Live: Nusu fainali ya challenge cup

Waganda wamepewa yellow kadi zaidi ya 4, inaelekea wametumia nguvu ya ziada kipindi cha 2, laiti mpira ukienda extratime tunawalaza.
 
mganda roho juu
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][Comment From William William : ]
Banange, can we make it [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mpira umemalizika! Dk za nyongeza zinasubiriwa!
 
mpira umemalizika.wameongezewa dakika 30. so tusubili.
KILIMANJARO 1 - 1 UGANDA
mia
 
kipindi cha pili tumeshambuliwa na kukoswakoswa sana. hadi uganda wakapata kona 12 dhidi ya kona 2 za Kili star. mia
 
naona kaseja anaongea na marefarii pale na captain mwenzake wa ug kuchagua goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…