Live: Leo ni zamu ya Mbao FC kuraruliwa na Simba SC

Live: Leo ni zamu ya Mbao FC kuraruliwa na Simba SC

Duh, aisee raundi hii naona umeamua kusubiri boti ya kwenda zenji kituo cha basi mwendokasi kimara, endelea kusubiri simba ikishuka kiwango mkuu!
Nilikuwa nawasalimia tu watani zangu.
Najua inauma lkn ndio ukweli huo sasa
Mliangalia mechi leo
Mnazungumziaje dozi ya leo
Mkuu.. Unataka tuanze kuongea tukiwaacha pointi ngapi?
Hamjapata mshtuko wowote goli 6[emoji23]
Kabla mzunguko haujaisha basi ujumbe mtaupata
Mara ya mwisho kuona goli la kona ni lini?
Mechi ya marudiano golikipa atafunga kwa kupiga toka goli hadi goli. Tutawafunga magoli ambayo refarii atashindwa kuwabeba.
Simba hatupendi ujinga
Nipeni pongezi tu watani zangu.
Ni rambirambi tu hiyo tumewapa
Naombeni mkae mkao wa kula[emoji501] [emoji251]
 
Back
Top Bottom