sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Oct 22, 2016 #181 Danny greeny said: sembo huyo mshabiki wa Wapika Maandazi Click to expand... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Danny greeny said: sembo huyo mshabiki wa Wapika Maandazi Click to expand... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,952 Oct 22, 2016 #182 barafuyamoto said: Duh, aisee raundi hii naona umeamua kusubiri boti ya kwenda zenji kituo cha basi mwendokasi kimara, endelea kusubiri simba ikishuka kiwango mkuu! Click to expand... Nilikuwa nawasalimia tu watani zangu. mjukuum said: Najua inauma lkn ndio ukweli huo sasa Click to expand... Mliangalia mechi leo Mnazungumziaje dozi ya leo sembo said: Mkuu.. Unataka tuanze kuongea tukiwaacha pointi ngapi? Click to expand... Hamjapata mshtuko wowote goli 6[emoji23] Kabla mzunguko haujaisha basi ujumbe mtaupata jmi said: Mara ya mwisho kuona goli la kona ni lini? Mechi ya marudiano golikipa atafunga kwa kupiga toka goli hadi goli. Tutawafunga magoli ambayo refarii atashindwa kuwabeba. Simba hatupendi ujinga Click to expand... Nipeni pongezi tu watani zangu. Ni rambirambi tu hiyo tumewapa Naombeni mkae mkao wa kula[emoji501] [emoji251]
barafuyamoto said: Duh, aisee raundi hii naona umeamua kusubiri boti ya kwenda zenji kituo cha basi mwendokasi kimara, endelea kusubiri simba ikishuka kiwango mkuu! Click to expand... Nilikuwa nawasalimia tu watani zangu. mjukuum said: Najua inauma lkn ndio ukweli huo sasa Click to expand... Mliangalia mechi leo Mnazungumziaje dozi ya leo sembo said: Mkuu.. Unataka tuanze kuongea tukiwaacha pointi ngapi? Click to expand... Hamjapata mshtuko wowote goli 6[emoji23] Kabla mzunguko haujaisha basi ujumbe mtaupata jmi said: Mara ya mwisho kuona goli la kona ni lini? Mechi ya marudiano golikipa atafunga kwa kupiga toka goli hadi goli. Tutawafunga magoli ambayo refarii atashindwa kuwabeba. Simba hatupendi ujinga Click to expand... Nipeni pongezi tu watani zangu. Ni rambirambi tu hiyo tumewapa Naombeni mkae mkao wa kula[emoji501] [emoji251]
Pascal Perfect Member Joined Oct 12, 2016 Posts 13 Reaction score 3 Feb 5, 2017 #183 Yaaaaa of course we will be the winner