wafu.Sasa mbona mnaonyesha huko mbinguni mmewakuta watakatifu waliotenda mema wanakunywa juice,Je walihukumiwa lini??Yesu ni Mungu.
Ndiye aliyeumba Mbingu na Nchi, ndiye aliyechafua lugha pale katika mnara wa babeli.
Ingekuwa kheri kwako ukanyenyekea ufundishwe kuliko kujitutumua.
Amesema kuna lugha ya mbinguni, sasa najiuliza bwana Adam Mbaya alijifunzia wapi hiyo lugha ya mbinguni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maana Yesu anaongea kiyahudi, najaribu kuwaza au Yesu anajua lugha zote au Kuna Lugha ya mbinguni?