Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nawasalimia tu watani zangu.Duh, aisee raundi hii naona umeamua kusubiri boti ya kwenda zenji kituo cha basi mwendokasi kimara, endelea kusubiri simba ikishuka kiwango mkuu!
Mliangalia mechi leoNajua inauma lkn ndio ukweli huo sasa
Hamjapata mshtuko wowote goli 6[emoji23]Mkuu.. Unataka tuanze kuongea tukiwaacha pointi ngapi?
Nipeni pongezi tu watani zangu.Mara ya mwisho kuona goli la kona ni lini?
Mechi ya marudiano golikipa atafunga kwa kupiga toka goli hadi goli. Tutawafunga magoli ambayo refarii atashindwa kuwabeba.
Simba hatupendi ujinga