Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

Kuongezea je,Yesu alikuwa mzungu, mwarabu,mwafrika,muhindi ? Muonekano wake ,rangi,nywele?
Yesu ni myahudi kwelikweli Kutoka kabila la Yuda.

Si mzungu, Si mweusi, Si mhindi Wala Si mwarabu.

Ubarikiwe.
 
Vipera vya hadithi

1. Pamela na kipini
2. Siku ya gulio Katerero.
3. Tola alia gizani
4. Watoto wageuka mawe
5. Mkutano wa wanyama
6. Muwa uliozamisha meli
7. Sadiki na Chitemo
8. Jogoo aliyesema
9. Kuku na yai
10. Juma na Roza
11. Kibanga ampiga Mkoloni
12. Punda wa Dobi
13. Mr Daudi and his family
14. Urafiki wa mashaka
15. Nani atamfunga paka kengele
16. Barua kwa mjomba Ndolwa
17. Mpapai na mtete
18. Gurudumu la gumbo
19. Sikuelewi
20. Laa! laa! laaaaa!
21. Sikulamba sukari
23. Mvuvi aliyepotea
24. Peper mwanangu huna masikio.
25. Hawafu mwenye nguvu.
26.manenge na mandawa.
27.utankumbuka.
28.sababu ya fisi kula mfupa.
29.uhodari wa juma.
30.ushujaa wa musa.
32.daudi mchafu.
34.ugomvi wa kanga.
35.jua na upepo .
36njeche mchezaji hodari.
37.punda wa dobi.
38. Nondo mla watu.
39.wanakijiji wa tobwa.
40.upatu Shujaa.
 
Bwana Yesu naomba unipe mwisho mwema nisipende dunia naomba nipende kulisoma neno nikujue wewe Yesu niwe na mwisho mwema pia naomba uliandike jina langu kwenye kitabu cha uzima cha mwana Kondoo Eeeh Yesu nisaidie
 
Endelea kuvipiga vita vizuri, usichoke,

Utashinda.

Nimewaombea wote watakaosoma Uzi huu Mungu awafuatilie na kuwasaidia kuipata neema yake waingie Mbinguni siku ya HUKUMU.

Ubarikiwe.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Bwana Yesu naomba unipe mwisho mwema nisipende dunia naomba nipende kulisoma neno nikujue wewe Yesu niwe na mwisho mwema pia naomba uliandike jina langu kwenye kitabu cha uzima cha mwana Kondoo Eeeh Yesu nisaidie
Kimekupata nini mpendwa🙄
 
Kimekupata nini mpendwa🙄
Mwache huyo ni raia wa Mbinguni.

Mbinguni huripuka Kwa shangwe kuu mtu mmoja anapotubu na kuamua kumrudia Mungu.

Ndugu Dorin Kagaruki amefanya kitendo Cha kishujaa.

Abarikiwe sana. Amen
 
Mwache huyo ni raia wa Mbinguni.

Mbinguni huripuka Kwa shangwe kuu mtu mmoja anapotubu na kuamua kumrudia Mungu.

Ndugu Dorin Kagaruki amefanya kitendo Cha kishujaa.

Abarikiwe sana. Amen
Wacha wee Heavenly citizen...
 
🤣🤣🤣🤣Maana Yesu anaongea kiyahudi, najaribu kuwaza au Yesu anajua lugha zote au Kuna Lugha ya mbinguni?
Yesu ni Mungu.

Ndiye aliyeumba Mbingu na Nchi, ndiye aliyechafua lugha pale katika mnara wa babeli.

Ingekuwa kheri kwako ukanyenyekea ufundishwe kuliko kujitutumua.
 
UONGO

Serikali ijitahidi kuzingatia maendeleo ya Afya ya akili kwa raia wake, ona huyu kachizika mpaka analeta visa vya kusadikika.

Tukiwaambia mprove uwepo wa hizo stories zenu mnaanza kuwa wakali na kutukana.

Hakuna aliyewai kwenda mbinguni kwa kizazi hiki cha sasa, hakuna na hayupo, kama kweli utaombwa uthibitishe hayo kupitia maandiko na nina imani utashindwa.

Hizi ndizo stories ambazo masikini na walokole wanazipenda kuzisikia ili kujifariji na ujinga wao, amkeni nyie wajinga
 
Mi Nimeishia hapo kwenye Malaika anakula Embe
Hukusoma imeandikwa kuwa,

Yeye ashindaye nitampa kula matunda katika mti wa Uzima.

So jua Mbinguni kula na kunywwa kupo, mwili huu wa njaa na kuchoka ndo hatutakuwa nao.

Mungu atusaidie.

UBARIKIWE.
 
UONGO

Serikali ijitahidi kuzingatia maendeleo ya Afya ya akili kwa raia wake, ona huyu kachizika mpaka analeta visa vya kusadikika.

Tukiwaambia mprove uwepo wa hizo stories zenu mnaanza kuwa wakali na kutukana.

Hakuna aliyewai kwenda mbinguni kwa kizazi hiki cha sasa, hakuna na hayupo, kama kweli utaombwa uthibitishe hayo kupitia maandiko na nina imani utashindwa.

Hizi ndizo stories ambazo masikini na walokole wanazipenda kuzisikia ili kujifariji na ujinga wao, amkeni nyie wajinga
Nawe ubarikiwe!

Kama ilivyo ngumu kujua jinsi Gani mifupa ya kichanga ikuavyo tumboni mwa mjamzito,

Vivyo hivyo, Si Rahisi mwanadamu kuzijua Siri na uweza wa Mungu.

Aamen
 
Yesu ni Mungu.

Ndiye aliyeumba Mbingu na Nchi, ndiye aliyechafua lugha pale katika mnara wa babeli.

Ingekuwa kheri kwako ukanyenyekea ufundishwe kuliko kujitutumua.
Unifundishe au unipotoshe?yaani hiyo story ya Mbaya Huwezi hata msimulia mtoto wa Sunday school..Kwanza neno la Mungu linasema hivi,hukumu itafanywa na Mwana wa Adam siku atakaporudi kuwahukumu walio hai na wafu.Sasa mbona mnaonyesha huko mbinguni mmewakuta watakatifu waliotenda mema wanakunywa juice,Je walihukumiwa lini??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maana Yesu anaongea kiyahudi, najaribu kuwaza au Yesu anajua lugha zote au Kuna Lugha ya mbinguni?
Amesema kuna lugha ya mbinguni, sasa najiuliza bwana Adam Mbaya alijifunzia wapi hiyo lugha ya mbinguni?
 
Back
Top Bottom