Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
U r wrong,mimi ni shabiki wa wazee wa kampa kampa tena wazee wa mipasi 7000,km kawaida yetu tunamkimbiza mwizi wetu kimya kimyabila shaka wewe ni shabiki wa "masufuria ya pilau fc" BISHAAAA????..
khaaaa im wrong wapi sasa???....wazee wa kagongwa kagongwa tena (medeama na tp mazembee) sio ndio hao hao "masufuria fc???U r wrong,mimi ni shabiki wa wazee wa kampa kampa tena wazee wa mipasi 7000,km kawaida yetu tunamkimbiza mwizi wetu kimya kimya
haha lakini kimeingia?Nasema ivi kwa mbinde sana
Wakubebwa aka Yeboyebo bado ana hope lambalamba yeye ameshasalimu amri kwa mnyama aka Lunyasi
Chura haamini
Mbao piga paka wakubwa hao.....moja tu linatosha
Lazima wakae..!
nna mawenge,mnyama leo atafungiwa ndani ya banda la MBAO!!!!
Mbao FC piga hao simba wasiong'ata
Umefufuka hhatimaye
Habari zenu Wakuu?Come May....! Ndo mtajua.
Tehee hongera bhana umemshika panapouma kwa taabu sana ila kalainikaHabari zenu Wakuu?
Anhaaa.... kumbe hakuna kulala. Hakika wewe ni chaguo languKichuya....loading goliiii....
Shukrani Mkuu.. Sasa dozi tunailekeza kwa mtoto wenu.. Toto.Tehee hongera bhana umemshika panapouma kwa taabu sana ila kalainika
Mezea [emoji2] [emoji2]Habari zenu Wakuu?
Mavugo.. Dua zetu zote ni kwake.Mavugo ana pepo la kukosa mabao!
looohhh!!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Anhaaa.... kumbe hakuna kulala. Hakika wewe ni chaguo langu
Kweli Mkuu.. Kwa mnyama huyu.. Mpira ni dk. 90.Tuvute subira,SAA nyingine mnyama anachukua mda kukamata mawindo
Azam FC hatuna mdogo anayeitwa Toto,hao watakuwa Chura churani wa pale Kaunda..Shukrani Mkuu.. Sasa dozi tunailekeza kwa mtoto wenu.. Toto.
Bebii kuna mlamu kaniibia pasiwedi yangu bhana.... wewe ndio chagulo la moyo wangu.looohhh!!![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]